Usaliti ulivyogharimu maisha ya watu niliowapenda

Usaliti ulivyogharimu maisha ya watu niliowapenda

Unajua Kuna vitu mpaka mtu kuwa humu naamini anataka kujifunza..... zaidi ya anavyotaka kuwa

Kuna mtu alifoka uzi ufutwe nikamuuliza ili iweje ety unachochea mapenzi ya jinsia moja ! Hivi miaka hii yangu 25+ nijifunze kuliwa ? ama kula mtu wa jinsi yangu ? ama kama ni ke, ?

Ikitokea hapo tukio case ya kusema umetekwa itakuwa either tamaa za pesa, ulevi, kuharakia watu usio wajua, ama ulitaka kufanya kwakua mzazi wako Hana ule uhuru wa kukukagua km ulivyo kuwa under 18.......

Watulie atoe story Kuna ya ku note hapa wengi tuna na wana watoto wa kike kwa wakiume...... Unapata la kumshauri mwanao ........

Kuna binti katoka shuleni juz likizo hii anasoma shule moja ya wasichana mkoa wa pwani anaelezea wenzie mabinti wanavyofanya lesb issue.....

Huku wazazi wakiona watoto ni saint Mary kumbe ni mkondo ule ule.......

Tuwe wapole tupate somo hapa...... kwako Tajiri wa Sanga
Bora mwanangu awe Lesib asiwe Homo
 
Yaaan hamna watu nilidhani ni watakatifu kama Hawa watu wa shika zako raba.....

wanayoyafanya ......... sii mbele sii nyuma, sii wizi sii usengenyaji

Tuseme astakafirullah kwa pamoja 😂
Nawe toka utajwe ni upinde basi ni kushabikia tu kwa kujificha ficha. Funguka tu uwe wazi bana....
 
Bora mwanangu awe Lesib asiwe Homo
Lesb ipo ndani ya homo sex ambayo Ina kundi la LGBTQ= LESBIANS (WASAGAJI) GAYS (MASHOGA) BISEXUAL ( WANAO KUWA NA FEELING KWA KE AU ME NA KWA JINSIA YAO HAPA NI WENGI MNO HALINA UBISHI) T TRANSGENDER

kwenye lesb inategemea na alivyo balance hisia zake ........

Kama ana watamani na wanaume apigwe dushe sawa....

Lakini wapo wanakuwa na feelings kwa wanawake tuu..... Yaani hata aone uboo, au kifua Cha mwanaume hashtuki so haya mambo so poa kabisa
 
Someni ili mjifunze, kwa maana kuna elimu kama wale walio ndani ya mfumo hawataamua kutoka hadhalani na kuamua kuitoa hamtakaa muijue hadi mnakufa, sana sana mtabaki kuotea otea tu, kwamba labda inakuaga hivi au inakuaga vile.

So, mods mngeuacha tu huu uzi kwa sababu kwanza muandishi hakuna sehemu ametaja neno mapenzi ya jinsia moja ila ni watu wamejiongeza kwasababu ID yake ni maarufu ila ingekua ni ID mpya hakuna mtu angejua kama hii story inawahusu watu wa jinsia moja.

Lakini pili, inafungua mambo mengi ambayo labda wazazi wengi wenye watoto wakike hawakuwa wanayajua na badala yake walikua wanaweka sana umakini kwa vijana wa kiume huku upande huu mwingine ukipuunzwa so kupitia hizi codes zilizomo ndani ya simulizi hii nadhani kuna wazazi watajifunza jambo na kuangalia namna ya kuwalinda mabinti zao.

Mfano hapo kwenye background ya Lily, utaona kabisa kwamba mambo haya kuna wakati huwa wazazi ndio usababisha yatokee pasipo wao kujua.

Kuna umuhimu wa kuwaambia watoto wenu jinsia zao na majukumu ya jinsia zao ila pia wajue kuziheshimu hizo jinsia zao kabla watu wengine wahaja wafunza namna tofauti.

Anyway, but mtu na mumewe wote wanaenda mwezini, sasa huwa anaanza nani na anafuata nani hayo tumuachie ndugu daktari, sisi tuendelee kufuatilia hii story mujaaarabu😅😅😅.
 
Acha ujinga! Mwanaume kusondekwa dushe unaona ni sawa na hawa wanaoweka ndimi. Hata manii inaingia kwa chinova!!!!
 
