Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
"Nakuhakikishia"Andamana peke Yako mzee Mimi binafsi siwezi kufa Kwa ajili ya watanzania sababu Nina aakili timamu acha wale mapesa mpaka wavimbilwe maisha yenyewe naishi mara Moja kwanini nijiangaishena li nchi ambalo litadumu milele Mimi nitakua ardhini na nakuhakikishia tarehe 29 hamna mtu atakaeandamana
Subiri tarehe 29 kama utaona mtanzania barabarani akienda kumpindua huyo bibi zimebaki siku 2tu"Nakuhakikishia"
Kivip!?
Hata Mombo anamuogopa Abdul. Abdul ndiye Rais. Atamtimua anytime akikataa maagizo yake. Woooooote akina Mulilo, Wambura, RCs, DCs, RPCs, all, all all government officials BOSS WAO NI ABDUL.Abdul ? Kijana ambaye kichwani ni mweupeeee peee pee ! Ndio ambaye ameruhusiwa Kua na mkono wa Kiutendaji Ndani ya TISS ?
Yaan Abdul huyu Kichwa maji ndio naye ameruhusiwa kuwachomekea Washikaji zake kwenye Taasisi kama hii?.
Yaan TISS imegeuka kua Taasisi Kwa ajili ya Kupambana na UPINZANI DHIDI YA SAMIA ?
Sio ajabu Nchi imeanikwa na imekua wazi kama nyeti za kuku wakati wa upepo Mkali!!.
Hawawazi Tena juu ya
Rasimali za Nchi
Uchumi
Afya
Umoja wa Kitaifa
Amani ya Taifa
Mahusiano na Mataifa ya nje
Utawala wa Sheria na KATIBA
Utulivu wa Siasa za Nchi
N.k
TISS imegeuka kua ka kikundi ka Samia na Mwanae na wanamitandao Kwa manufaa yao wenyewe .
Kwamba
Utekaji Mauaji vizidi ,kwao sio shida, ili hali tu Wanaotekwa na kuuwawa ni Wapinzani wa Samia ( yaan hapa hawawazi hata ikiwa akatokea Rais Mwingine ghafla ghafla , Watu wakampenda ) itakuaje Kwa wale ambao tayari wameuliwa ?.
TISS haiwazi juu ya Umoja wa Kitaifa, kufuatia Chuki na Visasi vilivyoletwa na huyu Abdul .
Mambo ni mengi sana, yanayonipa sababu ya KUANDAMANA,, NIWAALIKE VIJANA WOTE WA NCHI HII MLOCHOSHWA NA HUYU MAMA NA MTOTO WAKE NA GENGE LAO, TAREHE 29/ OKTOBA NI AMA MAISHA YETU YAKOMBOLEWE AU MAISHA YAO YAISHIE JELA.
HAMNA NAMNA YOYOTE YA HAWA WAHUNI KUTUSHINDA
Unazidi kuchanganyikiwa tu. Hivi una hata muda wa kuifikiria familia yako kweli!!Abdul ? Kijana ambaye kichwani ni mweupeeee peee pee ! Ndio ambaye ameruhusiwa Kua na mkono wa Kiutendaji Ndani ya TISS ?
Yaan Abdul huyu Kichwa maji ndio naye ameruhusiwa kuwachomekea Washikaji zake kwenye Taasisi kama hii?.
Yaan TISS imegeuka kua Taasisi Kwa ajili ya Kupambana na UPINZANI DHIDI YA SAMIA ?
Sio ajabu Nchi imeanikwa na imekua wazi kama nyeti za kuku wakati wa upepo Mkali!!.
Hawawazi Tena juu ya
Rasimali za Nchi
Uchumi
Afya
Umoja wa Kitaifa
Amani ya Taifa
Mahusiano na Mataifa ya nje
Utawala wa Sheria na KATIBA
Utulivu wa Siasa za Nchi
N.k
TISS imegeuka kua ka kikundi ka Samia na Mwanae na wanamitandao Kwa manufaa yao wenyewe .
Kwamba Utekaji Mauaji vizidi ,kwao sio shida, ili hali tu Wanaotekwa na kuuwawa ni Wapinzani wa Samia ( yaan hapa hawawazi hata ikiwa akatokea Rais Mwingine ghafla ghafla , Watu wakampenda ) itakuaje Kwa wale ambao tayari wameuliwa ?.
TISS haiwazi juu ya Umoja wa Kitaifa, kufuatia Chuki na Visasi vilivyoletwa na huyu Abdul .
Mambo ni mengi sana, yanayonipa sababu ya KUANDAMANA,, NIWAALIKE VIJANA WOTE WA NCHI HII MLOCHOSHWA NA HUYU MAMA NA MTOTO WAKE NA GENGE LAO, TAREHE 29/ OKTOBA NI AMA MAISHA YETU YAKOMBOLEWE AU MAISHA YAO YAISHIE JELA.
