Usaliti wenye ulazima

Usaliti wenye ulazima

Kuna siku tulikuwa tunapeleka rice cooker nyumbani kwa wife kuna sehemu tulipita (mtaani kwao) mbele yetu kulikuwa na kijiwe cha boda boda wife akaomba nisimamishe gari amsalimie kaka Jafari. nikamwambia utamsalimia tukirudi tutachelewa , wife alilalamika sana kuwa kwanini namnyanyasa na gari langu anashindwa salimia watu yeye watamuonaje ambacho hakujua nilishapata stori za huyo jafari kuwa alikuwa anamtaka na walishawahi pigana jafari na huyo ex wake.
wakati tunarudi akaomba amsalimie tena nikasamamisha gari akamsalimia tukasepa, mbeleni nikamuuliza huyo ni jafari wa serikali za mtaa akasema ndio umemjuaje. nikamwambia najua kila kitu ndio maana sikutaka umsalimie. baada ya sentensi hiyo tulikaa bila kuongea mpaka tunafika home. stori zote za huyo jafari kuoigana na ex wa wife kwa ajiri ya wife ananipa huyo binti.
Kumbe wife naye atafute kikaka chenye ubuyu wako kimuhadithie halafu muachane vzr! Bro naona kama bado una ujana mwingi hujakomaa kifikra samahani lakini
 
Sasa umekuja na Jafar tena!!!! Huyo dada ataja kukuua bure na Maradhi yaani kwenye Mahusiano kama hakuna kuaminiana ni tatizo sana.

Lakini amini kama ulishindwa kumbadilisha enzi ya uchumba kwa kigezo ukimuoa utatii kiu yake ya matamanio ya kuolewa na kubadilika umeula wa chuya bro! Kifupi hakuheshimu huyo ni mshenzi hana adabu hajui mume ni nani ndani.

Na kama hakuheshimu lazima ataliwa au ana liwa na huyo ex wake!
Sasa vipi kuhusu yule demu aendelee kumla ili apewe stori za mkewe au inakuwaje?? Au amwache mkewe aoe kile kidemu?
 
Kuna siku tulikuwa tunapeleka rice cooker nyumbani kwa wife kuna sehemu tulipita (mtaani kwao) mbele yetu kulikuwa na kijiwe cha boda boda wife akaomba nisimamishe gari amsalimie kaka Jafari. nikamwambia utamsalimia tukirudi tutachelewa , wife alilalamika sana kuwa kwanini namnyanyasa na gari langu anashindwa salimia watu yeye watamuonaje ambacho hakujua nilishapata stori za huyo jafari kuwa alikuwa anamtaka na walishawahi pigana jafari na huyo ex wake.
wakati tunarudi akaomba amsalimie tena nikasamamisha gari akamsalimia tukasepa, mbeleni nikamuuliza huyo ni jafari wa serikali za mtaa akasema ndio umemjuaje. nikamwambia najua kila kitu ndio maana sikutaka umsalimie. baada ya sentensi hiyo tulikaa bila kuongea mpaka tunafika home. stori zote za huyo jafari kuoigana na ex wa wife kwa ajiri ya wife ananipa huyo binti.
Umeoa kimeo hutakua na amani siku zote,maana roho yako haimuamini
 
nimejiunga facebook 2009, facebook kwangu ni portal ya kupata habari, pia ni member wa facebook coder society naandaa podcast nyingi za software development, hivyo siwezi ondoka anytime soon, ni vile tu unaitumia facebook ni kama msitu mwingine anaenda kuokota kuni mwingine kuchimba dawa mwingin ekujisaidia explore and learn.
🙏🙏
 
Back
Top Bottom