Ushahidi: Tanzania inaongozwa na Viongozi Wasio na Sifa za kuwa viongozi

Sio kweli . Walio ndani ya uwanja hawana uwezo. Watoke waingie wengine wenye uwezo .
Hapo ndio unachoka kabisa ,
Yaani watu hawa hata kukusanya nauli hawawezi, tofauti ya hawa watu na kuku ni kitu gani ? Fikiria miuindombinu ya barabara ipo, magari yameletwa, kukusanya tu nauli hawawezi,
Same thing pale Bandari ya Dar ,
Tumewekeza millions of USD kuboresha bandari, tena pesa za mikopo, all over sudden analetwa mgeni kusimamia, kwanini sisi tushindwe?
are we shire we are also humans ?
Waza juu ya ATCL, shirika limepewa ndege na kufanya hasara kila uchao.Kola kitu kipo

Bwaw la umeme limekamilika et kiongoz anasema wamezima mashine sababu wanazalisha umeme wa kutosha. why usiuze umeme kwenda Malawi? Na nchi jirani kwa kuweka miundombinu?

Shida viomgozi hawa wanateuliwa kutoka katika vyama na kupewa kama hisani hivyo hawana weredi wa kusimamia mambo hayo.
 
Soma hiyo

JE WAJUA?

Kama ulikua hujui kuwa TANZANIA SIO NCHI MASIKINI ILA WATU WAKE NDIO MASIKINI wacha nikufahamishe""
WATU wengi huamini kuwa Tanzania ni nchi MASIKINI,
Lakini sio kweli Tanzania sio nchi MASIKINI,
Tanzania ni nchi tajiri tena zaidi ya MAREKANI,
Ila watu wake ndio MASIKINI tena MASIKINI wakutupwa,
Umasikini huo umeanzia vichwani mwao mpaka kwe elimu zao,
Kwani kila mtu nchini humo huamini kuongea kiingereza ndio ujanja,
Na kila msomi husoma ili kuajiriwa na sio kujiajiri,
Sasa leo nakuletea ushahidi kuwa Tanzania sio nchi MASIKINI kama ifuatavyo""

1).Tz ilipata uhuru mwaka 1961hivi sasa ina miaka 63 tangu ipate uhuru ikiwa ni ya kwanza Afrika Mashariki.

2).Tz Kwa miaka 48 imeongozwa na Chama Cha Mapinduzii peke yake ambayo ni zao la TANU na ASP.

3).Tz ni nchi ambayo haijawahi kupata majanga makubwa kama matetemeko ya ardhi, magonjwa ya mlipuko kama ebola, mafuriko na vimbunga au ukame.

4).Tz ni nchi ambayo imekuwa na kitu ambacho nchi nyingi za Afrika zimekikosa. Kitu hicho ni AMANI.
Kwa miaka yote 60 ya uhuru haijawahi kupigana vita vya wenyewe kwa wenyewe.

5).Tz ina ukubwa wa Km 945,000 za mraba yani sawa na uchukuwe Denmark, France, United Kingdom, Netherland, Ireland ujumlishe zote kwa pamoja.

6).Tz ina eneo la bahari lenye ukubwa wa kilometa 1,424 km. Bahari inaleta fursa za usafirishaji, uvuvi, utalii na nyinginezo.

7).Tz ni nchi ambayo imepakana na nchi za (Uganda, Rwanda, Burundi, Zambia, Malawi, D. R. Congo,) ambazo zinategemea bahari yetu kwa usafirishaji wa mizigo na ni fursa nzuri ya kuzipelekea bidhaa za viwanda vyetu.

8). Tz ina maziwa makubwa manne na mengine madogo mengi.
Maziwa matatu makubwa yako kwenye kumi bora za ukubwa duniani na Maziwa makubwa matatu yote yapo Tanzania.
Ziwa Victoria ni la tatu kwa ukubwa duniani (la kwanza Afrika) na ziwa
Tanganyika ni la sita kwa ukubwa (la pili Afrika) na la kwanza kwa kuwa na kina kirefu duniani.
Ziwa Nyasa ni la tisa kwa ukubwa duniani (ni la tatu Afrika).

