Usalili wa TA INFORMATION SYSTEMS IFM

Usalili wa TA INFORMATION SYSTEMS IFM

Gavano23

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2022
Posts
2,056
Reaction score
5,340
Wale wadau wa IT em tusaidiane mawazo jana nilifanikiwa kufanya mtihani wa TA information systems IFM lakini cha kunishangaza nilikutana na pepa ya system administrator...mpaka kuna swali 1 linasema as system administrator ......je hili ni sahihi? Au ni uhuni wa utumishi ktk kuendesha michakato ya ajira
 
Back
Top Bottom