Usalama wa Taifa (TISS) kaeni kando na CCM, mnachafuka

Usalama wa Taifa (TISS) kaeni kando na CCM, mnachafuka

Humu jf ukiwa makini utagundua vi Tiss vya humu.
hio kazi uweled uliishia kwa mwinyi .kwanza walikuwa hawatambuliki. sasa .sasa hivi kwenye kundi la watu rahisi kuwatambu wao
 
Tiss hawana faida yoyote na taifa hili, kuna mambo yanafanyika Tanzania huwezi amini yaani, Dunderhead, tabulalasa, bipolar disorder, wagonjwa wa akili wanapata madaraka makubwa ya nchi hii na tiss wapo?
 
Tiss hawana faida yoyote na taifa hili, kuna mambo yanafanyika Tanzania huwezi amini yaani, Dunderhead, tabulalasa, bipolar disorder, wagonjwa wa akili wanapata madaraka makubwa ya nchi hii na tiss wapo?
Mmmmh leo nimecheka sana, watu mnafikilia mengi sana kulingana na hali tuliyonayo!.
 
Summary: TISS imetusaliti waTanzania kwa kuamua kumpenda na kumlinda mtu mmoja na kuacha aumize mfumo wa uchumi wa nchi na hapo hapo kuumiza waTanzania wengi.
Njaa,mbaya wao wanashiba wanaangalia shiba yao we hata ukiathirika wanashida ganu
 
Hivi ni kweli bado mpo kwa maslahi ya Taifa, kama ni kweli bado mpo kwa maslahi ya Taifa inakuwaje haya yanayopoteza mwelekeo wa Taifa letu yanafanyika mkijua, hamshauri au kuzuia yasifanyike kwa maslahi ya Taifa letu?
Wana JamiiForums "msema kweli ni mpenzi ni mpenzi wa Mungu", hapo awali kabla sijawa karibu na Taasisi hii TISS nilijua na kuamini kuwa TISS ni washauri wa mambo ya kitaifa kwa maslahi ya Taifa na sio kwa maslahi ya CCM au kikundi cha watu fulani.

Niseme ukweli, nimeumia kujua kuwa wamekuwa wakijua uovu unaofanywa na CCM na kundi lake lakini hawachukui hatua kwa maslahi ya Taifa lao, jamii yao, ndugu zao na vizazi vyao wakiwa wamekwisha tangulia mbele ya haki.

Hivi ni kweli bado mpo kwa maslahi ya Taifa, kama ni kweli bado mpo kwa maslahi ya Taifa inakuwaje haya yanayopoteza mwelekeo wa Taifa letu yanafanyika mkijua, hamshauri au kuzuia yasifanyike kwa maslahi ya Taifa letu?

Nimeangilia mwenendo wa baadhi ya watumishi wetu katika ushiriki wa chaguzi zilizopita za Serikali za Mitaa, kweli nimeanza kuamini kuwa mpo sasa hivi kwa maslahi ya CCM na sio maslahi ya Taifa letu?

Naomba kuuliza tena, hivi vyama vya upinzani na wapinzani wapo kwa maslahi ya Taifa letu?, na kama wapo kwa maslahi ya Taifa letu kwa nini wanafanyiwa haya maovu na CCM lakini hamuwashauri nini cha kufanya kuondokana na changamoto zinazo wakuta kwa maslahi ya Taifa letu kama mnavyofanya kwa CCM?

Au ni lini mmewahi kushauri au saidia vyama vya upinzani kama mnavyo shauri na kusaidia CCM? Nasema hayo kwasababu ninajua na nimeona mlivyosaidia CCM kuanzia uandikishaji, vetting ya wagombea wa CCM na zoezi la uchaguzi, nk.

Nashauri tuachaneni au tuvunjeni ndoa na CCM vinginevyo tutaendelea kupoteza heshima ya Taasisi yetu tuliyojijengea ndani na nje ya Taifa letu, lakini ndoto zetu kama Taifa tutachelewa kuzifikia.

Hebu tuige kwa Taasisi kama zetu za Marekani, Izrael wanavyo handle issue za kitaifa maana wao hawafungamani na chama cha siasa au kikundi chochote, wao wanaangalia maslahi ya Taifa lao tu.

Nimtazamo wangu tu kwa issue za kitaifa, naomba mnivumilie sijui mitazamo yenu juu ya Taasisi yetu ya TISS kwa masuala ya Kitaifa.

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom