Abdul ? Kijana ambaye kichwani ni mweupeeee peee pee ! Ndio ambaye ameruhusiwa Kua na mkono wa Kiutendaji Ndani ya TISS ?
Yaan Abdul huyu Kichwa maji ndio naye ameruhusiwa kuwachomekea Washikaji zake kwenye Taasisi kama hii?.
Yaan TISS imegeuka kua Taasisi Kwa ajili ya Kupambana na UPINZANI DHIDI YA SAMIA ?
Sio ajabu Nchi imeanikwa na imekua wazi kama nyeti za kuku wakati wa upepo Mkali!!.
Hawawazi Tena juu ya
Rasimali za Nchi
Uchumi
Afya
Umoja wa Kitaifa
Amani ya Taifa
Mahusiano na Mataifa ya nje
Utawala wa Sheria na KATIBA
Utulivu wa Siasa za Nchi
N.k
TISS imegeuka kua ka kikundi ka Samia na Mwanae na wanamitandao Kwa manufaa yao wenyewe .
Kwamba Utekaji Mauaji vizidi ,kwao sio shida, ili hali tu Wanaotekwa na kuuwawa ni Wapinzani wa Samia ( yaan hapa hawawazi hata ikiwa akatokea Rais Mwingine ghafla ghafla , Watu wakampenda ) itakuaje Kwa wale ambao tayari wameuliwa ?.
TISS haiwazi juu ya Umoja wa Kitaifa, kufuatia Chuki na Visasi vilivyoletwa na huyu Abdul .
Mambo ni mengi sana, yanayonipa sababu ya KUANDAMANA,, NIWAALIKE VIJANA WOTE WA NCHI HII MLOCHOSHWA NA HUYU MAMA NA MTOTO WAKE NA GENGE LAO, TAREHE 29/ OKTOBA NI AMA MAISHA YETU YAKOMBOLEWE AU MAISHA YAO YAISHIE JELA.
HAMNA NAMNA YOYOTE YA HAWA WAHUNI KUTUSHINDA