Usaliti wanaopitia Ukraine na Ulaya kutoka kwa Marekani, kihistoria ni kawaida ya Marekani. Sio taifa la kuliamini kwa 100% Tujikumbushe kidogo

Seems like USA know snitching code better than anyone
πŸ’― scary to be friends with the USA!

But you know what's funny? Those politicians in other countries never learned the history and they bend over to be US vassals so at the end they ended up in the dumpster
 

Ni kweli Ila nakuongezea kitu Japan ni taifa timamu na halijapoteza uelekeo na hawaburuzwi na taifa lolote Ila mgogoro wa ww2 wa Japan ni complicated

1.je wajua kuwa mfalme was Japan alishawahi kutembelea wingereza pindi ni prince na Hirohito alivutiwa na namna ya maisha ya uingereza mfumo wa kiongozi wa uingereza .Hirohito himself declare" I have discovered freedom for first time in Europe" lakin hivo sivyo yalikwa malengo ya viongozi serikal ya Japan wao walitegemea Sana kuwa prince wao angeanzisha mahusiano mazuri na mataifa hayo ili Japan itambuliwe na ipewe nafasi katka legue of nation Kama superpower na ardhi aliipata ktk ww1 huko China itambulike kimataifa kwamba ni milki ya japan back to then lakin haikuwa hivo ( point no 1 ) cabinet ya Japan haikufurahiwshwa na hilo ilionekana kma prince hajielew

2.Baada ya kifo cha baba ake prince Hirohito alipewa madaraka Kama mfalme kutokana na alichokiona Europe alitengeneza Democratic gaorvenment iliokuwa ikifanana na ile ya wingereza wat u walipiga kura kuchagua viongozi .

3.je wajua kuwa japan waliathiriwa Sana na mdororo was kiuchumi 1929-1933 hili lilileta sintofahamu kubwa ikaoneokana ile democratic govnt ni ujinga kwa hio jeshi likafurusha serikali ya kidemokrasia.

4. Jeshi la Japan na serikali ya kijeshi ya Japan ikageukia mbinu mpya kukabiri mdoror wa kiuchumi wakaonelea Mali za majiran hii ni pamoja na wao kutawala ardhi ambayo si yao. Mnamo 1931 Japan iliivamia China na sehemu nyingine Kama Korea .

5.je wajua mfalme wa Japan(Hirohito) hakuonyesha reaction yoyote badala yake alihoji itachukuwa muda Gan kwa China kuanguka. Hii watalamu wanaeleza kuwa mfalme Hirohito alikuwa anayo chuki Sana binafsi dhidi ya China nasikia alikuwa aiita China "shina" ilikuonyesha kuwa haina thaman those people are inferior.

6.had I kufkia mwaka 1939 kulikuwapo na makubaliano ya kiusalama Kati ya Japan na Germany ya kuunda ushirikaiano wa kiusalama .lakin hapa Hirohito alikabiliwa na changamoto ingine "communist" kutoka China na USSR hivo Hirohito akawa anasifa moja inayofana na USA wote hawapend u communist.

7.kufuatia makubaliano ya Japan na Germany Japan ilidai mpaka wake huko China (manchuria) na Mongolia kuwa haujakaa sawa kukatokea pambano Kati ya Japan na Mongolia Mongolia wakapewa msaada na USSR kwa Saba u ya u communist Japan akapata adui mwingine ambae ni ussr ambae walikuwa wametofautiana itikadi Japan ni capitalist na USSR Kama tunavoelewa.hapa unaweza kuona kuwa Japan na usa have common interest Wote ni mabepari.
8.had I kufikia mwaka 1941 Japan ilitanua himaya yake kwa kudhibit nchi zingine Kama Burma,malaya,Philippines,Taiwan na HK .Napa mtu utajiuliza kwa nn ilitoke hivo Lakn huo ni ubepari Ila ndoto ya Japan ikafika mbali kwamba wao ndo wanatakiwa kuwa watawala wa indo-pacific ocean kwa hofu wakataman kudhibit visiwa ambavo vipo karibu na USA . Mfalme was Japan akatoa order kwamba jeshi lifanye mazungumzo ya amani na USA huku akifoka Sana kwa mawazir wake ambao wengi wao walikuwa wajeshi baadala yake prime minister hideki Tojo akatoa amri kwamba jeshi livamia kambi (military base) ya marekani iliyopo pearl harbor napo Japan akaongeza adui mwengine ambae ni USA ambapo hadi kufikia 1945 Japan alikuwa defeat ed lakin iliaminiwa baada ya vita katka mahakama ya makosa ya kivita Tokyo kuwa mfalme Hirohito hakuwa na hatia na alikuwa mwenye madaraka madogo ya kiserikali Hirohito hakukutwa na hatia ni maafisa was ngazi za juu ndo waliosadikika na kukutwa na hatia .

Tukirudi toka hapo Japan walikuwa na ushirika mkubwa kwa sababu mataifa haya mawili yalikuwa na na na nyingi za kufanana mataifa yote hayakupenda u Communist hivo Japan haiburuzwi na marekan Ila wanao urafiki I hope tumeelwa na tumejifunza kidogo
 
Japan ya sasa ni U.S vassal state
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…