Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Kwani mkuu hujui hao ni wachumia tumbo tu wana njaa kali
Kumbe ndiyo kinacho wasumbua vijana wa lumumba
In God we Trust
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ndiyo kinacho wasumbua vijana wa lumumba
In God we Trust
Anapewa na pikipiki Aina ya YAMAHA kwa ajiri ya kukatiza vijiji na mapori.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Njaa mbaya sanaView attachment 1371762
Malipo yake yote yamekuwa kuteuliwa kuwa Mtendaji wa Kata ya Ngara Mjini, Wilaya ya Ngara Mkoani Kagera
Awajuiii mabwegeee waupinzanii
Kwani mkuu hujui hao ni wachumia tumbo tu wana njaa kali
Amekuzidi wewe na miaka 34 bado unaishi kwa dadakoView attachment 1371762
Malipo yake yote yamekuwa kuteuliwa kuwa Mtendaji wa Kata ya Ngara Mjini, Wilaya ya Ngara Mkoani Kagera
Mbavu zangu miee[emoji209][emoji288][emoji288][emoji288]View attachment 1371762
Malipo yake yote yamekuwa kuteuliwa kuwa Mtendaji wa Kata ya Ngara Mjini, Wilaya ya Ngara Mkoani Kagera
Utendaji wa kata una visenti kiasi chakeView attachment 1371762
Malipo yake yote yamekuwa kuteuliwa kuwa Mtendaji wa Kata ya Ngara Mjini, Wilaya ya Ngara Mkoani Kagera
Awajuiii mabwegeee waupinzanii
Dogo mwenyewe Ana sura ya kihuni yule. Halafu alivyokuwa anatukana tukana Sana chama tawala.[emoji23][emoji23][emoji23] Omba radhi, umewaza kihuni sana hata kama ni kweli. [emoji23][emoji23][emoji23]
Wivuuu umekujaa mtotoo WA MWENZIO wakiumeee.komaa pigaa kazii watakuvalishaa shang...ooh achanaa na yawatuuuuu
Dogo mwenyewe Ana sura ya kihuni yule. Halafu alivyokuwa anatukana tukana Sana chama tawala.
Dah njaa sio kitu kizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo mwenyewe Ana sura ya kihuni yule. Halafu alivyokuwa anatukana tukana Sana chama tawala.
Dah njaa sio kitu kizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Wivuu.umewajaaaaaa fanyenii yenuu kha😅😅😅....sasa hv walau ataonekana hata mbele ya jamii..next yr anunue hata carina jamani...walau afananie