Usanii na Akili nyingi aliyotumia Prof Jay katika Wimbo wa Bongo Dar es Salaam

Utasikia Mahaba niue
 
Hii ngoma inaenda na uhalisia naiona hata miaka 10 ijayo wakati imeimbwa mm nipo shule ya msingi mpk leo nina miaka Zaidi ya thelathini duu hili jamaa ni genious hakuna msanii anaemfikia kwa kutunga mashairi yalikyokuwa mbele ya muda 😁 😁
 
Kuna wimbo alizungumzia watu wanavyopenda starehe. Alisema mtu anaenda mbele hatua 3 halafu anarudi nyuma hatua 5 kwa kujipongeza. (hizo namba sijaweka uhalisia ila ni uwiano alioimba)
 
Ilikuwa album ya machozi jasho na damu

Ilikuwa album kali sana ikibeba wimbo kama.

1. Jina langu hii ngoma pia kali sana.
2.Ndio mzee.
Halafu sasa vipindi vya hip hop watu wanacheza Ngoma za Wakazi upuuzi mtupub
 
Jay wa mitulinga.. anabalaa lake.

Nafkir majina ya JAY yamepeperusha bendera sana

JAY MO
MASTER JAY (J)
PROF JAY
 
Serious... ni nyimbo chache sana za wasanii wanaotunga vitu vikaendelea kuishi.
 
Ilikuwa album ya machozi jasho na damu

Ilikuwa album kali sana ikibeba wimbo kama.

1. Jina langu hii ngoma pia kali sana.
2.Ndio mzee.
Ndio Mzee kali sana nakumbuka ilitoka remix ya Sio Mzee
 
  • Prof. Jay!! The Living Legend! Je huyu mwamba anaendeleaje?
  • Natamani kusikia anahojiwa hewani. Nimeacha kusikia redio za FM kwa wanaongea 'm.avi'
  • Dah! Kila zama na zama zake.
  • Tuliokuwa vijana zama hizo, kwa sasa hata sijui mnaowaita wasanii wanachoimba. Mbaya zaidi nyimbo za rika letu hazipo
 
Mie ni kijana nafkir hii nyimbo inatoka nilikuwa chini ya miaka 5.

Nafatilia old songs naamini ndio nyimbo bora, ni kama MVINYO jinsi miaka inavyozidi ndio inakuwa BORA zaidi.
 
Salute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…