Usaliti wa Zitto na umuhimu wa Zitto kwa watanzania

Usaliti wa Zitto na umuhimu wa Zitto kwa watanzania

Tunamwihitaji sana zitto now

Kuliko unavyoweza kufikiri ....

Au na sisi tuanike madudu mliyomfanyia lissu achen upumbavu

Safar ya kuikomboa hii nchi bado ni ndefu ...

Kupambana ni muhim
 
Hakuna mwanasiasa msafi katika hii dunia hata huyo unayemwamini ukimchunguza atakuta ni msaliti mkubwa tu!
 
Wee mleta mada mbona hoja yako hii tulishaijadili na ikafungwa leo vipi unairudisha? lete hoja mpya with evidence tujadili kwa mapana
 
Sasa umeandika nini, ko kumbe siku hizi neno usaliti lina mana tofauti na awali saizi anayeongea ukweli ndo msaliti, lakini wanaowadanganya wananchi ndo wazalendo
 
Huu upuuzi ZZK aliujibu, akauliza ni mwanasiasa gani huwa hawasiliani na TISS

pia alitaka kuanika madudu ya wengine sema akakausha, nakumbuka alimwambia TL ni kifaranga hauwezi mziki amwachie anaye mtuma.

NB: hizi ni porojo, cdm hawawezi kuwa na intelejensia kali hivyo, maana wamepandikiziwa mamluki kizembe sana hadi kusambaratika
 
Wee mleta mada mbona hoja yako hii tulishaijadili na ikafungwa leo vipi unairudisha? lete hoja mpya with evidence tujadili kwa mapana
Kazi kweli kweli,watu wanapoonekana kuisahihisha serikali au kuikosoa wanapakwa matope
 
Walahi kipindi cha 2010-2012 kweli Zitto alizikumba, no wonder anakuja juu kwa sasa kwa kukosa hayo mapeni, si ya mchezo, na dola badala ya kufanya ya maana ilikalia kuhonga hawa wapuuzi huku tukikosa mambo ya maana mno mno kama miundo mbinu, afya, elimu, ustawi wa jamii na maji! 🙁😕😡😡😡
Wana ccm moja 1 ndorobo kabisa...
 
Huyu jamaa yupo wapi Wakuu, tafadhali mwenye taarifa zake utupatie.

Sent using my 6x6 bed.
 
Walifeli sana hapo walipomtaja Ben Saanane kuwa ndio alikua mnoko wao kwenye kundi la zitto.

BTW, zitto ni nyoka, huwezi kukaa ndani na nyoka.
 
Amejinasibu kukosoa juu ya mkataba wa Kabanga Nickel ambapo anadai serikali iliingia mkataba na kampuni ya Lz Nickel kwa kuwapa faida ya mabil ya Usd wao bila kufanya utafiti lakini amepuuzwa na wananchi.

Baada ya mgao wa maji kuanza akakosoa serikali ya hayati Magufuli kuacha kutekeleza mradi wa kuzalisha maji wa Kidunda. Na hapa ndio akadai kuwa chanzo cha mgao wa maji,lakini pia amepuuzwa.

Mbona siku hizi hana ushawishi kama alivyokuwa hapoa awali akiibuwa kashfa za Buzwagi hadi Karamagi akajiudhuru? Mbona hata wapinzani wenzake wanamuona msaliti?
 
Back
Top Bottom