Usaliti ulivyogharimu maisha ya watu niliowapenda

Sasa ndio nimeelwa na nimeelwa comment za watu kumbe ipo ivyo?
 
La mama! réal mamy nakukubali kinoma uko civilized
 
Kwahiyo hata huyo babe wake mwingine ni ke tena?? 😥
Nikajua ana ndoa na mwanaume ila anachepuka na jinsia yake.!! Duh hii kali aloo 🤣😹😹😹
Wee itakuwa hukusoma ule uzi wa Dr wa kutafuta sperm donor. Alisema yeye ni Lesb, hapendi mahusiano na Me ila anatafuta a temporary suitable guy wa kumpa mimba pekee. Ikishaingia tu wasijuane tena, atalea mwenyewe mimba na mtoto
 
Kwa kipindi cha miaka michache dunia imebadilika sana,
Wanawake wanawataka wanawake wenzao,na wanaume wanawataka wanaume wenzao,
 
1). Nilichojifunza wanawake huumizana wao kwa wao halafu sisi tunaokota misagaj…i na kuwaita wake.

2). Polisi hela mwanzo maadili wao hawajali sana, najua Lily kwa uchizi wake lazima alisema ukweli kuwa wao wanasagana.

3). Tafuta hela mapenzi yafanye kama part time jobs tu.
 
Ko kaleta chai
 
Mimi ndo maana huwaga na mashaka na wanaojiita ma bff wa kike, utakuta wadada wanapakatana, wanapigana mabusu ya mashavu, wanapigana vibao vya makalio, wanawekana profile na ku-postiana Whatsapp status almost kila wiki picha wakiwa vacation, haswa haswa hawa wadada wanaopostiana status, unakuta wadada wazuri haswa ila najiuliza hawana boyfriends wa kuwaweka status🤔 au kuna mambo mengine chini ya pazia. Halafu jamii kwa asilimia kubwa haiangalii hizo interaction kwa macho ya mashaka.

Tukichunguza vizuri unaeza kuta ishu ya usagaji huenda ikawa imeenea mno kuliko hata ushoga Dr. Mariposa MFALME WETU Lamomy Mzee wa kupambania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…