Mfano mzuri ni kuwa: Ukiwa unaota ndoto maisha yako ya sasa unayaona kama yalikuwa ni ndoto na maisha ya ndoto ni ya kweli. Ukiwa kwenye ndoto unaexperince reality sawa na hii unayoexperience hivi sasa. Ukiamka kwenye ndoto unashangaa ni jinsi gani ulivyoweza kuamini kwenye ndoto kuwa yale ndio yalikuwa maisha yako na haya maisha yalikuwa ni ndoto. So what is reality???????
Ukifa unazaliwa tena au Reincarnation haina maana ya kuwa ukifa unazaliwa tena papo hapo, hapana. Ina maana ya kuwa unaweza ukazaliwa katika form mpya ya uhai kulingana na thoughts zako za sasa au unaweza kubakia katika formless, matendo yako ya sasa, na speech zako za sasa. Lengo la maisha ni kujitambua, na kama hautajitambua utaendelea kuzunguka katika mduara wa maisha milele na milele mpaka utakapojitambua na kujiweka huru katika kufa na kuzaliwa. Ndio maana wazee wa kale walisema hukumu ni hapahapa duniani na kama sio katika maisha haya basi katika maisha yajayo utapata unachostahili. Lengo la maisha ni kusonga mbele katika kujifahamu na kujiweka katika njia kuu inayopaswa.
Pia ukifa sio lazima uzaliwe tena, kuna kipindi cha muda ambacho kinakwepo baada ya kufa na kabla ya kuzaliwa tena. Kipindi hicho kinategemeana pia na maisha yako ulijitumikia vipi.
Mfano mzuri ni majini ambayo wengi wanayaona. Kwa kifupi majini yaliwahi kuwa mwanadamu kama wewe, na wengine walikuwa ni wanadamu ambao walijishikilia katika tamaa za mwili na siku wakiiacha miili yao baada ya kifo wanashindwa kuondoka kwani wanashikiliwa na miili yao na hawana jinsi tena ya kujiondoa. Mwishowe wanazunguka kaburi lao na ndio panakuwa maisha yao, halafu baada ya kipindi fulani cha muda kupita kutegemeana na Karma yao wanazaliwa upya katika form nyingine na kuendelea na gurudumu la maisha.
Mwanadamu peke yaken ndio mwenye free will. Mwanadamu ndiye mwenye uwezo wa kubadili maisha yake kwa sasa na kujitambua. Unaweza kujitambua ukiwa mwanadamu tu na sio form nyingine ya life. Only human beings have the power to rule wakijifahamu kwanza.
Pia ukizaliwa tena ua ukianza life jipya huwezi kukumbuka life lako la zamani lakini kwa kutumia instincts, kujichunguza, unaweza kugundua kuwa ulishawahi kuexperience life fulani ambalo hivi sasa haupo nalo.