Ushahidi Mungu alimbariki Yakubu na kizazi chake kuwa miongoni mwa watu wema , waliokakabidhiwa ukuhani, kitabu , uongozi na neema kubwa

Ushahidi Mungu alimbariki Yakubu na kizazi chake kuwa miongoni mwa watu wema , waliokakabidhiwa ukuhani, kitabu , uongozi na neema kubwa

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Nimeweka nukuu za aya mbili kwa lugha ya kiswahili na kiingereza kwa ajili ya rejea yenu.

✓Tulimbariki kwa Isaka kama mwana na Yakobo kama mjukuu, kama fadhila ya ziada, tukiwafanya wote kuwa waadilifu. Na tukawafanya viongozi kwa kuongoa kwa amri yetu, na tukawapa wahyi wa kutenda mema, na kushika Sala, na kutoa Zaka. Na walikuwa wameshikamana na ibada zetu.


√Na tukampa Is-haq na Yaaqub, na tukajaalia katika kizazi chake Unabii na Kitabu. Na tukampa ujira wake duniani, na hakika yeye ni katika Akhera miongoni mwa watu wema.

Tafsiri kiingereza:

✓And We blessed him with Isaac ˹as a son˺ and Jacob ˹as a grandson˺, as an additional favour—making all of them righteous.
We ˹also˺ made them leaders, guiding by Our command, and inspired them to do good deeds, establish prayer, and pay alms-tax. And they were devoted to Our worship.

√And We gave to Him Isaac and Jacob and placed in his descendants prophethood and scripture. And We gave him his reward in this world, and indeed, he is in the Hereafter among the righteous.

Wanazuoni naomba mnisahihishe kama nimetoa tafsiri isiyo sahihi au aya iliyokosewa siyo malengo yangu

Niwatakie siku njema
 
Back
Top Bottom