papaayenga
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 765
- 503
Dini haijazaa sayansi. Dini na sayansi vilikuwa kwa pamoja. Ni katika hali ya mwanadamu kutaka kuuchunguza ulimwengu na kufahamu nature.
Kutengana kumekuja arounds 1700 lakini movement ilianza miaka ya 1400 na hapo wanasayansi walikuwa wanachomwa kama stake na kuuawa kwa mamlaka ya viongozi wa kidini. Mfano mzuri na mauaji na execution ya walioamini dunia ni duara na tunazunguka jua. Hata Galileo aliitwa mbele ya Council kukana kauli.
Dini hazitaki kubadilika kuendana na tafiti anazoendelea kufanya mwanadamu. Dini nazo ni tafiti za mwanadamu za miaka ya kale. Lakini jinsi mwanadamu anavyotaka kufahamu mengi mengine anajikuta anabadili katika kuyaelewa. Dini hazitaki kubadilika kuendana na facts zinavyosema. Dini zinataka kuamini bila ushahidi wala logical arguments. Dini zinataka ukubali points zake tu bila thinking.
Kuhusu Mungu sayansi haijapinga kuwa hakuna mungu wala haijasema kuna mungu. Jinsi tunavyozidi kujifunza tutajua.
Lakini huyo mungu wa dini kuwa ana mtoto, anaitwa fulani na aliumba dunia siku sita, aliumba maisha bustanini hizo ni myths tu na hazikuanzia katika ukristu, judaism wala Islam.
Pia fahamu kuwa sio kila dini inakinzana na sayansi. Kuna dini zinakubali scientific studies na zinakataza kuamini bila logics.
Nafikiri hapa kuna utata wa kuelewa unaposema sayansi na dini vilikua pamoja unamaanisha nini ? Hebu tuanze na facts za kuumbwa dunia kwa maelezo ya dini, REFERENCE QUR'AN hii ilifunuliwa kwa mtume Mohammad (saw) kuanzia 17/12/610 AD.mpaka 8/6/632 AD. Ndani ya kitabu hichi chapter 21verse 30,
Allah said "Do not the unbelievers see that the heaven and the earth were joined together(as a one unit of creation) before, We (Allah and his majestic) clove them asunder? We made from water every living thing.
Will they not then believe?
Hapa inaelezwa the bing bang na ktka original scripture limetumika neno FATAK ambalo tafsiri yake ni mripuko (explosion) pia inaelezwa chanzo cha uhai ni maji,
Maelezo haya kwako utaita sayansi,hii chapter ilifunuliwa kwa mtume Muhammad (saw)13/4/632 AD.
Naomba unieleze nadhari ya sayansi ilikua inasemaje ktk miaka hiyo ya 632 AD. juu ya kuweko kwa dunia na chanzo cha uhai .na ni nani aliezuka na hiyo nadharia?
And verse no.31 on that chapter
Allah said " And We (Allah and his majestic) set on the earth mountains standing firm lest it should shake with them. And we have made therein Broad highways(between mountains) for them to pass through, that they may receive guidance.
Ktk miaka hiyo 632 AD. nadharia ya sayansi ilikua inasema nini juu ya kuwpo milima ardhini na kazi yake ni nini Na nani mtungaji wa nadharia hiyo.?
Mpaka leo useme sayansi na dini vilikua pamoja?
Nature ya ulimwengu dini ilikwisha ieleza kitambo kilicho fanyika kwa watu wa sayansi ni copy and pest. Kwa taarifa yako dini ilikwisha eleza binaadam kufika mwezini(anga za juu)
Pia dini ilikwisha eleza the growth in the foetal stage.(embryo evolution) pia Dini ilikwisha eleza solar system miaka hiyo far away before 14 century.
Kuuwawa kwa Galileo ni ukristo kushindwa kujibu hoja za kisanyasi na uliwafyeka wengi kwa kuhofia utawala wao kuaanguka kwa hoja za kisayansi.
That so.