Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Muulize mrundi mwenzakoAmejinasibu kukosoa juu ya mkataba wa Kabanga Nickel ambapo anadai serikali iliingia mkataba na kampuni ya Lz Nickel kwa kuwapa faida ya mabil ya Usd wao bila kufanya utafiti lakini amepuuzwa na wananchi.
Baada ya mgao wa maji kuanza akakosoa serikali ya hayati Magufuli kuacha kutekeleza mradi wa kuzalisha maji wa Kidunda. Na hapa ndio akadai kuwa chanzo cha mgao wa maji,lakini pia amepuuzwa.
Mbona siku hizi hana ushawishi kama alivyokuwa hapoa awali akiibuwa kashfa za Buzwagi hadi Karamagi akajiudhuru? Mbona hata wapinzani wenzake wanamuona msaliti?