Usaliti ulivyogharimu maisha ya watu niliowapenda

Usaliti ulivyogharimu maisha ya watu niliowapenda

Tunatamanije na utu Uzima huu 😅😅😅
Si ndo hapo sasa.!! Humu wote watu wazima hakuna mtoto wa kushawishiwa upuuzi hayo yatakuwa ni matamanio yake tyuu.!! 😹🤣🤣
 
Hata kama una kovu kifuani ukavaa bra nzuri au pamba kali utatoka nje na watu watakusifia lakini ukirudi ndani utaivua ile bra na nguo zako za thamani bado kovu lako kifuani litaonekana. Kama umenielewa yote lakini kama hujanielewa nitakutafuta nikupe darsa kidogo
Fungua kanisa upige sadaka 😹😹
 
Nataka niwasaidie wanaume wenzangu wakristo!

Mungu alituumba sisi Kwa asilimia kubwa kama polygamist na sio nucleated individual!

Utaoa wa kwanza baadae atakuja was pili na watatu na no Mungu ndio atakua amewaleta kwako sio tamaa tu!

Kama ni tamaa itaisha ghafla Wala haitakua endelevu lakini kama ni mapenzi yenye mwendelezo hayo ni mapenzi ya Mungu hayo unatakiwa uyakabili na kujua jinsi ya kuyaweka sawa!

Usikimbie mapenzi kisa eti unataka uwe mwaminifu Kwa mkeo !Bora umwambie unaoa tena na yeye atakua Bi mkubwa hasta kama kanisa halitaki kusikia nature itakusikia na kukubariki!!
Hahaha,
Yes, we are naturally polygamous.

Ila sasa huyo uliyem quote siyo mwanaume, ni mdada
 
Sasa mahubiri unamletea nani hapa? 😹😹
Wewe huna pepo ya kutupeleka wala moto wa kutuchoma, jambo muhimu nakushauri fungua kanisa 🤣😹😹👋
Unajua Kuna vitu mpaka mtu kuwa humu naamini anataka kujifunza..... zaidi ya anavyotaka kuwa

Kuna mtu alifoka uzi ufutwe nikamuuliza ili iweje ety unachochea mapenzi ya jinsia moja ! Hivi miaka hii yangu 25+ nijifunze kuliwa ? ama kula mtu wa jinsi yangu ? ama kama ni ke, ?

Ikitokea hapo tukio case ya kusema umetekwa itakuwa either tamaa za pesa, ulevi, kuharakia watu usio wajua, ama ulitaka kufanya kwakua mzazi wako Hana ule uhuru wa kukukagua km ulivyo kuwa under 18.......

Watulie atoe story Kuna ya ku note hapa wengi tuna na wana watoto wa kike kwa wakiume...... Unapata la kumshauri mwanao ........

Kuna binti katoka shuleni juz likizo hii anasoma shule moja ya wasichana mkoa wa pwani anaelezea wenzie mabinti wanavyofanya lesb issue.....

Huku wazazi wakiona watoto ni saint Mary kumbe ni mkondo ule ule.......

Tuwe wapole tupate somo hapa...... kwako Tajiri wa Sanga
 
Mbona Dr Mwenyewe anasimulia kwa adabu na Busara zote na hakuna mahali katukana au hakuna mahali ametuita kwa lazima 😜😜tumejileta wenyewe hapa.

Nyie mnaopinga kwa nini mmesoma uzi 😅😅😅

Msihukumu nanyi mtahukumiwa.
Usitoe kibanzi kwenye jicho la ndugu yako……………..
 
