Ushahidi: Tanzania inaongozwa na Viongozi Wasio na Sifa za kuwa viongozi

game over

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2016
Posts
10,727
Reaction score
24,840
Ndugu zangu, Nawasalimu.

Kwanza nianze moja kwa moja kwa kuorodhesha baadhi ya sifa za mtu asiye na hadhi ya kuwa kiongozi.

1. Hulazimisha Kukubalika na kila mtu.

2. Hana maono . Tatizo kubwa sana hili

3. Hujipendekeza kwa Wanadamu. Hana msimamo, hajui anasimamia nini. Msimamo wake utategemea anaempa kula kwa wakati husika.

4. Mvivu kazini.

5. Ana ufaulu hafifu kwenye mitihani ya shule (ni mvivu wa asili, hajitumi kusoma na kujifunza) watu wenye uelewa Mpana na IQ kubwa wote ni wasomaji wakubwa na Wachapa kazi na wanaamini katika kujifunza hata uzeeni kwao. Mtu aliyefanya vizuri darasani ana chances kubwa zaidi kufanya vizuri katika maeneo mengine ya maisha. and vice versa is true.

6. Hana uwezo wa kufanya maamuzi. (Ukienda idara nyingi za serikali unagundua decision making ni changamoto kubwa mno kwa watumishi wa umma) na hii inajidhihirisha hata kwa viongozi wakubwa wa nchi. Hawezi chukua hatua stahiki hata kwenye rushwa, wizi, ufisadi nk.

7. Yupo defensive muda wote . Yuko emotional, Anataka kushindana na kishinda dhidi ya kila mtu . Anapenda ku play victim. Hafai.

8. Kamwe hajifunzi kutokana na Makosa . Hawa wapo wengi sana, na tunaona wanavyojibu wananchi wanaojaribu kuwa kinyume na maoni yao au pengine hata kuwashauri . Hata unashangaa huyu amekuwaje kiongozi. Average IQ. Hafai.

9. Mpumbavu (upumbavu sio tusi) Bali ni hali ya kutokuwa hujui kama hujui. Hata aelekezwe na aletewe ushahidi wa namna gani bado atakaza fuvu na hatakuwa tayari kueleweshwa. Wengine wanakuwa wamepofushwa na chuki. Wengi huwa hawana karama ya kusikiliza, na pia huwa wanajua kila kitu (Mr Know It all). Huyu hafai kuwa kiongozi.

10. Matumizi makubwa zaidi ya hisia Kukiko ya Akili. (Mihemko)
---

Ushahidi

1. Janga la UVIKO 19

Katika hali ya kawaida kabisa, mtu atadhani janga la UVIKO -19 lingetuacha na masomo muhimu kama Taifa . Somo Kuu ni KUPUNGUZA UTEGEMEZI KWA DUNIA.

kama Taifa tunategemea mataifa mengine kwa mambo muhimu na nyeti ya kuendesha uchumi kama vile Uagizaji wa Mafuta, madawa na vifaa tiba , viwatilifu, Fedha za Kigeni NK.

Baada ya UVIKO 19 tulitakiwa tuwe kwenye nafasi ya kutambua kuwa kuna uwezekano wa kutokea gonjwa la mlipuko lingine pengine baya zaidi ya COVID 19, ambapo hakutakuwa na Shipping lines wala air freights zitakazokuwa operational. Pengine kwa hata zaidi ya miaka mitatu mfululizo. Kila nchi ikafunga kabisa mipaka.

Mafuta tutatoa wapi?

Madawa tutatoa wapi?

Nasema hivi sababu kwa sasa kuna kila dalili ya Vita ya Tatu ya dunia. Na wanaoleta hizi chokochoko kwa sehemu kubwa wanajitosheleza kwa kila kitu, kuanzia technology hadi natural resources hata kwa miongo kadhaa mbele.

Vipi sisi Tanzania. Tutakuwa wageni wa nani? Kitu pekee tunazalisha ni Mahindi na Ulezi. Ndugu zangu wanajamvi. Nukuu hii nakupa, ikitokea Marekani na urusi wakaingia vitani kwenye Mzozo wa mashariki ya kati, basi mafuta tutanunua 15K kwa lita. Na ni gari za serikali pekee ndio zitajaza. Wake zetu na dada zetu na watoto wetu na wazazi wetu wanakufa mbele yetu na hatutakuwa na cha kufanya.

2. Mafuriko Jangwani
Kila mtanzania na kila mtawala wa nchi hii kwa miongo kadhaa anajua ya kuwa pakinyesha mvua basi Jangwani huleta adha kubwa na kero kubwa kwa wananchi wa Dar es Salaam mbao shughuli zao huhusisha matumizi ya daraja la jangwani kwenda CBD na Kariakoo ambazo ndio sehemu muhimu zaidi kiuchumi kwa Taifa (Kero kubwa sana).

Ni kwanini zaidi ya miongo kadhaa sehemu hii haipatiwi ufumbuzi? Kitu gani kinafanya hapa pasiwe kipaumbele? Kwanini watu waone kununua magari mipya ya wakuu wa wilaya ni kipaumbele na sio hapa ?

3. Kero sugu za Maji kwenye Majiji, Manispaa na Miji
Hivi unaweza kuelewa kwanini Jiji la mwanza kuna kero kubwa ya maji ? Nani anaweza kuelewa hii kitu anisaidie. Au Mbeya au Morogoro.

Yaani Pale mwanza kuna mamlaka ya serikali na watu wanalipana mishahara mizuri, lakini hawana uwezo wa kupump maji toka ziwani hadi kwenye makazi ya watu? Umbali wa KM 1? Hawa watu wanaweza nini basi,
Kwanini wasifukuzwe kazi wote kisha waajiriwe wapya tuone ?

Hii ni Mifano kadhaa tu kudhihirisha tunaongozwa na watu wasiokuwa na sifa za kuwa viongozi. Kwa Lugha rahisi wenye uwezo wa kawaida au mdogo (Average to Low IQ) si kwa maana ya kumkosea heshima mtu, Bali kwa ushahidi wa wazi.

My Take:
Uongozi wa namna hii hautatufikisha popote. Kuongozwa na mtu asiye na maono, Mvivu, asiyeweza chukua hatua stahiki, asiyejiamini, asiyemjua Mungu, kiongozi anayetegemea shirki mwisho wake ni kuingizwa shimoni na hatimae Mauti.

Tusanuane mapema wapendwa, utawala wa namna hii tusiweke mategemeo kabisa. Simply they can’t deliver, hawawezi. It’s out of their scope of thinking. Ni miongo sita sasa , how many chances should we give them?

Usiku mwema.
 
When Guns are outlawed, Outlaws gets the guns first.
Bad guys with guns shoots people on faces.
It only takes a good guy with a gun to stop a bad guy with a gun.
 
Ni huzuni kwa kweli.

Ndio maana imebaki kusifu na kuabudu uchawanization?!
 
The problem of Africans, those with ideas have no power and those with power have no ideas.
 
Back
Top Bottom