Acha ujinga! Mwanaume kusondekwa dushe unaona ni sawa na hawa wanaoweka ndimi. Hata manii inaingia kwa chinova!!!!
Umesema Bora awe lesb lakn Mimi nikakujibu

Lesb ipo ndani ya homo sexuality mzee au

Kuna sehemu nimesema wapigane miti ?
 
Haya bhn umefika nyamisati mzee wangu!

Mimi siwezi kubisha maake ndo mlichokiamni baada ya ile quote.....
Take simple Mkuu. Ila kama sio kweli usikubali siku nyingine mtu akuweke kundi hilo ni kukudhalilisha na kukuchafua.

Pinga Ushoga
Pinga SheMale
Pinga LGBTQ
Pinga Homosexuality
Pinga Bisexuality
Pinga Usenge
Pinga Vifiro

PINGA HIZI MAMBO ZINA LAANA!!

Cheers!!
 
Umesema Bora awe lesb lakn Mimi nikakujibu

Lesb ipo ndani ya homo sexuality mzee au

Kuna sehemu nimesema wapigane miti ?
Huelewi ninachozungumza. Au wewe ni mwanamke kama mariposa. Mwanamke ameumbwa kupokea dushe na manii zake. Mwanaume ameumbwa kutoa si kupokea
 
Someni ili mjifunze, kwa maana kuna elimu kama wale walio ndani ya mfumo hawataamua kutoka hadhalani na kuamua kuitoa hamtakaa muijue hadi mnakufa, sana sana mtabaki kuotea otea tu, kwamba labda inakuaga hivi au inakuaga vile.

So, mods mngeuacha tu huu uzi kwa sababu kwanza muandishi hakuna sehemu ametaja neno mapenzi ya jinsia moja ila ni watu wamejiongeza kwasababu ID yake ni maarufu ila ingekua ni ID mpya hakuna mtu angejua kama hii story inawahusu watu wa jinsia moja.

Lakini pili, inafungua mambo mengi ambayo labda wazazi wengi wenye watoto wakike hawakuwa wanayajua na badala yake walikua wanaweka sana umakini kwa vijana wa kiume huku upande huu mwingine ukipuunzwa so kupitia hizi codes zilizomo ndani ya simulizi hii nadhani kuna wazazi watajifunza jambo na kuangalia namna ya kuwalinda mabinti zao.

Mfano hapo kwenye background ya Lily, utaona kabisa kwamba mambo haya kuna wakati huwa wazazi ndio usababisha yatokee pasipo wao kujua.

Kuna umuhimu wa kuwaambia watoto wenu jinsia zao na majukumu ya jinsia zao ila pia wajue kuziheshimu hizo jinsia zao kabla watu wengine wahaja wafunza namna tofauti.

Anyway, but mtu na mumewe wote wanaenda mwezini, sasa huwa anaanza nani na anafuata nani hayo tumuachie ndugu daktari, sisi tuendelee kufuatilia hii story mujaaarabu😅😅😅.
we ndo una akili.....

Wengine mihemko imewajaa ukikoment utaja ambiwa wewe ni upinde

Ili Hali watoto wao wanafokoana huko mpka basi.....

wakiwa mbele ya uso wao wanawaona innocent

Laiti wazazi wangejua uchafu unaofanywa na watoto wao wengine wangezima ndotoni
 
Take simple Mkuu. Ila kama sio kweli usikubali siku nyingine mtu akuweke kundi hilo ni kukudhalilisha na kukuchafua.

Pinga Ushoga
Pinga SheMale
Pinga LGBTQ
Pinga Homosexuality
Pinga Bisexuality
Pinga Usenge
Pinga Vifiro

PINGA HIZI MAMBO ZINA LAANA!!

Cheers!!
Mimi siwezi kukuchukia mzee..... Nimepitia manyanyaso maneno, na kuonekana mtu wa ajabu

Lakini nilisha samehe hayo mimi kwa sasa siwezi tafuta kuonewa huruma kwa mtu yeyote hapana!

Kuwa na amani mkuu......

Naunga mkono hoja zako.....
 
Afadhali hivyo! Siamini mtu anayeona mwanaume mwenzake anasokomezwa mti anaona nisawa tu.
Nadhani ulisoma wrong au upande wangu

Lakini sio sawa hata kidogo kwa mtu mwenye kuelewa lazima ajute kwa alichokifanya.....

