Muulize mrundi mwenzakoAmejinasibu kukosoa juu ya mkataba wa Kabanga Nickel ambapo anadai serikali iliingia mkataba na kampuni ya Lz Nickel kwa kuwapa faida ya mabil ya Usd wao bila kufanya utafiti lakini amepuuzwa na wananchi.
Baada ya mgao wa maji kuanza akakosoa serikali ya hayati Magufuli kuacha kutekeleza mradi wa kuzalisha maji wa Kidunda. Na hapa ndio akadai kuwa chanzo cha mgao wa maji,lakini pia amepuuzwa.
Mbona siku hizi hana ushawishi kama alivyokuwa hapoa awali akiibuwa kashfa za Buzwagi hadi Karamagi akajiudhuru? Mbona hata wapinzani wenzake wanamuona msaliti?
AhaaaaUkosoaji wake huwa wa kuitia rushwa .ACCACIA wanajua Sana yeye na Tundu Lisu Wala rushwa wakubwa.Wakipewa wanaufyata wanaanza kutetea na kutishia MIGA
Kifupi alipndolewa uenyekiti kamati ya Bunge ya fedha za mashirika ya umma yaani PAC sababu hiyo ya nipeni pesa vinginevyo nawalipua bungeni Mla rushwa Sana huyo
Panya buku zilishakuharibu akili.Muulize mrundi mwenzako
Jamaa mnafiki sana yuleNyota yake kisiasa ILISHAFIFIA kitambo. Sasa anajitutumua asisahaulike.
Umeandika upupu mtupuUkosoaji wake huwa wa kuitia rushwa .ACCACIA wanajua Sana yeye na Tundu Lisu Wala rushwa wakubwa.Wakipewa wanaufyata wanaanza kutetea na kutishia MIGA
Kifupi alipndolewa uenyekiti kamati ya Bunge ya fedha za mashirika ya umma yaani PAC sababu hiyo hiyo ya nipeni pesa vinginevyo nawalipua bungeni Mla rushwa Sana huyo
Hilo ndiyo zao la burundiZitto tamaa nyingi...
Mpinzani ndani ya ccmChadema ndio wamwitao msaliti binafsi bado tunamwita mpinzani.
Wana cdm tunajipongeza kwa kumtoa huyu jini nyonya siri za chama.Mamluki Zitto...
Ikibidi ni kuwafunga kifaa maalum cha siri wote wawili ili kufuatilia nyendo zaoAkinusa harufu ya pesa mahala ndio hugeukia huko, nadhani pua yake sasa hivi imeshanusa LNG naona ameshageukia huko, na alivyo na ushirikiano na waziri husika mwenye tamaa ya pesa wale ni kuwaangalia kwa makini sana.
Zitto kabwe angekuwa mbali Sana kisiasa ndani ya CCM na ndani ya Chadema ila kupenda vyeo chap chap ili apate vya rushwa na fursa fisadi za haraka haraka zilimponzaAkinusa harufu ya pesa mahala ndio hugeukia huko, nadhani pua yake sasa hivi imeshanusa LNG naona ameshageukia huko, na alivyo na ushirikiano na waziri husika mwenye tamaa ya pesa wale ni kuwaangalia kwa makini sana.
Mbona unatufokea wanaCCM!Zitto kabwe angekuwa mbali Sana kisiasa ndani ya CCM na ndani ya Chadema ila kupenda vyeo chap chap ili apate vya rushwa na fursa fisadi za haraka haraka zilimponza
Angetulia CCM angekuwa probable candidate wa umakamu wa uraisi mapema tu mfano Magufuli alivyofariki angepewa yeye na sio Mpango .Mzee Mpango so humble Kama angeona Yuko kijana material toka kigoma angemwachia Zitto Kabwe kwani system ilitaka makamu atoke sehemu ya chini Zitto angepewa bila shida ila hayuko patient na anaendekeza njaa na ufisadi Kama January Makamba,Nape na Ndugai.Makamu Raisi angeweza kupewa hata Ndugai lakini hopeless kabisa kinyonga mkubwa
Zitto angepewa ukatibu mkuu Chadema baada ya Dk Slaa kuondoka na kwenda CCM
Vinyonga wote mlioko CCM mjue hamna political future msidhani mbeleni mtaenda Ikulu na mijasho ya kibwege Kama ya Nape kuomba msamaha na mkubaliwe hakuna . Serikali ijayo vinyonga wote tafuteni Cha kufanya nawaeleza mapema mjue.Hanrudi bungeni Wala post yeyote serikalini bila kujali position mlizonazo Sasa hivi
Backup aliyokua anaipata kutoka kwa wapinzani wenzake ndo ilikua ikimbeba,.Amejinasibu kukosoa juu ya mkataba wa Kabanga Nickel ambapo anadai serikali iliingia mkataba na kampuni ya Lz Nickel kwa kuwapa faida ya mabil ya Usd wao bila kufanya utafiti lakini amepuuzwa na wananchi.
Baada ya mgao wa maji kuanza akakosoa serikali ya hayati Magufuli kuacha kutekeleza mradi wa kuzalisha maji wa Kidunda. Na hapa ndio akadai kuwa chanzo cha mgao wa maji,lakini pia amepuuzwa.
Mbona siku hizi hana ushawishi kama alivyokuwa hapoa awali akiibuwa kashfa za Buzwagi hadi Karamagi akajiudhuru? Mbona hata wapinzani wenzake wanamuona msaliti?
Vinyonga mlioko CCM mjiandae sio SiriMbona unatufokea wanaCCM!