Ushahidi: Maisha tena baada ya kifo

dunian hakuna loho inayopotea ukifa roho inaamia kitu kingine kama ulikuwa mkali na katil ndio hao simba roho mbaya nyoka wivu sana mbwa myenyekevu paka.

Sasa wewe ndo umetudanganya kabisaaaa Roho ihamie kwenye vitu tena!!!!,Mafundisho ya imani gani hayo???
 

hii kitu hata kwangu hiwa inanitokea
 
Mimi nikifa nitazaliwa na mmarekani mzungu
 
Kuna mama mmoja kijijini kwetu aliugua kwa kipindi kifupi akafariki, ni miaka karibia 20 sasa, huyu mama baada ya kufa kwa kipindi hicho hakukuwa na utaratibu wa kuhifadhi mwili mochwari, mwili wake ulihifadhiwa chumbani kwa siku 2-3 kusubiri ndugu na jama, siku ya pili baadhi ya ndugu walikuwa wamefika na taratibu za mazishi zikawa zinaendelea ili azikwe siku inayofuata ambayo ni siku ya 3, jioni kuele siku ya tatu alipiga chafya, wamama waliokuwa chumbani wakilinda mwili walitahamaki, bibi mmoja nae yupo mpaka leo akawaambia yeyote asikimbie wala kusema neno, mama aliekuwa amefariki akainuka na kukaa kisha akaomba maji ya kunywa, yule bibi akakataza asipewe kwanza, baada ya kuwa ktk hali fulani ndipo akapewa maji kidogo, baada ya kunywa na kutulia ndipo wakamhoji, akasema alijikuta ameelekea nyumba moja iliojengwa kwa asili ya zamani ya wachaga (msonge) nyumba ya duara iliyoezekwa kwa majani ya migomba, hapo aliwakuta wenyeji wake ambao ni watu anaowafahamu na walishakufa muda mrefu mwanaume na wanawake, wakwanza kumkuta alikuwa mwanamke aliemsimamia pindi alipofanyiwa tohara, alimkuta anafagia uwanja (mazingira ya nyumba) alipobisha hodi alimwitikia na kumuuliza amefuata nini, akamwambia nina njaa sana nipeni kwanza chakula ndipo nitawaambia nilipotoka, watu waliokuwa ndani wakitoka na vyakula, pombe ya mbege, viazi vilivyochemshwa na maziwa mgando wakawa wanampa lakini yule mama aliemsimamia wakati wa tohara akawa anakataa wasimpe hata wakataka kugombana, anaekatazwa kula anamlalamikia kwanini anakataa asipewe chakula ilhali ana njaa na wale wenye vyakula wanapambana kumpa, alipofanikiwa kumzuia kula chochote akamwambia rudi na njia uliokujanayo na usipitie popote, anasema aliondoka kwa hasira ya njaa na akatembea kwa muda mrefu ndipo akajipata yupo pale chumbani amezungukwa na wamama. Hapo ndipo akaambiwa ulikuwa umekufa na ndugu zako wote wameshafika kesho ulikuwa uzimwe. Ni kweli kila kitu kilikuwa kimekamilika kwaajili ya mazishi. Huyu mama yupo na bibi aliekataza watu pale chumbani wasikimbie pia yupo. Sasa huu uzi na hichi nilichokieleza vinanichanganya. Tuwaze pamoja.
 
kiukweli mimi napata flashbacks tu pale napopita mazingira yanayofanania na tukio husika ila sikumbuki kwa mimi nilikuwa vp

Uongo gani huu! Ina maana roho yako inarudi hapo hapo? kama ni tz itarud tz? Huwezi zaliwa ulaya? Au asia? Very open lie
 
nijuavyo mimi mtu huenda motoni au peponi .kama akienda motoni atazaliwa vip wakati moto wanasemaga ni wamilele .kwa hyo kama wa motoni wanatokaje na wapeponi je !Inakuaje ama wanaachiwa
 
 
Hii habari imenivutia sana hasa ukizingatia jinsi ambavyo sipendi kufa

Asante kwako ulieuleta uzi huu
 
1. Introduction to the purpose of life
Every now and again, we hear the clichéd question, ‘What is the meaning of life?' or ‘What is the purpose of life?' or ‘Why are we born?'. In most cases, we have our own agenda on what our purpose in life is. However from a spiritual perspective, there are two generic reasons why we are born. These reasons define the purpose of our lives at the most basic level. They are:

  • To complete the give-and-take account we have with various people.
  • To make spiritual progress with the final aim of merging into God and therefore getting out of the cycle of birth and death.
2. Completing our give-and-take account
Over many lifetimes, we accumulate many give-and-take accounts that are a direct result of our deeds and actions. The accounts may be positive or negative depending on the positive or negative nature of our actions. As a rule of thumb, in the current era approximately 65% of our lives are destined (not within our control) and 35% of our lives are governed by our own freewill. All major events in our life are by and large destined. These events include our birth, the family we are born into, the person (or persons) we marry, the children we have, serious illnesses and the time of our death. The happiness and pain that we give and receive from loved ones and acquaintances are by and large simply a case of prior give-and-take accounts directing the way relationships unravel and play out.


However even our destiny in the current lifetime is just a fraction of the accumulated give-and take account that we amass over many lifetimes.
In our lifetime, while we do complete our give-and-take account and destiny earmarked for this particular lifetime of ours, we also end up creating more accounts by using our wilful action. This in turn finally adds up to our overall give-and-take account known as the accumulated account. As a result, we have to be born again to settle further give-and-take accounts and are stuck in the cycle of birth and death.

Copied and paste
 
good hii inaleta faraja. ila ukweli ndo tutajua mbele kwa mbele. kwasasa tuendelee kujifariji tu.
 

mbona mimi hakuna nnachokumbuka au mimi ina maana sikuwahi kuishi miaka iliyopita......!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…