9).Tz ina mito mikubwa kumi ambayo ni mto Kagera, mto Ruvuma, mto Rufiji, mto Wami, mto Malagarasi, mto Mara, mto Pangani, mto Ruaha, mto Gombe, mto Mweupe wa Nile na ina mito midogo mengi kama mto Kilombero, mto Mbemkuru n.k

10).Tz ndiyo nchi ya kwanza Afrika kuwa na maji mengi yasio na chumvi yaliyokuwa kwenye uso wa dunia (fresh surface water) kutokana na kuwa
na mito na maziwa mengi na kupitiwa na bonde la ufa.

11).Tz ni nchi ya nne kwa uzalishaji dhahabu Afrika baada ya Afrika Kusini, Ghana na Mali na ipo TOP 20 duniani.
Kuna migodi nane inayochimbwa dhahabu na miwili imefungwa.
Migodi inayochimbwa ni Buzwagi gold mine- (Shinyanga), Geita gold mine-(Geita), Golden pride gold mine-Nzega (Tabora), Bulyanhulu gold mine- (Shinyanga). New leuka Gold mine- (Mbeya),
Tulawaka gold mine-(Kagera), North mara gold mine-(Mara). Iliyofungwa ni Korandoto gold mine (Shinyanga), Senkenke gold mine-(Shinyanga).

12).Tz ina madini ya almasi yanayopatikana Mwadui Shinyanga.
Mgodi huo ulianza kuchimbwa tangu mwaku 1940.
Mpaka leo bado unachimbwa, unamilikiwa na kampuni ya Waingereza.

13).Tz ni nchi ya kwanza na ni nchi pekee inayozalisha madini ya tanzanite duniani.
Mkufu wa kuvaa shingoni unatengenezwa na tanzanite na almasi unauzwa hadi shilingi milioni 25 za Kitanzania.

14).Tz ina madini ya chuma yanayopatikana Mchuchuma, Ludewa- Njombe mgodi unamilikiwa na Wachina.
Mgodi huo una hifadhi ya madini ya chuma tani milioni 122 ambayo yanawezwa kuchimbwa kwa zaidi ya miaka 100.

15).Tz ina madini ya makaa ya mawe (Coal) yanayochimbwa Kiwira Mbeya, Mchuchuma na Liganga Njombe. Unamilikiwa na Wachina.
Pia mgodi wa Ngaka kule Mbinga-Ruvuma unamilikiwa na
kampuni ya Tancoal ya Australia.
Hifadhi ya madini ya makaa ya mawe iliyopo ni tani bilioni 2.
Makaa ya mawe ndio chanzo cha pili cha umeme wa bei nafuu duniani baada ya maji.

16).Tz ina hifadhi ya madini ya Uranium kule Dodoma (Bahi) na ni mgodi ambao unamilikiwa na Warusi.
Pia madini haya yanapatikana Namtumbo (Mkuju), Galapo, Minjingu, Mbulu, Simanjiro, Lake Natron, Manyoni, Songea, Tunduru, Madaba and Nachingwea.

17).Tz ni moja ya nchi tatu Afrika zikiwemo Zimbabwe na Madagascar kwa kuwa na madini mengi ya graphite. Madini haya yapo Tanga, Mahenge-Morogoro, Mererani- Manyara.
Madini ya graphite ndiyo yanayotumika
kutengenezea betri za simu, kwenye injini na brake za magari na kwenye karamu za risasi (pencili).

18).Tz ina madini ya nickel yanayopatikana kule Kabanga Kagera, milima ya Uluguru-Morogoro, North Mara, Ngasoma-Mwanza.

19).Tz ni nchi ya tatu duniani kwa kuwa na hifadhi kubwa ya magadi soda duniani baada ya Marekani na Uturuki.
Magadi soda hutumika kutengeneza vioo vya aina zote.
Vioo vya nyumbani hadi magari pia kutengeneza sabuni na dawa mbalimbali za usafi.

