USD dollar Leo imeweka record mpya kuwa juu tangu Tanzania kupata uhuru . usd ni 2705.49 /= . Highest since 1961 . Record mpya

Mbona wanatuamisha kuwa shillingi ya Tanzania ni himilivu dhidi ya dollar. Leo hii shillingi ya Tanzania inashuka kwa kiwango cha kutisha. Hata faranga ya Burundi ina thamani kubwa kuliko shillingi ya Tanzania. Tunaelekea wapi?.
 
🤣 🤣
 
Huelewi hata unachosoma na kujibu. Mara Libya dinar ipo juu ya dollar mara ukiongeza kidogo inaifikia dollar. Huna utulivu wa kusoma na kujibu
ndo maaana nkakwambia kama unataka kuelewa utaelewa ila kama unataka ubishi mm mda nnao
 
Maisha ya marekani sio mazuri kuliko Kuwait,U.S elimu Hadi form six Bure,ila afya lazima uwe na Bimq...Kuwait elimu,afya ni Bure kabisa,......Kuwait haina deni popote pale kurun shughuli zake,QoL la ncho zote zenye strong currencies kuliko $$ ni better zaidi ya U.S.
Kua wajinga wanajitetea kua Tz currencies ni weak basi uchumi utakia strong,sababu Iran nayo Ina weak currency kuliko South Africa ila ni main producer wa natural gas na inaown 100%,
Hesabj hazipo hivo bongo
 
Hata unachoandika tu hukielewi hapa unasema hivi pale unasema vile, huo muda wa kubishana na mtu ambae hajui anachoandika ninaupata wapi?
mzee kuelewa ni jadi ya mtu, kama hautaki kuelewa we baki na nadharia yako unayoona inakufaa kwako!
 
Ahsante Mkuu! Sasa naanza kuelewa kwamba unaweza ku devalue sarafu yako kwa makusudi. Sasa swali langu ni je, hapa kwetu tuna devalue wenyewe au ni devalued by default?
ndo iko ivo duniani kote, yaani unatakiwa kuelewa ivi, exchange rates are created MANUALLY ili nchi zingine zifanye biashara na wewe

kwa mfano: mtu wa kenya amezoea akiwa na ksh 100 akija tanzania anapata kuku 1, rates zako zikiwa juu itabidi na yeye aongeze kiasi kupata kuku yule yule hivo kufanya mtu atafute sehem ingine, Ksh 100 ni ndogo sana ila fikiria mtu anafanya transactions za mabilioni point moja ikiongezeka maana yake anahitaji mamilioni mengine
 
Naendelea kupata madini Mkuu!
Kuna mtu niliwahi kumsikia anasema ''playing a game without knowing its laws and rules, you're gambling''. Sijui ndiyo mambo kama haya.
 
Naendelea kupata madini Mkuu!
Kuna mtu niliwahi kumsikia anasema ''playing a game without knowing its laws and rules, you're gambling''. Sijui ndiyo mambo kama haya.
sahihi kabisa ndo nlichojaribu kumwelewesha uyo bata apo juu, watu wanachukulia exchange rates so serious 🤣 🤣
 
Naendelea kupata madini Mkuu!
Kuna mtu niliwahi kumsikia anasema ''playing a game without knowing its laws and rules, you're gambling''. Sijui ndiyo mambo kama haya.
overall dont take money so serious but its important to have it
 
Mkuu kiazi kweli ww kwahiyo wanajiamulia tu au siyo basi waweke sh1 Tzs iwe sawa na dollar 2 watu. Watu tununuee mandinga ya kutosha
 
Mkuu kiazi kweli ww kwahiyo wanajiamulia tu au siyo basi waweke sh1 Tzs iwe sawa na dollar 2 watu. Watu tununuee mandinga ya kutosha
yes wanaamua, shida itakuja kwamba hio reserve walionayo haitoshi ila rate kubadilisha wanaweza!
 
yes wanaamua, shida itakuja kwamba hio reserve walionayo haitoshi ila rate kubadilisha wanaweza!
Reserve ili itoshe inabidi nini kifanyike kwa usahihi wa hali juu ?
ili watu tununue mandinga kwa rate ya 1TZS kwa dollar 2
 
Reserve ili itoshe inabidi nini kifanyike kwa usahihi wa hali juu ?
ili watu tununue mandinga kwa rate ya 1TZS kwa dollar 2
alot of exports however inabidi tue producers zaidi ya consumers mfano watu waache kuwaza ajira sana waangalie kufungua biashara zaidi za kuuza nje na kushindana na makampuni makubwa apo utakua unapokea dola direct bila kusumbuana na BOT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…