Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
Yaaan hamna watu nilidhani ni watakatifu kama Hawa watu wa shika zako raba.....Wanatafuta sifa za kijinga na utakatifu wasiokuwa nao 😹😹
Bora mwanangu awe Lesib asiwe HomoUnajua Kuna vitu mpaka mtu kuwa humu naamini anataka kujifunza..... zaidi ya anavyotaka kuwa
Kuna mtu alifoka uzi ufutwe nikamuuliza ili iweje ety unachochea mapenzi ya jinsia moja ! Hivi miaka hii yangu 25+ nijifunze kuliwa ? ama kula mtu wa jinsi yangu ? ama kama ni ke, ?
Ikitokea hapo tukio case ya kusema umetekwa itakuwa either tamaa za pesa, ulevi, kuharakia watu usio wajua, ama ulitaka kufanya kwakua mzazi wako Hana ule uhuru wa kukukagua km ulivyo kuwa under 18.......
Watulie atoe story Kuna ya ku note hapa wengi tuna na wana watoto wa kike kwa wakiume...... Unapata la kumshauri mwanao ........
Kuna binti katoka shuleni juz likizo hii anasoma shule moja ya wasichana mkoa wa pwani anaelezea wenzie mabinti wanavyofanya lesb issue.....
Huku wazazi wakiona watoto ni saint Mary kumbe ni mkondo ule ule.......
Tuwe wapole tupate somo hapa...... kwako Tajiri wa Sanga
Nawe toka utajwe ni upinde basi ni kushabikia tu kwa kujificha ficha. Funguka tu uwe wazi bana....Yaaan hamna watu nilidhani ni watakatifu kama Hawa watu wa shika zako raba.....
wanayoyafanya ......... sii mbele sii nyuma, sii wizi sii usengenyaji
Tuseme astakafirullah kwa pamoja 😂
Lesb ipo ndani ya homo sex ambayo Ina kundi la LGBTQ= LESBIANS (WASAGAJI) GAYS (MASHOGA) BISEXUAL ( WANAO KUWA NA FEELING KWA KE AU ME NA KWA JINSIA YAO HAPA NI WENGI MNO HALINA UBISHI) T TRANSGENDERBora mwanangu awe Lesib asiwe Homo
Haya bhn umefika nyamisati mzee wangu!Nawe toka utajwe ni upinde basi ni kushabikia tu kwa kujificha ficha. Funguka tu uwe wazi bana....
Acha ujinga! Mwanaume kusondekwa dushe unaona ni sawa na hawa wanaoweka ndimi. Hata manii inaingia kwa chinova!!!!Lesb ipo ndani ya homo sex ambayo Ina kundi la LGBTQ= LESBIANS (WASAGAJI) GAYS (MASHOGA) BISEXUAL ( WANAO KUWA NA FEELING KWA KE AU ME NA KWA JINSIA YAO HAPA NI WENGI MNO HALINA UBISHI) T TRANSGENDER
kwenye lesb inategemea na alivyo balance hisia zake ........
Kama ana watamani na wanaume apigwe dushe sawa....
Lakini wapo wanakuwa na feelings kwa wanawake tuu..... Yaani hata aone uboo, au kifua Cha mwanaume hashtuki so haya mambo so poa kabisa
Umesema Bora awe lesb lakn Mimi nikakujibuAcha ujinga! Mwanaume kusondekwa dushe unaona ni sawa na hawa wanaoweka ndimi. Hata manii inaingia kwa chinova!!!!
Take simple Mkuu. Ila kama sio kweli usikubali siku nyingine mtu akuweke kundi hilo ni kukudhalilisha na kukuchafua.Haya bhn umefika nyamisati mzee wangu!
Mimi siwezi kubisha maake ndo mlichokiamni baada ya ile quote.....