Inaendelea, No 2

Nilivyorudi home nikawa na mixed feelings, niliumia kumsaliti mpenzi wangu lakini pia nilienjoy show ya mtoto Lily nikawaza mbona hafananii? alionekana ni binti mpole sana asiye na hatia lakini kitandani kiboko, anyway nikamcall na kumwambia kilichotokea kiishe kisijirudie tena, akaitikia kinyonge sana na maisha yakaendelea, mawasiliano yalikuwepo ila nilikua namkwepa sana tusionane,
Siku moja ofisini kwetu kukawa na event Znz, tulialika watu na yeye nikamualika so akawa ni mgeni wangu, tulivyofika Zenji tukafikia hotel ila wageni walipewa pesa cash wajichagulie wao pakulala kama mtu ana ndugu ruksa au kama watashea room ni wao tu, basi Lily akaniomba ashee room na mimi ili asave pesa yake, nilijiwazia sana ila nikaona fresh huyu ni mwanafunzi acha asave pesa itamsaidia, usiku ulikua mrefu sana kwetu uvumilivu ulinishinda nikasaliti tena mahusiano yetu, tulikaa Znz for 3 days tuliienjoy each other, tulivyorudi Dar penzi likaiva, likawa shata shata,

About my babe, yeye alikua nje ya nchi kikazi, ndani ya Mwaka tulionana mwezi mmoja au mitatu, inategemea na likizo, ni kazi ambayo kwa pamoja tuliiridhia ili tufanikishe malengo yetu, ila hii sijaiweka kama kutetea usaliti wangu, bado nilikosea, mahusiano yetu yatafikisha miaka 10 huu mwaka,

Kupeleka story mbele, baada ya mwaka mmoja wa mahusiano yetu na Lily,
Mwaka 2021 September, babe wangu alikuja for my birthday katika vitu hawezi kumiss ni birthday yangu, so tukasafiri nje ya Dar, just kuenjoy pamoja, nikampanga Lily kua babe wangu amekuja na tunasafiri asinitafute mpaka nitakaporudi hapo ndio niliamsha a monster inside her, hakuweza kuvumilia kukaa bila mawasiliano, alipiga simu na kutuma meseji nonstop, kiufupi alichanganyikiwa alisema kila giza likiingia anawaza kuna mtu mwingine ananigusa basi anapata ukichaa, usumbufu ulikua mkubwa ikabidi nimblock kila sehemu, babe wangu nilimpanga ni simu za kazi anaelewa pia aliniamini sana,
Lily alipogundua nimemblock akatumia namba nyingine kupokea alikua ni yeye analia sana, niliumia hua sipendi kuona mtu analia hata awe nani, nikamtuliza akatulia nikapanga nikirudi Dar inabidi nimmwage haraka bila hivyo ataniharibia mahusiano yangu maana hakuweza kula na kipofu....

Itaendelea
Utoto
 
Unajua Kuna vitu mpaka mtu kuwa humu naamini anataka kujifunza..... zaidi ya anavyotaka kuwa

Kuna mtu alifoka uzi ufutwe nikamuuliza ili iweje ety unachochea mapenzi ya jinsia moja ! Hivi miaka hii yangu 25+ nijifunze kuliwa ? ama kula mtu wa jinsi yangu ? ama kama ni ke, ?

Ikitokea hapo tukio case ya kusema umetekwa itakuwa either tamaa za pesa, ulevi, kuharakia watu usio wajua, ama ulitaka kufanya kwakua mzazi wako Hana ule uhuru wa kukukagua km ulivyo kuwa under 18.......

Watulie atoe story Kuna ya ku note hapa wengi tuna na wana watoto wa kike kwa wakiume...... Unapata la kumshauri mwanao ........

Kuna binti katoka shuleni juz likizo hii anasoma shule moja ya wasichana mkoa wa pwani anaelezea wenzie mabinti wanavyofanya lesb issue.....

Huku wazazi wakiona watoto ni saint Mary kumbe ni mkondo ule ule.......

Tuwe wapole tupate somo hapa...... kwako Tajiri wa Sanga
Wanatafuta sifa za kijinga na utakatifu wasiokuwa nao 😹😹
 
Back
Top Bottom