Usalama wa Taifa kwa mapana yake unaongozwaje na kijana mbumbumbu Abdul? Tuko serious ?

kila nikitaka kumvaa abdul nakumbuka enzi za kikwete ridhiwani alisingiziwa mengi tukaaminishwa kuwa kampun la lake gas na lake oilni lao baadae aibu niliona mimi kumbe si kweli, yqnq muda basi. oktoba nitatiki dadeki alaf onyo nisiguswe
 

Inasikitisha sana, yani afsa kipenyo anaropoka ropoka tu halafu mambo anayo ropoka ni ya ajabu sana.

Eti walinunua system ya udukuzi ila ime corrupt, wanamtafuta aliye wauzia hapatikani. Yani huko TISS wamejaa vilaza pro max.
 
Mungu atashughulika na wote wanaoliumiza taifa letu.
 
Inasikitisha sana, yani afsa kipenyo anaropoka ropoka tu halafu mambo anayo ropoka ni ya ajabu sana.

Eti walinunua system ya udukuzi ila ime corrupt, wanamtafuta aliye wauzia hapatikani. Yani huko TISS wamejaa vilaza pro max.
Iko wapi hiyo audio au video clip?
 
kila nikitaka kumvaa abdul nakumbuka enzi za kikwete ridhiwani alisingiziwa mengi tukaaminishwa kuwa kampun la lake gas na lake oilni lao baadae aibu niliona mimi kumbe si kweli, yqnq muda basi. oktoba nitatiki dadeki alaf onyo nisiguswe
Tutagusa hadi hyo nyoro...shnz typ
 
Nchi ambayo unapata na unapanda vyeo kwa kujipendekeza hayo hayakwepeki.
 
Wewe mwenye akili unaongoza nini,toka jf ukapambane nae tuone skili zako
 
Mawazo yakichoko kabisa haya kuwahi kuyasoma mwaka 2025 .

Watu wa namna yenu sijui nigrade ya ngapi aisee .
 
Sasa siuende upambane nao hata leo kama mwanaume kweli unabweka tu humu jf kama poppy
Kwangu nilazima nikaandamane tena kwa 100% ,nilazima nikafanye jambo kwa maslahi mapana ya Taifa langu ,hizi fikra zako zakimama siwezi hangaika nazo.
 
Badala ya yeye kuwa ndie mtafutaji taarifa za kijasusi yeye ndie ageuzwa na anaemhoji kuwa chanzo cha taarifa.
 
Unazidi kuchanganyikiwa tu. Hivi una hata muda wa kuifikiria familia yako kweli!!
Mimi nadhani watanzania ndiyo familia yake.
Ingawa namuonea huruma hiyo familia yake hatujitambui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…