Waambieni hao viongozi waanzishe card za kidigital. Sio lazima inayoshikika. Watu wana smartphone siku hiziUshindi wa timu yako unanoga na kufurahisha sana kama ukiwa mwanachama hai. Iko siku wanachama hai watapata gawio la fedha mbali na lile gawio la sasa la furaha viwanjani. Mpira ni pesa twendeni tukakate kadi za timu zetu ili nasi tuwe sehemu kamili ya uendeshaji wa timu zetu. Ukiwa mwanachama hai hata dua zako zitakubaliwa.
Ushabiki oyaoya tu kwenye luninga ni janga kwa timu yako.
Wanachama hai ndo mnachagua viongozi wa hovyo....viongozi wabishi Kama mishipa
Hakutakuwa na gawio kwa wanachama kwa siku hizi za karibuni, Nadhani kwa sasa lazima kuwe na vivutio (incentives) vinavyotofautisha kati ya mwanachama na asiyekuwa mwanachama kwenye viingilio, ununuzi wa jezi, vifaa vya timu mbali na kushiriki kwenye chaguzi za viongozi. Kama jezi inauzwa 50,000 mwanachamahai aipate kwa 40,000 au 45,000.Sijui kwanini huwa inaniwia vigumu kuchukua kadi ya uwanachama.
Nimejiwekea utaratibu wa kununua jezi mpya kila msimu na kila shindano, kwenda uwanjani mara nyingi kama njia ya kuisapoti timu yangu Yanga.
Kama mwanachama hatakua na limit ya idadi ya jersey za kununua, anaweza kumnunulia huyu asie mwanachama.Hakutakuwa na gawio kwa wanachama kwa siku hizi za karibuni, Nadhani kwa sasa lazima kuwe na vivutio (incentives) vinavyotofautisha kati ya mwanachama na asiyekuwa mwanachama kwenye viingilio, ununuzi wa jezi, vifaa vya timu mbali na kushiriki kwenye chaguzi za viongozi. Kama jezi inauzwa 50,000 mwanachamahai aipate kwa 40,000 au 45,000.
Jitahidi kuwa shabiki muwajibikaji sio mlalamikajiSijui kwanini huwa inaniwia vigumu kuchukua kadi ya uwanachama.
Nimejiwekea utaratibu wa kununua jezi mpya kila msimu na kila shindano, kwenda uwanjani mara nyingi kama njia ya kuisapoti timu yangu Yanga.