Huelewi ninachozungumza. Au wewe ni mwanamke kama mariposa. Mwanamke ameumbwa kupokea dushe na manii zake. Mwanaume ameumbwa kutoa si kupokeaUmesema Bora awe lesb lakn Mimi nikakujibu
Lesb ipo ndani ya homo sexuality mzee au
Kuna sehemu nimesema wapigane miti ?
we ndo una akili.....Someni ili mjifunze, kwa maana kuna elimu kama wale walio ndani ya mfumo hawataamua kutoka hadhalani na kuamua kuitoa hamtakaa muijue hadi mnakufa, sana sana mtabaki kuotea otea tu, kwamba labda inakuaga hivi au inakuaga vile.
So, mods mngeuacha tu huu uzi kwa sababu kwanza muandishi hakuna sehemu ametaja neno mapenzi ya jinsia moja ila ni watu wamejiongeza kwasababu ID yake ni maarufu ila ingekua ni ID mpya hakuna mtu angejua kama hii story inawahusu watu wa jinsia moja.
Lakini pili, inafungua mambo mengi ambayo labda wazazi wengi wenye watoto wakike hawakuwa wanayajua na badala yake walikua wanaweka sana umakini kwa vijana wa kiume huku upande huu mwingine ukipuunzwa so kupitia hizi codes zilizomo ndani ya simulizi hii nadhani kuna wazazi watajifunza jambo na kuangalia namna ya kuwalinda mabinti zao.
Mfano hapo kwenye background ya Lily, utaona kabisa kwamba mambo haya kuna wakati huwa wazazi ndio usababisha yatokee pasipo wao kujua.
Kuna umuhimu wa kuwaambia watoto wenu jinsia zao na majukumu ya jinsia zao ila pia wajue kuziheshimu hizo jinsia zao kabla watu wengine wahaja wafunza namna tofauti.
Anyway, but mtu na mumewe wote wanaenda mwezini, sasa huwa anaanza nani na anafuata nani hayo tumuachie ndugu daktari, sisi tuendelee kufuatilia hii story mujaaarabu😅😅😅.
Mzee tufanye hivi jion njema chifu!Huelewi ninachozungumza. Au wewe ni mwanamke kama maliposa. Mwanamke ameumbwa kupokea dushe na manii zake. Mwanaume ameumbwa kutoa si kupokea
Afadhali hivyo! Siamini mtu anayeona mwanaume mwenzake anasokomezwa mti anaona nisawa tu.Mzee tufanye hivi jion njema chifu!
Bado wakati wako mwingine wa kuteseka haujafikaMimi nishakuwa sugu!sitikiswi na mapenzi hata robo
Bora Umwambie 🤣🤣🤣Hakuna kitu kama hicho, hayanaga muongozo...
Mimi siwezi kukuchukia mzee..... Nimepitia manyanyaso maneno, na kuonekana mtu wa ajabuTake simple Mkuu. Ila kama sio kweli usikubali siku nyingine mtu akuweke kundi hilo ni kukudhalilisha na kukuchafua.
Pinga Ushoga
Pinga SheMale
Pinga LGBTQ
Pinga Homosexuality
Pinga Bisexuality
Pinga Usenge
Pinga Vifiro
PINGA HIZI MAMBO ZINA LAANA!!
Cheers!!
Nadhani ulisoma wrong au upande wanguAfadhali hivyo! Siamini mtu anayeona mwanaume mwenzake anasokomezwa mti anaona nisawa tu.
Hatari sana... Wacha tuendelee kujifunza mkuu, maana Dunia inamengi tusiyo yajua au tunayoyaskia skia tu ila hatujawahi kupata watu wanao yajua kiundani wakapata kutufunulia ili tujue namna sahihi ya kukabiliana nayo.we ndo una akili.....
Wengine mihemko imewajaa ukikoment utaja ambiwa wewe ni upinde
Ili Hali watoto wao wanafokoana huko mpka basi.....
wakiwa mbele ya uso wao wanawaona innocent
Laiti wazazi wangejua uchafu unaofanywa na watoto wao wengine wangezima ndotoni