stable woman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 3,884
- 4,479
Kumbe wife naye atafute kikaka chenye ubuyu wako kimuhadithie halafu muachane vzr! Bro naona kama bado una ujana mwingi hujakomaa kifikra samahani lakiniKuna siku tulikuwa tunapeleka rice cooker nyumbani kwa wife kuna sehemu tulipita (mtaani kwao) mbele yetu kulikuwa na kijiwe cha boda boda wife akaomba nisimamishe gari amsalimie kaka Jafari. nikamwambia utamsalimia tukirudi tutachelewa , wife alilalamika sana kuwa kwanini namnyanyasa na gari langu anashindwa salimia watu yeye watamuonaje ambacho hakujua nilishapata stori za huyo jafari kuwa alikuwa anamtaka na walishawahi pigana jafari na huyo ex wake.
wakati tunarudi akaomba amsalimie tena nikasamamisha gari akamsalimia tukasepa, mbeleni nikamuuliza huyo ni jafari wa serikali za mtaa akasema ndio umemjuaje. nikamwambia najua kila kitu ndio maana sikutaka umsalimie. baada ya sentensi hiyo tulikaa bila kuongea mpaka tunafika home. stori zote za huyo jafari kuoigana na ex wa wife kwa ajiri ya wife ananipa huyo binti.