realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 3,925
- 8,853
Hapo kuna mkubwa na mdogoNavuta picha inagoma kuja kabisa,eti wadada wawili wamekaa mmoja kakunja ndita na mwingine kanyong'onyea kwa aibu afu wanahojiana kuhusiana na kusalitiana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kuna mkubwa na mdogoNavuta picha inagoma kuja kabisa,eti wadada wawili wamekaa mmoja kakunja ndita na mwingine kanyong'onyea kwa aibu afu wanahojiana kuhusiana na kusalitiana!
Sema wanawake wote wangetamani kuwa navyo usituweke vjana wote wakati stry bdo haielewekihicho ni kimoja wapo, pia mwenzangu huyu ni mtu yupo focused sana na maisha, mpambanaji asiyekubali kushindwa kwa umri wake wa miaka 35 amefanikisha vingi ambavyo kijana yoyote angetamani kua navyo,
Baba mchungaji umepotea sio huku, njia ya peponi ni mbele hukoo km unapandisha juu utalikuta jukwaa la maadili na dini 😹😹😹JamiiForums ifikie sehemu muwe mnaangalia na nyuzi za kuziacha ziende hewani, huu uzi naona unawatamanisha wale wanaoonekana na i'ds za kike kujaribu mapenzi ya jinsia moja.
Sioni kama kuna sababu yoyote ya kuacha Baadhi ya replies za members ziendelee kuwepo.
Jitahidi kufuta Baadhi ya replies zinatoa muongozo wa kujifunza mapenzi ya jinsia moja.
Koma wewe Mi sio mchungaji.Baba mchungaji umepotea sio huku, njia ya peponi ni mbele hukoo km unapandisha juu utalikuta jukwaa la maadili na dini 😹😹😹
Nyie fake Pastor’s wa humu mkafungue makanisa huko, haya reply zifutwe wewe km nani?? 🤣😹😹
Tuachie story yetu iishe ndo mlete nongwa zenu hapa..!!
Ndo utulize shipaa sasa 😹🤣🤣🤣Komaa wewe Mi sio mchungaji.
Haya ndugu Asante nimekuelewa, ingawa hayo maoni yangu nimewaandikia uongozi sio wewe.Ndo utulize shipa sasa 😹🤣🤣🤣
Sehemu ya kuandika maoni hupajui?? 😹😹Haya ndugu Asante nimekuelewa, ingawa hayo maoni yangu nimewaandikia uongozi sio wewe.
Nadhani ni "Tom boy"Siku zote najuaga wewe ni mwanamke🤔
Ni Ke anayepiga pipe wenzakeMi nlijuaga wewe ni KE
Tunatamanije na utu Uzima huu 😅😅😅Baba mchungaji umepotea sio huku, njia ya peponi ni mbele hukoo km unapandisha juu utalikuta jukwaa la maadili na dini 😹😹😹
Nyie fake Pastor’s wa humu mkafungue makanisa huko, haya reply zifutwe wewe km nani?? 🤣😹😹
Tuachie story yetu iishe ndo mlete nongwa zenu hapa..!!
Hapana mkuu😃Sema hiv stry ikiisha kwann aliamua kumuita kwa jna lako
Hata kama una kovu kifuani ukavaa bra nzuri au pamba kali utatoka nje na watu watakusifia lakini ukirudi ndani utaivua ile bra na nguo zako za thamani bado kovu lako kifuani litaonekana. Kama umenielewa yote lakini kama hujanielewa nitakutafuta nikupe darsa kidogoSehemu ya kuandika maoni hupajui?? 😹😹
Manyanza hi 👋🤣
Huyu babe wako ni Ke, si ndiyo?Mwaka 2021 September, babe wangu alikuja for my birthday katika vitu hawezi kumiss ni birthday yangu, so tukasafiri nje ya Dar, just kuenjoy pamoja,...
Ni Ke Mkuu, yaani huu uzi umekuwa wa kipuuzi na uongozi wameuacha.Huyu babe wako ni Ke, si ndiyo?
kuna mtu kadindisha, punguza sauti mkuuLily ana balaa 😹😹
Ila wakina Lily wengi wasagaji sijui kwann??
Kuna Lily mmoja room mate wangu alikuwa na tabia za hovyo nilikuwa nikitoka kuoga anatulia anipige wezere likiwa kwenye khanga ilioshikana na maji basi anafurahi mwenyewe 🤣
Na mimi nilivyo na masihara namtingishia namwambia ongeza kibao kingine 🤣
Basi anajisonya huku anasikitika
Mwaka mmoja ni mrefu sana kwa mtu kubadilika iwe kwa uzuri au kwa ubaya dear, wala haihitaji miaka mingi kuchora tattoo au kuvuta bangi, hapo niliposkip ni kwanini alijibadilisha hivyo, ili afanane na bae wangu, yeye ana muonekano wa masculine pia ana tattoos nyingi ikiwemo jina langu
Wewe ni mwanamkeUmejua kunichekesha walai, ndo ukomee ila pole 🤣🤣🤣