HAMNA NAMNA YOYOTE YA HAWA WAHUNI KUTUSHINDA
Huna hoja unaongozwa na hisiaSubiri tarehe 29 kama utaona mtanzania barabarani akienda kumpindua huyo bibi zimebaki siku 2tu
Mkuu umeisikia sauti ya mpumbavu mmoja TISS akijitapa kupewa rushwa ya dollar laki mbili kutoka kwa mwenzie aliyechukua rushwa ya dollar million 2Abdul ? Kijana ambaye kichwani ni mweupeeee peee pee ! Ndio ambaye ameruhusiwa Kua na mkono wa Kiutendaji Ndani ya TISS ?
Yaan Abdul huyu Kichwa maji ndio naye ameruhusiwa kuwachomekea Washikaji zake kwenye Taasisi kama hii?.
Yaan TISS imegeuka kua Taasisi Kwa ajili ya Kupambana na UPINZANI DHIDI YA SAMIA ?
Sio ajabu Nchi imeanikwa na imekua wazi kama nyeti za kuku wakati wa upepo Mkali!!.
Hawawazi Tena juu ya
Rasimali za Nchi
Uchumi
Afya
Umoja wa Kitaifa
Amani ya Taifa
Mahusiano na Mataifa ya nje
Utawala wa Sheria na KATIBA
Utulivu wa Siasa za Nchi
N.k
TISS imegeuka kua ka kikundi ka Samia na Mwanae na wanamitandao Kwa manufaa yao wenyewe .
Kwamba Utekaji Mauaji vizidi ,kwao sio shida, ili hali tu Wanaotekwa na kuuwawa ni Wapinzani wa Samia ( yaan hapa hawawazi hata ikiwa akatokea Rais Mwingine ghafla ghafla , Watu wakampenda ) itakuaje Kwa wale ambao tayari wameuliwa ?.
TISS haiwazi juu ya Umoja wa Kitaifa, kufuatia Chuki na Visasi vilivyoletwa na huyu Abdul .
Mambo ni mengi sana, yanayonipa sababu ya KUANDAMANA,, NIWAALIKE VIJANA WOTE WA NCHI HII MLOCHOSHWA NA HUYU MAMA NA MTOTO WAKE NA GENGE LAO, TAREHE 29/ OKTOBA NI AMA MAISHA YETU YAKOMBOLEWE AU MAISHA YAO YAISHIE JELA.
HAMNA NAMNA YOYOTE YA HAWA WAHUNI KUTUSHINDA
We haupo sawa kichwaniHuna hoja unaongozwa na hisia
🚮🚮
Oh weka hapa au naomba link.Mkuu umeisikia sauti ya mpumbavu mmoja TISS akijitapa kupewa rushwa ya dollar laki mbili kutoka kwa mwenzie aliyechukua rushwa ya dollar million 2
Anajitapa kuwa Samia anatembea na mabilioni ya pesa kwenye magari yake
Unajiuliza afsa gani huyu anatoa Siri bila kuulizwa?
Aise Kama TISS Ina maafisa Kama Hawa Basi nchi hii ishauzwa tayari.
Mstari wa mbele kuuokoa taifa toka mikononi mwa majangiliAbdul ? Kijana ambaye kichwani ni mweupeeee peee pee ! Ndio ambaye ameruhusiwa Kua na mkono wa Kiutendaji Ndani ya TISS ?
Yaan Abdul huyu Kichwa maji ndio naye ameruhusiwa kuwachomekea Washikaji zake kwenye Taasisi kama hii?.
Yaan TISS imegeuka kua Taasisi Kwa ajili ya Kupambana na UPINZANI DHIDI YA SAMIA ?
Sio ajabu Nchi imeanikwa na imekua wazi kama nyeti za kuku wakati wa upepo Mkali!!.
Hawawazi Tena juu ya
Rasimali za Nchi
Uchumi
Afya
Umoja wa Kitaifa
Amani ya Taifa
Mahusiano na Mataifa ya nje
Utawala wa Sheria na KATIBA
Utulivu wa Siasa za Nchi
N.k
TISS imegeuka kua ka kikundi ka Samia na Mwanae na wanamitandao Kwa manufaa yao wenyewe .
Kwamba Utekaji Mauaji vizidi ,kwao sio shida, ili hali tu Wanaotekwa na kuuwawa ni Wapinzani wa Samia ( yaan hapa hawawazi hata ikiwa akatokea Rais Mwingine ghafla ghafla , Watu wakampenda ) itakuaje Kwa wale ambao tayari wameuliwa ?.
TISS haiwazi juu ya Umoja wa Kitaifa, kufuatia Chuki na Visasi vilivyoletwa na huyu Abdul .
