Ushahidi kuwa binadamu tumeumbwa na hatujatokea tu


Nami nashukuru, sana hata mimi hapo awali nilikua na mawazo kama hayo yako lakini nilipoanza kusoma upande huu wa dini ndipo nilipogundua kuna aya nyingi ndani ya qur'an zina elezea kua as long as the climate change also species must be change accordingly even human beings we were changed in physical body strength, skin hair, and hight.ect. amazing enough that was tought in a dark age way back 610 AD

Lakini katu hakutotokea kiumbe MPYA
Pamoja na kuwepo mabaki ya fossils na DNA structures ya kila kiumbe bado itabaki ni assumptions za kuja viumbe wapya why? Because species must be created, not formed by a certain conditions, kwa mujibu was Qur'an.

Hebu tumtazame nyangumi katka quran Hawa wanyama wamegawanyika sehemu mbili,sehemu ya kwanza wanaitwa Daabatul bary (wanyama wa nchi kavu) na sehemu ya pili wanaitwa Daabatul bahry ( wanyama wa majini) na Mtume(saw) akasema mnyam wa majini hawezi kuishi nchi kavu akimaanisha kua mnyama ambaye mazalio yake na maisha yake ni majini hawezi akavuta hewa ya nchi kavu kwamuda mrefu, acha wale wanaozalia nchikavu na kuweza kuvuta hewa ya nchi kavu, halafu wanaingia majini hao si wanyama wa majini,

Swali je Nyangumi anaweza kuishi nchi kavu kama anavyo weza kuishi sea lion, penguins, kasa n,k?
Nakama anaweza kuishi nchi kavu basi ni dhahiri hapo mwanzo nyangumi aliishi nchi kavu pamoja na kua hana mapafu na aka adapt mazingira ya majini akawa mnyama wa majini.
Nakama hawezi basi mfumo wa upuaji wa nyangumi ni mfumo wa viumbe wa majini katu hawezi kuishi nchi kavu na fikra za kua aliishi nchi kavu hizo ni assumptions.
Ahsante sana nimefurahi sana mkuu kwa ustaarabu ulioonyesha ktk kubadilishana mawazo na kupeana elimu natarajia ikosiku utaoona ukweli.
THANKS
 

Bado haujatoa ushahidi.
Tofauti ya muumini na free thinker ni kwamba, muumini hana muda wa kutafuta majibu badala yake anakimbilia kusema KAZI YA MUNGU! Wakati free thinker yuko tayari kusema "Kuhusu hilo sifahamu, wacha tutafute majibu".
Ngoja nikuulize swali; Nadhani wewe ni mwanaume, hebu niambie hizo chuchu kifuani kwako mungu alikuwekea za nini? Anampango wa kukugeuza mwanamke akutie mimba unyonyeshe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…