20).Tz ina hifadhi na mgodi wa madini ya niobium uliopo Panda hill Mbeya ambao ndio utakuwa mgodi mkubwa wa kwanza Afrika na wa nne duniani.
Mgodi huu unamilikiwa na kampuni ya Australia.
Madini ya niobium ni magumu sana hutumika kutengeneza mabomba pamoja na madini chuma pia hutumika kutengeneza baadhi ya sehemu za injini za ndege na vyombo vinavyoenda nje ya uso wa dunia (mfano Apollo 15 CSM), vioo vya computer na lenzi za camera.

21).Tz ni nchi ya kwanza Afrika na ya pili duniani kwa kuwa na vivutio vingi vya utalii ya kwanza ni Brazil.
Nchi zilizokuwa kwenye tano bora kwa utalii Afrika ni Tanzania, Botswana, Afrika Kusini, Kenya na Zambia.

22).Tz ina mbuga zipatazo 16 na ile mbuga maarufu kuliko zote duniani Serengeti ipo Tanzania,
Mbuga iliyopakana na bahari iitwayo Saadani ipo Tanzania na mlima mrefu kuliko wote Africa Kilimanjaro upo Tanzania.

23). Tz ina ardhi kubwa yenye rutuba na inayofaa kwa kilimo cha mazao mengi tofauti tofauti.
Mashamba makubwa ya mpunga kwa mfano yaliyokuwa chini ya Shirika la NAFCO yalitoa mazao ya kulisha Tanzania na pia nchi nyingine.

24).Tz ina gesi ya asili ya Carbon Dioxide (CO2) inayovunwa kule Kyejo, Rungwe-Mbeya na kampuni ya TOL.
Gesi ya asili ya carbon dioxide inatumika sana kutengenezea vinywaji laini kama soda, bia na pia kutengenezea madawa, makaratasi na kutibia maji (water treatment).

25).Tz ina gesi ya asili inayopatikana katika kisiwa cha Songo songo mkoa wa Lindi.
Gesi hii imekuwa ikichimbwa na kusafirishwa hadi Dar es salaam tangu mwaka 2004.
Inamilikiwa na kampuni ya Songas ya Uingereza.

26).Tz imengundua gesi ya asili yenye zaidi ya mita za ujazo trilioni 55.3 iliyongunduliwa katika maeneo ya bahari ya Hindi na Mtwara.

Pamoja na mali zote hizi lakini Tz ni nchi iliyo kwenye kundi la nchi MASIKINI duniani,
Cha ajabu zaidi hata nchi ambazo zilisaidiwa na TANZANIA,
Katika kupata uhuru zimetupita mbali sana kimaendeleo.

UNA MAONI GANI?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sahihi kabisa mkuu. Maoni yangu ni kama ulivyoweka bayana mwanzoni mwa andiko lako,
Umaskini tulionao ni umaskini wa ufahamu. Ufahamu wetu umefungwa.
Nimeona pia umeorodhesha katika rasilimali zote za madini wamiliki wote ni wageni. Hakuna hata mzawa mmoja, tena ingekuwa ni nafuu tungekuwa na mwafrika mmoja walau akamiliki mgodi.
Hivi kuna ulazima gani wa kumleta mgeni achimbe dhahabu ? Si uwape equipments wachimbaji wazawa ?
Dhahabu haihitaji rocket science kuichimba, hata mwanakijiji darasa la saba anakuchimbia anakusafishia anakuletea. Hawa watawala hawana wivu kabisa ?

Tunarudi palepale. Haya ni matokeao ya kuongozwa na Average to low IQ .
Ili tuweze kubadilisha huu utajiri ujidhihirishe kwenye maisha yetu , tunahitaji viongozi bora , sio hawa . Tunahitaji elimu bora , sio hii tunayofundishana, tunahitaji teknolojia , kuna hata kiongozi amewahi fikiria kama nchi tunahitaji teknolojia ?
Huku mitaani tunaona watu wanajaribu kufanya vitu vinaonekana, lakini hakuna wa kuwashika mkono. Viongozi hawajui kabisa kuwa kuna ulazima wa kuendeleza watu kwenye skills na ubunifu.

Ni kweli mkuu. Nchi yetu imebarikiwa. Ina kila kitu. Kasoro watu sahihi kuyaleta haya kwenye maisha ya watu.
 