Mambo ni mengi sana, yanayonipa sababu ya KUANDAMANA,, NIWAALIKE VIJANA WOTE WA NCHI HII MLOCHOSHWA NA HUYU MAMA NA MTOTO WAKE NA GENGE LAO, TAREHE 29/ OKTOBA NI AMA MAISHA YETU YAKOMBOLEWE AU MAISHA YAO YAISHIE JELA.
HAMNA NAMNA YOYOTE YA HAWA WAHUNI KUTUSHINDA
Kivip!?We haupo sawa kichwani
Hela baba...Abdul ? Kijana ambaye kichwani ni mweupeeee peee pee ! Ndio ambaye ameruhusiwa Kua na mkono wa Kiutendaji Ndani ya TISS ?
Yaan Abdul huyu Kichwa maji ndio naye ameruhusiwa kuwachomekea Washikaji zake kwenye Taasisi kama hii?.
Yaan TISS imegeuka kua Taasisi Kwa ajili ya Kupambana na UPINZANI DHIDI YA SAMIA ?
Sio ajabu Nchi imeanikwa na imekua wazi kama nyeti za kuku wakati wa upepo Mkali!!.
Hawawazi Tena juu ya
Rasimali za Nchi
Uchumi
Afya
Umoja wa Kitaifa
Amani ya Taifa
Mahusiano na Mataifa ya nje
Utawala wa Sheria na KATIBA
Utulivu wa Siasa za Nchi
N.k
TISS imegeuka kua ka kikundi ka Samia na Mwanae na wanamitandao Kwa manufaa yao wenyewe .
Kwamba Utekaji Mauaji vizidi ,kwao sio shida, ili hali tu Wanaotekwa na kuuwawa ni Wapinzani wa Samia ( yaan hapa hawawazi hata ikiwa akatokea Rais Mwingine ghafla ghafla , Watu wakampenda ) itakuaje Kwa wale ambao tayari wameuliwa ?.
TISS haiwazi juu ya Umoja wa Kitaifa, kufuatia Chuki na Visasi vilivyoletwa na huyu Abdul .
Mambo ni mengi sana, yanayonipa sababu ya KUANDAMANA,, NIWAALIKE VIJANA WOTE WA NCHI HII MLOCHOSHWA NA HUYU MAMA NA MTOTO WAKE NA GENGE LAO, TAREHE 29/ OKTOBA NI AMA MAISHA YETU YAKOMBOLEWE AU MAISHA YAO YAISHIE JELA.
HAMNA NAMNA YOYOTE YA HAWA WAHUNI KUTUSHINDA
TISS inahitaji matibabu ya hali ya juu.Abdul ? Kijana ambaye kichwani ni mweupeeee peee pee ! Ndio ambaye ameruhusiwa Kua na mkono wa Kiutendaji Ndani ya TISS ?
Yaan Abdul huyu Kichwa maji ndio naye ameruhusiwa kuwachomekea Washikaji zake kwenye Taasisi kama hii?.
Yaan TISS imegeuka kua Taasisi Kwa ajili ya Kupambana na UPINZANI DHIDI YA SAMIA ?
Sio ajabu Nchi imeanikwa na imekua wazi kama nyeti za kuku wakati wa upepo Mkali!!.
Hawawazi Tena juu ya
Rasimali za Nchi
Uchumi
Afya
Umoja wa Kitaifa
Amani ya Taifa
Mahusiano na Mataifa ya nje
Utawala wa Sheria na KATIBA
Utulivu wa Siasa za Nchi
N.k
TISS imegeuka kua ka kikundi ka Samia na Mwanae na wanamitandao Kwa manufaa yao wenyewe .
Kwamba Utekaji Mauaji vizidi ,kwao sio shida, ili hali tu Wanaotekwa na kuuwawa ni Wapinzani wa Samia ( yaan hapa hawawazi hata ikiwa akatokea Rais Mwingine ghafla ghafla , Watu wakampenda ) itakuaje Kwa wale ambao tayari wameuliwa ?.
TISS haiwazi juu ya Umoja wa Kitaifa, kufuatia Chuki na Visasi vilivyoletwa na huyu Abdul .
Mambo ni mengi sana, yanayonipa sababu ya KUANDAMANA,, NIWAALIKE VIJANA WOTE WA NCHI HII MLOCHOSHWA NA HUYU MAMA NA MTOTO WAKE NA GENGE LAO, TAREHE 29/ OKTOBA NI AMA MAISHA YETU YAKOMBOLEWE AU MAISHA YAO YAISHIE JELA.
HAMNA NAMNA YOYOTE YA HAWA WAHUNI KUTUSHINDA
Usipoteze mda wako na nguvu zake, kwa wapumbavu kama hao. Tanzania huru 29 October, binafsi nimeanza harakati zangu leo za ukomboziHuna hoja unaongozwa na hisia
🚮🚮