Usaliti wa Zitto na umuhimu wa Zitto kwa watanzania

Sababu kubwa ni kukosana na Mbowe na kisha kuendelea kung'aa kisiasa.

Ndio maana misukule ya Mbowe haijawahi kushusha silaha chini.

Wote wanaokosana na Mbowe huwa wanapotea ika yeye imekuwa ngumu.
 
Kwa hiyo unataka kusema mama mwisho 2025!
 
Kwa hiyo unataka kusema mama mwisho 2025!
Sijamtaja usinilishe maneno
Sasa mkuu, kama ateendelea kuna kitakachobadilika?
 
Nyota yake kisiasa ILISHAFIFIA kitambo. Sasa anajitutumua asisahaulike.
Wabongo bwana, yaani mtu ambaye alifukuzwa Chadema na ndani ya muda mfupi akaanza chama chake cha ACT Wazalendo, akaenda mbali mpaka kumshawishi gwiji la siasa za Zanzibar, Maalim Sefu, kujiunga naye, na sasa wako kwenye SUK wewe bado unamuita failure?? Tayari mwenzio ameshaandika legacy yake my friend.
 
Zitto ni mpinzani hasiye na madhara, maccm wanamtumia kuwarubuni watz

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
ZZK ni mpinzani wa MCHONGO.
 
Kwa hiyo unataka kusema mama mwisho 2025!

Sasa mkuu, kama ateendelea kuna kitakachobadilika?
Siongelei mtu Tanzania itabaki salama for good

Nyerere aliacha sussesion plan ya miaka 100

Hawa walioko hata wachemke Sio big deal kuna back ita take care 2025 things will be ok wako probation period wakishindwa out halina mjadala wote kuanzia serikalini , bungeni na mahakamani Kama hawatasimamia interest za nchi za wanyonge ambao ndio wengi wapaki mabegi kabisa 2025 watafute kwa kwenda
 
Kuna kitu kimekukaa shingoni lakini hutaki kukiweka wazi. Mimi nimekuelewa mkuu, nhoja tuone itakavyokuwa. Muda ni mwalimu mzuri. Tuombe uzima.
 
Lakini haiondoi usaliti wake siyo kwa Chama tu bali hata kwa nchi. Wasaliti pia huandika na kuacha historia zao za kisaliti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…