Usalama wa Taifa (TISS) kaeni kando na CCM, mnachafuka

MLETA UZI UMECHELEWA SANA!!!WAKATI SASA TISS WANAFANYA MPANGO WA KUONGEZA MHULA UWE WA BUNGE LA MIAKA SABA?TENA WANAFUATA MATAKWA YA JIWE BADALA JIWE NDO AFUATE MATAKWA YAO!!!!!
 
Taasisi inayoundwa na UVCCM kwa 85% inawezaje kuacha kuitumikia ccm ?
 
Acha upotoshaji chombo hiki ni huru na hakina maslahi yoyote na CCM umejipachika kwenye chombo ili tuamini andiko lako la kuwa na wewe ni mmoja wa wana chombo kiacheni kifanye kazi sake kwa maslahi mapama ya Taifa hili
Utamdanganya bwege gani humu ?
 
We should give respect when it is due. TISS wanafanya kazi nzuri mno kwa amani na Ustawi wa Taifa letu, ukilinganisha na idadi ya majirani tulio nao jambo ambalo ni changamoto kubwa kiusalama. Hongera sana TISS.
 
Sponsor wao ni Mkuu wa chama na nchi. Acha kulalamika
Acha ushamba, mashirika yote ya ujasusi duniani sponsor wao ni raisi wa nchi Ila wote wanafuata katiba zao na sheria ,awapendelei chama cha raisi na baadhi ya nchi ukileta ujinga wanakuondoa madarakani.

Hapa kwetu katiba ndio hovyo ,huko nyuma walikuwa wanaitwa special branch tawi la ccm na kazi yao kubwa ni kulinda dola na ccm.
 

Mfano, rais wa Marekani ni Mkuu wa Nchi ila siyo mwenyekiti wa Republican.

Tanzania mwenyekiti wa chama ndiye mkuu wa nchi na ndiye sponsor.

Sasa wewe ndiye mshamba kwa sababu unafikiri US president ni mwenyekiti wa chama.

Mwenyekiti wa chama awe mkuu wa nchi then sponsor; hapo unatarajia nini?
 
Kama kuna wasaliti wa nchi hii basi ccm ni no 1,mafisadi papa na majizi yote sugu yapo ccm waliouza migodi na kuuwa viwanda yote yapo ccm mikataba tata yote imeingiwa na maccm wàla si chadema au cuf tatizo mnatumia sana ujinga wa mtanzania kujificha nyuma ya upinzani.

Upinzani ulionya sana kuhusu mambo mengi sana ya hovyo yaliyokuwa yakifanywa na maccm katika kufisadi taifa lakini walibezwa.

Sikia ndugu kwa taarifa yako wenye akili wote wanatambua kwamba adui no 1 wa taiga hili katika ujinga,maradhi na umaskini ni ccm .
 
Mkuu humuoni Mabeyo kageuzwa kuwa katibu mkuu wa ccm? Ziara nyingi za jiwe naye yupo kana kwamba anafuatilia utekelezaji wa ilani ya ccm.

Mkuu umesahau Magufuli alipokea wanaccm kwenye kamisheni ya jeshi huku CDF akiwa na raha ya ajabu, kwa jeshi kuonyesha uzalendo?
 
Hicho chombo kipo kwa ajili ya usalama wa taifa kama kinavyojiita, sidhani kama wapo chini ya ccm pengine labda unavyoona wapo karibu na Rais unaona kama nawao ni ccm ila baadae watakaposhika dola wapinzani pia utabadilika na kusema ni chadema au Act. Hivyo tuache kuwachafua jamani kama hatujui kazi zao zinafanyikaje tuachane nao kwani kazi wanaoifanya ni kubwa na nzito mno,sisi wananchi tunahitaji amani na sivinginevyo na wao watakuwa wanasimamia hapo.
 
Mjinga kweli wewe! Kama wapinzani wanatekeleza yote uliyoyataja Tena wakiwa ndani ya nchi yenye vyombo imara vya ulinzi na usalama basi wapinzani wapo vizuri kuliko vyombo vyenyewe! Na Kama wapo imara walitakiwa wajue mkulima alikuwa amejipangaje baada ya hukumu ya SA kwani wapo kila ubalozi sio! Kiri tu kuwa mmejazana kiccm na kindugu bila elimu na ueledi wa kazi ya usalama! Nakazia hivi, tiss umekosa ueledi na mbinu mkakati kwani imemezwa na siasa za ccm eti ndiyo mwajiri na paymaster wao badala ya umma wa walipakodi! Tiss inahitaji mabadiliko makubwa mno!
 
TISS lazma isimame na serikali iliyopo madarakani...

Na nyie siku mkishika dola mtakuwa pamoja nao hadi mtachoka...
 
Mbowe alisema hata malaika akija ccm akikaa siku mbili tu,ukienda kumuangalia utakuta ameshakua shetani tayari.
 
waga nashangaa sana idara kujaa watu wa CCM na waganga wa jadi
 
Ukikuwa utaelewa sasa endelea na masomo kwanza
Sass, Kama hata kuandika neno la kiswahili kwa ufasaha linakushinda, ni kitu gani jingine unachokiweza?
Ukikuwa = ukikua. Sahihisha huu utoto wako wa darasa la pili hapo kwanza! Na usisahau kuwa unajibizana na aliyekuzidi uwezo wa kufikiri, akili, maarifa na umri!
Sikushangai sana upepo wa kisulisuli wa kusifia na kutukuza uliwasomba wengi wenye uwezo duni kichwani! Unalionaje darasa? Mjinga ni mjinga tu!
 
Mkuu wao wenyewe wananjaa sana tu, hizo nafasi zao wakizipoteza hawana hata uwezo.wa kufungua biashara ya genge.
 
Asiyefurahi ndege kukamatwa ni Mjinga na manafiki.
 
Summary: TISS imetusaliti waTanzania kwa kuamua kumpenda na kumlinda mtu mmoja na kuacha aumize mfumo wa uchumi wa nchi na hapo hapo kuumiza waTanzania wengi.
 
Wanafurahia sio upinzani tu ni karibia waTz wote walioumizwa na maamuzi ya serikali hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…