Hapo ndipo ninapokataa, ni vigumu sana kukubali kuwa hakuna species zinazokuwa new tangu uumbaji mpaka leo.
Ukichimba miamba ya kale yenye mifupa ya kale kuna viumbe ambavyo hivi sasa havipo kutokana na extinction na kuna viumbe vya sasa havikwepo kama vilivyo hapo kale.
Mfano twiga wafupi, farasi wenye kwato tatu, dinosaurs, mammoths na wengine wengi ikiwemo hata nyoka wenye miguu midogo. Je hao waliuawa?
Na kwanini kuna species ambazo hazikwepo zamani na huwezi kuzipata katika kipindi fulani cha miaka? Bali zinapatikana katika matabaka ya juu ya miamba tu?
Pia DNA inatumika kupima ancestry na ndio maana classification haitazami muonekano tu bali mpaka DNA hutumika kugroup viumbe.
Mwafrika anaweza kuzaa mzungu? Mzungu anaweza kuzaa mtoto wa kiafrica? Kama viumbe havibadiliki tangu uumbaji kwanini kuna races kama tulitoka kwa family moja?
Qur'an chapter 36: 68 Allah said
As long as WE(Allah and his majestic) grand long life to any. WE caused him to change or reversed in nature
Will they not then understand ?
Hawo viumbe uliotolea mfano sio kama wamepotea wapo isipokua wamepunguzwa au kubadilishwa ktk maumbile kama ilivyo formula yake ya uumbaji jinsi miaka mingi ya maisha inavyo pita ulimwenguni kama inavyo eleza aya hiyo hapo juu,
Na ndio maana ukamuelewa kua yule alikua twiga wa miguu mifupi. na kama asingekuwepo twiga, yule wa miguu mifupi asinge eleweka ni mnyama gani.
Hivyo hivyo kwa dinosaurs type of lizard, wapo leo mijusi ndio maana akajulikana kama mjusi mkubwa
Mammoths (elephants) wapo tembo leo ndiomana yule alifahamika kama tembo wa zamani halikadhalika nyoka
.
Kwa hiyo hawa viumbe unaowaona hivi sasa si new creation bt is a new born
Na hili la new born mbona hata binaadmu analifanya ktk mifugo yake ( cross breeding )na anapata ngombe wakubwa sana kuliko wa kawaida hatuwezi kusema wale ngombe ni new creation.
Swali lako kwa nini hatuwezi kuwaona species ambao hawakuwepo zamani ?
Jibu: utajuaje hawakuwepo zamani na elewa kuwa hawa species walikua wana move place to place kufuatana na mabadiliko ya hali ya ulimwengu sasa ni binaadam gani huyo wakati wa dark age alikua ana monitor the movement of them ?
Kwa nini mwafrika hazai mzungu hiyo ni masula ya genetics (cell transmission) hapo kunamfumo maalum Allah kauweka ni somo refu kidogo ila kama utafanya inter marriage haina tabu muafrika anazaa mzungu na mzungu anazaa mwafrika wapo walio zaliwa hivyo
Ila kama utasema kwa nini hawa wawe wazungu na hawa wawe waafrika n.k hiyo Allah ameweka rangi tofauti ili iwe ni moja alama au dalili kwa binaadamu kuwa yeye yupo
Qur'an 30: 22 Allah said
And among of His signs is the creation of the heavens and the earth, and the variations in your languages, and your colours verily in that are signs for those who know.
Na tofauti ya rangi si binaadam tu hata wanyama, ndege , milima n.k.
Na swali lako juu ya mataifa (races) sababu kubwa ya kuwepo mataifa na makabila ni Kufamihiana au kujuwana
Huyu mzungu, huyu mchina, huyu mzaramo ,mmakonde n.k
Qur'an 49:13 Allah said
O mankind WE created you from a single (pair) of a male and a female,And made you into nations and tribes , that ye may know each other (not that ye may despise (each other)verily the most honoured of you in sight of Allah is ( he who is) the most righteous of you and Allah is a full knowledge and is well acquainted ( with all things)