Usanii na Akili nyingi aliyotumia Prof Jay katika Wimbo wa Bongo Dar es Salaam

Hakuna msanii nchi hii mwenye kumfikia Prof katika utunzi japo wasanii wa zamani walikuwa wanajua sana kutunga nyimbo zinazoishi.
1. Bongo Dar es Salaam
2. Niamini
3. Joseph
4. Elimu mitaani Dknob
5. Mtazamo
6. Starehe

Hizi nyimbo ni hit songs mpaka leo
 
Umenifanya nirudie kuusikiliza tena na tena...
 
Mashahiri haya yapo mbele ya muda na bado ataendelea kuwa mbele ya muda kwa maisha haya ya bongo dar es salaam
Serious bro... just imagine miaka zaidi ya 20 tangia ngoma itoke na bado ipo inasadiki Maisha ya Sasa. Hasa kwa vijana.

Maana vijana tunaishi kwa wakati au kwa fasheni..

Yote aliyogusia na tabia za MSWAHILI/MBONGO ni hizo hizo.
 
Sugu alishaimba hayo kabla,na marehemu Justin kalikawe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…