Usaliti ulivyogharimu maisha ya watu niliowapenda

JamiiForums ifikie sehemu muwe mnaangalia na nyuzi za kuziacha ziende hewani, huu uzi naona unawatamanisha wale wanaoonekana na i'ds za kike kujaribu mapenzi ya jinsia moja.

Sioni kama kuna sababu yoyote ya kuacha Baadhi ya replies za members ziendelee kuwepo.

Jitahidi kufuta Baadhi ya replies zinatoa muongozo wa kujifunza mapenzi ya jinsia moja.
 
Baba mchungaji umepotea sio huku, njia ya peponi ni mbele hukoo km unapandisha juu utalikuta jukwaa la maadili na dini 😹😹😹

Nyie fake Pastor’s wa humu mkafungue makanisa huko, haya reply zifutwe wewe km nani?? 🤣😹😹
Tuachie story yetu iishe ndo mlete nongwa zenu hapa..!!
 
Koma wewe Mi sio mchungaji.
 
Tunatamanije na utu Uzima huu 😅😅😅
 
Sehemu ya kuandika maoni hupajui?? 😹😹

Manyanza hi 👋🤣
Hata kama una kovu kifuani ukavaa bra nzuri au pamba kali utatoka nje na watu watakusifia lakini ukirudi ndani utaivua ile bra na nguo zako za thamani bado kovu lako kifuani litaonekana. Kama umenielewa yote lakini kama hujanielewa nitakutafuta nikupe darsa kidogo
 
kuna mtu kadindisha, punguza sauti mkuu
 
Haya haya wale wazee wa dm naona mmlivyonuna. duh ila kumbe huyu dr kumbe si rizk😑😮‍💨
 

Umejua kunichekesha walai, ndo ukomee ila pole 🤣🤣🤣
Wewe ni mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…