Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Nae ni mwanamkeSasa huyo babe wako anabond vipi na mtoto ambaye hana vinasaba naye??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nae ni mwanamkeSasa huyo babe wako anabond vipi na mtoto ambaye hana vinasaba naye??
Ndo maana ake mzee 😂Duh ndo hadi anasema kuwa anamshukuru mungu kwa kumpa mtu sahihi kwenye maisha yake, ko hapo wanaweza kuoana hadi kifo ndo kiwatenganishe?
Sasa ndio nimeelwa na nimeelwa comment za watu kumbe ipo ivyo?Inaendelea, SEHEMU YA MWISHO
Siku iliyofata mimi, babe wangu na donor wetu, habari za kutafuta donor nilizileta humu, nilirushiwa mishale sana ila sikujali wala nini, baadae nikapata mtu muelewa, tukaenda hospital na kupata vipimo vyote, kuna ka mzunguko sio mchezo, hiyo siku tuliambiwa wote tuko fresh na tulifanya zoezi la upandikizaji, (sitaiongelea hii ng'o)
Tulisubiri hadi wiki nne nikapima ikawa imoo 🥳, kuna wengine hupima in two weeks ni wewe tu na uharaka wako,
Back to Lily, familia ilifata ushauri wakampeleka sober house mkoa flan bangi na pombe zilimuathiri waswahili tunasema vilimkataa, alikaa kwa miezi mingi, nakumbuka siku hiyo nipo job naendelea na majukumu yangu ikaingia namba ngeni kupokea ni yeye aisee nilihisi kuzimia, nikakata simu, akapiga tena sikupokea akaandika meseji ndeeeeefu ya kuomba msamaha na kudai amebadilika amekua mtu mwema, blah blah, sikumuamini tena nikablock ile namba nikatulia, akaendelea kupiga na kutuma meseji akisisitiza anahitaji msamaha wangu ili aishi kwa amani,
Nilivyorudi home nikamuonesha babe akasema mjibu kua umemsamehe ili abaki na amani zake asikusumbue, nikawaza sana nikaona fresh tu, nikamjibu kua nimemsamehe abaki na amani ila asinitafute tena na namba yangu aifute hadi akilini akajibu kwa kushukuru hakunitafuta tena,
Turudi nyuma nilivyopata ujauzito babe akasema sasa inatosha kazi za mbali, tumejitafuta tumejipata anahitaji kua karibu na familia yake, akamalizia mkataba wake hakuongeza tena akarudi nyumbani, alikuwepo siku tunampokea mtoto wenu duniani awww🥰
Lily alikuja kusikia nina mtoto akanitafuta bila kupokea simu zake siku hiyo akajitoa ufahamu na kuja tulipokua tunaishi akaambiwa tulishahama kitambo, akatuma meseji eti ana zawadi za mtoto atajisikia vizuri kama akimuona na kumpatia, wala sikumjibu, tangu hapo mpaka jana Lily hajawahi kuacha kunipigia simu nakutuma meseji anajua japo nimemblock lakini naziona huenda siku moja nitakuja kumjibu, uzuri kwenye makazi yetu ya sasa hapajui angekua kishafika,
Najua wengine mtasema why nisibadilishe namba ya simu, hii namba ni ya miaka mingi na ipo kwenye vitu vingi kuipoteza ni kuanza moja,
Siwezi kuusahau ule mwaka 2020, mwaka ambao nilikutana na psycho, laiti kama siku zingerudi nyuma kwa hakika ningerudi na kurekebisha hilo kosa, namshukuru Mungu kwa kunipa mtu muelewa kwenye maisha yangu, angeniacha pengine na mimi ningekua kama Lily🥺 (Lord forbid),
Funzo kwa wote mtulie kwenye mahusiano yenu, kuonja onja ndio hayo mnaonja na vyenye sumu,
Nawashukuru kwa muda wenu
MWISHO.
HAuna jaribu this year.Kama usaliti una gharama kiasi hiki basi nimeacha usaliti 😜🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼
La mama! réal mamy nakukubali kinoma uko civilizedMbona Dr Mwenyewe anasimulia kwa adabu na Busara zote na hakuna mahali katukana au hakuna mahali ametuita kwa lazima 😜😜tumejileta wenyewe hapa.
