Ushabiki wa Simba na Yanga ndiyo tumefikia huku????

Ni matokeo ya kupenda sana timu na kuifanya kama Imani. Hii ni ya mwilini tu. Ukitaka kuona ya moyoni ingia mitandaoni. Unatoa maoni yako kwa kuitaja timu au mchezaji pendwa kwa staha halafu anakuja mtu anakupa tusi la nguoni. Mwingine anakuja kukuambia 'usiisemee timu yetu'. Mpaka unabaki unashangaa.
 
Mbona wamewaachia bila kuwaumiza,wangewafanyia kama wanavyofanya CCM kwa watu wanaowakosoa, kuteka na kuua.
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Makelele SC.
5. Malalamiko/Lia lia SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau/Mapaka SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mwakarobo SC.
11. Mbeleko/Bebwa bebwa SC.
12. Manguruwe SC.
13. Miso Misonda SC.
14. Mikia SC.
15. Mbuzi SC.
16. Zuwena SC.
17. Khamsa Khamsa/5imba SC.
18. Kufa Kiume SC.
19. Kikanuni SC.
20. Bahasha SC.
21. Ngada SC.
22. Kolowizards SC.
23. Kamdomo SC.
 
Yale manguo yenu ya kijani na njano yanatukumbusha ccm na tukifikiria wanavyoteka watu na kufanya ufisadi mpaka pesa za uwanja tunashindwa kucheza fainali ndio hasira zinazidu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…