Tuwape wanetu malezi ya uhakika, tuwafundishe kuepukana na tamaa.....

Dunia imejaa wahuni na hakuna wa kumhurumia mtu alishapata anachokitaka anakubwaga

Asimamie asili yenu kama asili....

Akienda kinyume na hapo ni yeye kama mzazi umeshamaliza
 
we ndo una akili.....

Wengine mihemko imewajaa ukikoment utaja ambiwa wewe ni upinde

Ili Hali watoto wao wanafokoana huko mpka basi.....

wakiwa mbele ya uso wao wanawaona innocent

Laiti wazazi wangejua uchafu unaofanywa na watoto wao wengine wangezima ndotoni
Hatari sana... Wacha tuendelee kujifunza mkuu, maana Dunia inamengi tusiyo yajua au tunayoyaskia skia tu ila hatujawahi kupata watu wanao yajua kiundani wakapata kutufunulia ili tujue namna sahihi ya kukabiliana nayo.
 
Inaendelea, SEHEMU YA MWISHO
Siku iliyofata mimi, babe wangu na donor wetu, habari za kutafuta donor nilizileta humu, nilirushiwa mishale sana ila sikujali wala nini, baadae nikapata mtu muelewa, tukaenda hospital na kupata vipimo vyote, kuna ka mzunguko sio mchezo, hiyo siku tuliambiwa wote tuko fresh na tulifanya zoezi la upandikizaji, (sitaiongelea hii ng'o)
Tulisubiri hadi wiki nne nikapima ikawa imoo 🥳, kuna wengine hupima in two weeks ni wewe tu na uharaka wako,

Back to Lily, familia ilifata ushauri wakampeleka sober house mkoa flan bangi na pombe zilimuathiri waswahili tunasema vilimkataa, alikaa kwa miezi mingi, nakumbuka siku hiyo nipo job naendelea na majukumu yangu ikaingia namba ngeni kupokea ni yeye aisee nilihisi kuzimia, nikakata simu, akapiga tena sikupokea akaandika meseji ndeeeeefu ya kuomba msamaha na kudai amebadilika amekua mtu mwema, blah blah, sikumuamini tena nikablock ile namba nikatulia, akaendelea kupiga na kutuma meseji akisisitiza anahitaji msamaha wangu ili aishi kwa amani,
Nilivyorudi home nikamuonesha babe akasema mjibu kua umemsamehe ili abaki na amani zake asikusumbue, nikawaza sana nikaona fresh tu, nikamjibu kua nimemsamehe abaki na amani ila asinitafute tena na namba yangu aifute hadi akilini akajibu kwa kushukuru hakunitafuta tena,

Turudi nyuma nilivyopata ujauzito babe akasema sasa inatosha kazi za mbali, tumejitafuta tumejipata anahitaji kua karibu na familia yake, akamalizia mkataba wake hakuongeza tena akarudi nyumbani, alikuwepo siku tunampokea mtoto wenu duniani awww🥰

Lily alikuja kusikia nina mtoto akanitafuta bila kupokea simu zake siku hiyo akajitoa ufahamu na kuja tulipokua tunaishi akaambiwa tulishahama kitambo, akatuma meseji eti ana zawadi za mtoto atajisikia vizuri kama akimuona na kumpatia, wala sikumjibu, tangu hapo mpaka jana Lily hajawahi kuacha kunipigia simu nakutuma meseji anajua japo nimemblock lakini naziona huenda siku moja nitakuja kumjibu, uzuri kwenye makazi yetu ya sasa hapajui angekua kishafika,
Najua wengine mtasema why nisibadilishe namba ya simu, hii namba ni ya miaka mingi na ipo kwenye vitu vingi kuipoteza ni kuanza moja,

Siwezi kuusahau ule mwaka 2020, mwaka ambao nilikutana na psycho, laiti kama siku zingerudi nyuma kwa hakika ningerudi na kurekebisha hilo kosa, namshukuru Mungu kwa kunipa mtu muelewa kwenye maisha yangu, angeniacha pengine na mimi ningekua kama Lily🥺 (Lord forbid),

Funzo kwa wote mtulie kwenye mahusiano yenu, kuonja onja ndio hayo mnaonja na vyenye sumu,

Nawashukuru kwa muda wenu

MWISHO.
 
Back
Top Bottom