Usaliti wa Zitto na umuhimu wa Zitto kwa watanzania

Sababu kubwa ni kukosana na Mbowe na kisha kuendelea kung'aa kisiasa.

Ndio maana misukule ya Mbowe haijawahi kushusha silaha chini.

Wote wanaokosana na Mbowe huwa wanapotea ika yeye imekuwa ngumu.
 
Vinyonga mlioko CCM mjiandae sio Siri

Kiongozi Mwana CCM anatakiwa kuwa consistent sio kugeuka geuka Kama kinyonga Kama Zitto Kabwe mwangalia upepo

Huyo Ni CCM maslahi

CCM maslahi hawana political future hata wawe na hela kumzidi Lowasa aliyenunua Chadema au Membe linalojiita kachero bobezi wakati Ni fisaditupwa lenye pesa chafu nyingi lilishindwa kupenya 2015 na mipesa yake yeye na fisadi mwenzie Lowasa

Nyerere aliisuka hi nchi ikasukika

Wataka maslahi chapchap ya kifisadi sio Siri 2025 waandae maji ya kunywa kupunguza presssure timu Nyerere itawapiga mateke Kama midoli ya upepo hawataamini macho yao Kama Aboud Jumbe na Lowasa na Membe nk walivyoshindwa kuamini macho yao

Timu Nyerere iko hewani na itabaki sababu ina succession plan very strong

Wenye madaraka tumikieni wananchi walio wengi please .Short of that hata mpate support ya mataifa ya nje yote mfisadi kitakachowakuta hamtaamini

Akina Zitto Kabwe na Tundu Lisu walikuwa wakifrustate wawekezaji wa nje wakishirikiana na ACACIA management company ya migodi ya kudai rushwa na kifisadi wakiibia main shareholder Barrick na Serikali wakati parent company main shareholder Barrick Wala hakuwa na shida na watanzania kwa lolote Wala serikali na wala hakuhitaji kuhonga kukubalika Kama Barrick

Nchi hi itabaki ya majority wanyonge tu full stop.Matapeli wizara ya madini na nishati wawe CCM au upinzani 2025 mjiandae vinyonga hamtakuwa na nafasi .
Kwa hiyo unataka kusema mama mwisho 2025!
 
Sijamtaja usinilishe maneno
Sasa mkuu, kama ateendelea kuna kitakachobadilika?
 
Nyota yake kisiasa ILISHAFIFIA kitambo. Sasa anajitutumua asisahaulike.
Wabongo bwana, yaani mtu ambaye alifukuzwa Chadema na ndani ya muda mfupi akaanza chama chake cha ACT Wazalendo, akaenda mbali mpaka kumshawishi gwiji la siasa za Zanzibar, Maalim Sefu, kujiunga naye, na sasa wako kwenye SUK wewe bado unamuita failure?? Tayari mwenzio ameshaandika legacy yake my friend.
 
Amejinasibu kukosoa juu ya mkataba wa Kabanga Nickel ambapo anadai serikali iliingia mkataba na kampuni ya Lz Nickel kwa kuwapa faida ya mabil ya Usd wao bila kufanya utafiti lakini amepuuzwa na wananchi.

Baada ya mgao wa maji kuanza akakosoa serikali ya hayati Magufuli kuacha kutekeleza mradi wa kuzalisha maji wa Kidunda. Na hapa ndio akadai kuwa chanzo cha mgao wa maji,lakini pia amepuuzwa.

Mbona siku hizi hana ushawishi kama alivyokuwa hapoa awali akiibuwa kashfa za Buzwagi hadi Karamagi akajiudhuru? Mbona hata wapinzani wenzake wanamuona msaliti?
Zitto ni mpinzani hasiye na madhara, maccm wanamtumia kuwarubuni watz

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Amejinasibu kukosoa juu ya mkataba wa Kabanga Nickel ambapo anadai serikali iliingia mkataba na kampuni ya Lz Nickel kwa kuwapa faida ya mabil ya Usd wao bila kufanya utafiti lakini amepuuzwa na wananchi.

Baada ya mgao wa maji kuanza akakosoa serikali ya hayati Magufuli kuacha kutekeleza mradi wa kuzalisha maji wa Kidunda. Na hapa ndio akadai kuwa chanzo cha mgao wa maji,lakini pia amepuuzwa.

Mbona siku hizi hana ushawishi kama alivyokuwa hapoa awali akiibuwa kashfa za Buzwagi hadi Karamagi akajiudhuru? Mbona hata wapinzani wenzake wanamuona msaliti?
ZZK ni mpinzani wa MCHONGO.
 
Kwa hiyo unataka kusema mama mwisho 2025!

Sasa mkuu, kama ateendelea kuna kitakachobadilika?
Siongelei mtu Tanzania itabaki salama for good

Nyerere aliacha sussesion plan ya miaka 100

Hawa walioko hata wachemke Sio big deal kuna back ita take care 2025 things will be ok wako probation period wakishindwa out halina mjadala wote kuanzia serikalini , bungeni na mahakamani Kama hawatasimamia interest za nchi za wanyonge ambao ndio wengi wapaki mabegi kabisa 2025 watafute kwa kwenda
 
Siongelei mtu Tanzania itabaki salama for good

Nyerere aliacha sussesion plan ya miaka 100

Hawa wakioko hata wachemke Sio big deal kuna back ita take care 2025 things will be ok wako priobation period wakishindwa out halina mjadala wote kuanzia serikalini , bungeni na mahakamani Kama hawatasimamia interest za nchi za wanyonge ambao ndio wengi wapaki mabegi kabisa 2025 watafute kwa kwenda
Kuna kitu kimekukaa shingoni lakini hutaki kukiweka wazi. Mimi nimekuelewa mkuu, nhoja tuone itakavyokuwa. Muda ni mwalimu mzuri. Tuombe uzima.
 
Wabongo bwana, yaani mtu ambaye alifukuzwa Chadema na ndani ya muda mfupi akaanza chama chake cha ACT Wazalendo, akaenda mbali mpaka kumshawishi gwiji la siasa za Zanzibar, Maalim Sefu, kujiunga naye, na sasa wako kwenye SUK wewe bado unamuita failure?? Tayari mwenzio ameshaandika legacy yake my friend.
Lakini haiondoi usaliti wake siyo kwa Chama tu bali hata kwa nchi. Wasaliti pia huandika na kuacha historia zao za kisaliti.
 
Back
Top Bottom