Nyie mnaopinga kwa nini mmesoma uzi 😅😅😅
Msihukumu nanyi mtahukumiwa.
Usitoe kibanzi kwenye jicho la ndugu yako……………..
Wee itakuwa hukusoma ule uzi wa Dr wa kutafuta sperm donor. Alisema yeye ni Lesb, hapendi mahusiano na Me ila anatafuta a temporary suitable guy wa kumpa mimba pekee. Ikishaingia tu wasijuane tena, atalea mwenyewe mimba na mtotoKwahiyo hata huyo babe wake mwingine ni ke tena?? 😥
Nikajua ana ndoa na mwanaume ila anachepuka na jinsia yake.!! Duh hii kali aloo 🤣😹😹😹
Thanks Big 😍La mama! réal mamy nakukubali kinoma uko civilized
Kwa kipindi cha miaka michache dunia imebadilika sana,Kwani hamna ke wanaotamani kufunua sketi za wenzao hasa wawe wazurii watapata taabu haswa!
Mdogo wangu mmoja wa kufikia kaja dar kwa kazi zake tuu hapa na pale.....
Mimi ni mtu mmoja mtulivu sana na mkimya hasa ninaookuwa na watu wengi ama wageni wageni.....
Yule binti akanisoma naye ndo tabia kama zangu japo jinsia tofaut
Tulivyo zoeana akaniuliza siku moja ety Tomboy ndo nn ? Mimi nilicheka sana nikamuuliza umekutana na nni? Akawa kama kapanic
Nikamtuliza then nikamjibu ni mwanamke mwenye swaga za kiume nni oyaah oyaah kma zote!
Ndo akaniambia Jana Kuna mdada wakati yupo restaurant kamfata ..... anamwambia ni mzurii, kamwelewa sjui hivi mara vile....
Nikamwambia kaa mbali naye..... Huyo atakuwa lesb nikampa darasa maake dogo hata style zetu za chuma mboga ukiongea anaona msamiati mpya
Japo katoka bush she's cute aseeh,, white, tall medium, ana hips flani... Hivo mzee
Ko kaleta chaiWewe ni KE
Mwaka 2023 umekuwa mwaka wa mafanikio sana kwangu
Guys, i hope mko poa sana, Kiukweli mwenzenu nina furaha huu mwaka naumaliza vizuri kwa kupata hitaji la moyo wangu, Guess whaaaaaaat! I'm a new Mom in town [emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060] Ilikua March daktari aliponambia nina ujauzito baada ya kuumwa sana bila kuelewa...www.jamiiforums.com
Mimi ndo maana huwaga na mashaka na wanaojiita ma bff wa kike, utakuta wadada wanapakatana, wanapigana mabusu ya mashavu, wanapigana vibao vya makalio, wanawekana profile na ku-postiana Whatsapp status almost kila wiki picha wakiwa vacation, haswa haswa hawa wadada wanaopostiana status, unakuta wadada wazuri haswa ila najiuliza hawana boyfriends wa kuwaweka status🤔 au kuna mambo mengine chini ya pazia. Halafu jamii kwa asilimia kubwa haiangalii hizo interaction kwa macho ya mashaka.Izi ishu za kusagana sio jambo geni kabisa huku kitaa especially kwa hawa dada zetu wa kusini ni kitu cha kawaida sana na sasaiv idadi yao ni kubwa sana.
%kubwa ya wadada wanaoitana "Babe" "my other half" sweet nininini sijui kwenye simu au wanaolala kitanda kimoja hususan hostel au huku mtaani ni wanasagana💯 na ni kitu ambacho nishafanyia utafiti na nikahitimisha way long ago.
Leta maneno Dr. Mariposa
Najua, kwani yeye anakua nani yake sasa? Baba, hakutoa manii, mama mdogo, hana hundugu na mama, shangazi, hana undugu na baba!!! Sasa yeye ni nani??Nae ni mwanamke