Msengapavi
JF-Expert Member
- Oct 23, 2008
- 8,819
- 7,638
Baba Swalehe Ndwata naona hujitambuiTunamwihitaji sana zitto now
Kuliko unavyoweza kufikiri ....
Au na sisi tuanike madudu mliyomfanyia lissu achen upumbavu
Safar ya kuikomboa hii nchi bado ni ndefu ...
Kupambana ni muhim
Hongera weweBaba Swalehe Ndwata naona hujitambui
Imawezekana mkuuKisandu hyu huyu?
Lisu gani kamanda?Tunamwihitaji sana zitto now
Kuliko unavyoweza kufikiri ....
Au na sisi tuanike madudu mliyomfanyia lissu achen upumbavu
Safar ya kuikomboa hii nchi bado ni ndefu ...
Kupambana ni muhim
Mi sio kamanda mkuuLisu gani kamanda?
Huyu aliyemtimuaga Zitto MSALITI kwa kutaka kuwania kile KITI cha MTEULE?
Kazi kweli kweli,watu wanapoonekana kuisahihisha serikali au kuikosoa wanapakwa matopeWee mleta mada mbona hoja yako hii tulishaijadili na ikafungwa leo vipi unairudisha? lete hoja mpya with evidence tujadili kwa mapana