Usaliti ni laana: Elia F Michael awa Mtendaji wa Kata, apigwa marufuku kugombea ubunge kupitia CCM, adhulumiwa hela za usaliti

Usaliti ni laana: Elia F Michael awa Mtendaji wa Kata, apigwa marufuku kugombea ubunge kupitia CCM, adhulumiwa hela za usaliti

nawewee uva
Screenshot_20200228-193224.png
Screenshot_20200228-193240.png
lishwee diraaa
 
Siasa ni chanzo cha kipato kama vilivyo vyanzo vingine.
Kwa yule anayeng’ang’ania kuamini kuwa watu wanaingia kwenye siasa kwa ajili ya kukufurahisha wewe na familia yako, ujue vidonda vya tumbo havitacheza mbali na wewe. Hasa mwaka huu wa uchaguzi.
 
Dogo mwenyewe Ana sura ya kihuni yule. Halafu alivyokuwa anatukana tukana Sana chama tawala.

Dah njaa sio kitu kizuri

Sent using Jamii Forums mobile app

CCM wanajua kusoma watu sana aiseee.. Wamejua kabisa huyu dogo mpuuzi hana akili za kuona mbali na mropokaji, wakasema kaa uwe katibu kata alafu aache kelele. Dogo ana kidomo domo sana yule
 
Back
Top Bottom