Mta amia Kenya soonT 2025 SSH
Solution kila mtu anajua . Wa somi tupo wengi sana . Masters na phd zipo kibao . We know the solution .Kwa nchi tegemezi inayoagiza kila kitu (tena kwa dola) ni habari mbaya ila tungekuwa na long term thinking tungeacha huu utegemezi na hata baadhi ya miradi ya ndani tukaifanya kwa pesa zetu na nguvu kazi zetu bila ya hivyo tunacheza ngoma ya kuwanufaisha wengine...;
Kwanini Serikali Ikope Kuendesha Miradi, Wakati inaweza Kutengeneza Pesa ?
Kabla hatujaitana vichaa, kwanza kabisa tukubaliane kwamba ndicho kinachotokea sasa hivi duniani (creating money from thin Air) ingawa ni Benki ndio zinafanya hivyo... Pesa inavyotengezwa na kuongezwa kwenye Mzunguko na Benki Wewe ukienda kuomba mkopo Benki unapewa pesa ambayo Benki haina wala...www.jamiiforums.com
Lakini ndio hivyo mentality ilishabadilika
Mentality Shift; From Self Reliance to Total Dependency
There has been a shift in our way of Thinking. We used to think we can became self reliant and do all what needs doing.., of-course nothing wrong with assistance here and there....; Now our mentality has changed and we think we can't do anything worthwhile without assistance of others. We should...www.jamiiforums.com
Mimi sio wa kupita hivyo,thamani y hela yetu inatakiwa ipimwe Kwa vitu inavyoweza nunua hapa ndani na sio dola.Nilitegemea habari kama hii iletwe na ChoiceVariable ila hapa atapita kama anaaga maiti
Importer wanatumia dollars . Means they need the usd .Mimi sio wa kupita hivyo,thamani y hela yetu inatakiwa ipimwe Kwa vitu inavyoweza nunua hapa ndani na sio dola.
Kupimia Dola sio sawa Kwa sababu Tanzania ni net importer
Mama anaupiga mwingi sana kwani mwashamba anasema hilo?I will be short
Today markes the highest record of usd to t shillings . Tanzania currency reaches lowest levels since independence . Marking the worst inflation since independence
Leo shillings imekuwa taka taka . Anyway akikisha by the end of the year unalipwa kwa dollar .
USIseme atukukwambia. .
Chawa na akili can’t be togetherMama anaupiga mwingi sana kwani mwashamba anasema hilo?
Haina athari yoyote kiuchumi, huku Maswa bei ya mchele, maharage,unga ni ile ile, hatuhitaji hayo madola yenuI will be short
Today markes the highest record of usd to t shillings . Tanzania currency reaches lowest levels since independence . Marking the worst inflation since independence
Leo shillings imekuwa taka taka . Anyway akikisha by the end of the year unalipwa kwa dollar .
USIseme atukukwambia. .
Shilingi ya nchi kuwa chini kuna faida kubwa kuliko hasara.I will be short
Today markes the highest record of usd to t shillings . Tanzania currency reaches lowest levels since independence . Marking the worst inflation since independence
Leo shillings imekuwa taka taka . Anyway akikisha by the end of the year unalipwa kwa dollar .
USIseme atukukwambia. .
nilivo sikapendagi hako kaha, kama lizuzuKafulira anasemaje kwani?
Importers ndio wanatakiwa wapate Dola Kwa sababu Wana Shilingi so hakuna Cha ku printi more money badala yake Serikali itakuwa Ina ration hizo Dola ,sio Kila anaetaka Dola akalete mirumba kwamba atapewa.Importer wanatumia dollars . Means they need the usd .
Also currency with poor purchasing power will print more money . Money is inflation . Lowering the currency value even more .
Also poor value create bigger debt . Madeni ya Nakuwa makubwa sana . Printing more money . Soon Inchi ita default . Swala la mda tu.
Wewe kuwa Chawa tu .
Tanzania ni vulnerability currency mzee . Akili hunaShilingi ya nchi kuwa chini kuna faida kubwa kuliko hasara.
Jambo la msingi hata kama ikiwa chini isibadilike badilike (unstability).
Wapi huko nichange vidola vyangu na mie nikale raha na waremboUtakua mgeni jijini
Dollar tumechange mpaka na 3000
Importers ndio wanatakiwa wapate Dola Kwa sababu Wana Shilingi so hakuna Cha ku printi more money badala yake Serikali itakuwa Ina ration hizo Dola ,sio Kila anaetaka Dola akalete mirumba kwamba atapewa.
Currency yenye poor purchasing power ya vitu gani? Punguza ujinga nimekwambia huhitaji Dola kununua bidhaa muhimu ndani ya Nchi na hiyo ndio kipimo halisi Cha thamani ya pesa yetu.
Inflammation ipi,Tanzania haijawahi kuwa na inflation ya 5% achilia mbali kuvuka hiyo hata Sasa mfumuko wa bei ni chini ya 4%.
Wewe ni mjinga unajaribu kulazimisha kile unataka kiwe na hakitakuwa.
Mwaka ukiisha itakua 3000,usijali bosi ila kwa sasa hatutaki manunuzi kwa dollars(haaaaaaa wanaficha kua uchumi imara kumbe scale inatisha),anyway kikubwa miliki asset na sihela kwakua asset thamani inapanda na vijana wanakimbilia magari ili waendelee kukuza vitambi na totoziiiI will be short
Today markes the highest record of usd to t shillings . Tanzania currency reaches lowest levels since independence . Marking the worst inflation since independence
Leo shillings imekuwa taka taka . Anyway akikisha by the end of the year unalipwa kwa dollar .
USIseme atukukwambia. .
Naunga mkono hoja.SIfa zote nzuri kama hizi ziende moja kwa moja kwa mama la mama.
Anaupiga mwingi kama RS Berkane
Nipe faida and you produce nothing ? Unless you have industrial economy makes sense . We sell nothing compared what’s we importsShilingi ya nchi kuwa chini kuna faida kubwa kuliko hasara.
Jambo la msingi hata kama ikiwa chini isibadilike badilike (unstability).
Umeanza kutukana kama kiazi.Tanzania ni vulnerability currency mzee . Akili huna
Tanzania shilling ni unstable currency . Pia deni la taifa lipo kwa usd . Means we pay more interest more money . Hii ni inflation 101 .
Kichwani wewe zero