Sahihi kabisa , sasa unamteua mtu akasimamie shirika linalotakiwa kujiendesha kibiashara, unamteua kwa qualification ya kuwa na kadi ya chama ? Hana uelewa, uzoefu hata biashara amewahi fanya ikafanikiwa ?
Unatoboaje ? Kwanini hawajifunzi private sector ?
Kwanini nafasi kama hizi zisitangazwe watu wenye weledi washindane ?
Yaani mtu anazima mitambo ya umeme msimu huu wa mvua na hapo kenya tu kuna soko la kuuza product ya umeme ?
 
Tutajuaje we una uwezo wakati ukiomba huwezi kuupata. Heshimu binadamu wenzako ht kuupata huo uongozi ni kazi
Kwa nchi hii kupata uongozi sio lazima uwe na uwezo. Ndio maana wengi tu hawako interested kuwa viongozi.
Hata wewe ukiwa na kibunda tu unapata uongozi.
 
Huyo Lumumba mbn mpk leo hajawa kiongozi? Ina maana hawezi kushawishi wananchi apate uongozi.
Kwa nafasi yake yeye tayari ni kiongozi . Tunaowasema ni hawa wanaolazimisha kuendelea kutawala yet they can’t deliver. Wako agressive hata kutoa uhai wa watu mradi tu wakae madarakani. Lakini hawana maajabu.
 
Sahihi kabisa mkuu. Maoni yangu ni kama ulivyoweka bayana mwanzoni mwa andiko lako,
Umaskini tulionao ni umaskini wa ufahamu. Ufahamu wetu umefungwa.
Nimeona pia umeorodhesha katika rasilimali zote za madini wamiliki wote ni wageni. Hakuna hata mzawa mmoja, tena ingekuwa ni nafuu tungekuwa na mwafrika mmoja walau akamiliki mgodi.
Hivi kuna ulazima gani wa kumleta mgeni achimbe dhahabu ? Si uwape equipments wachimbaji wazawa ?
Dhahabu haihitaji rocket science kuichimba, hata mwanakijiji darasa la saba anakuchimbia anakusafishia anakuletea. Hawa watawala hawana wivu kabisa ?

Tunarudi palepale. Haya ni matokeao ya kuongozwa na Average to low IQ .
Ili tuweze kubadilisha huu utajiri ujidhihirishe kwenye maisha yetu , tunahitaji viongozi bora , sio hawa . Tunahitaji elimu bora , sio hii tunayofundishana, tunahitaji teknolojia , kuna hata kiongozi amewahi fikiria kama nchi tunahitaji teknolojia ?
Huku mitaani tunaona watu wanajaribu kufanya vitu vinaonekana, lakini hakuna wa kuwashika mkono. Viongozi hawajui kabisa kuwa kuna ulazima wa kuendeleza watu kwenye skills na ubunifu.

Ni kweli mkuu. Nchi yetu imebarikiwa. Ina kila kitu. Kasoro watu sahihi kuyaleta haya kwenye maisha ya watu.
Watu wanatengeneza helkopta wanatengeneza magari lakin no support mfano masoud kipanya alitengeneza gari yake badala ya kumpa support wakamkejeli wale wazee kule iringa walitengeneza umeme kusaidia kijiji duuuh walipigwa vita tena na vitisho wakaacha

Yule jamaa pale songwe katengeneza helkopta yake kapigwa mkwara hadi leo hajarusha ameipak pembezon mwa barabara

Hiii ndiyo afrika

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kutoweza na kutotaka ni mambo tofauti. Viongozi wengi wanaweza kufanya wanachotakiwa kufanya lakini hawataki kufanya. Wanaamua kufanya kinachowahakikishia manufaa yao binafsi kwanza. Hilo suala la kukusanya nauli sio kwamba wameshindwa. Utaratibu wa sasa unaruhusu watu kujilipa vizuri. Mkidigitalise watu wanakosa namna ya kupiga. Na hii ipo sehemu nyingi tu.​
 
Soma hiyo

JE WAJUA?

Kama ulikua hujui kuwa TANZANIA SIO NCHI MASIKINI ILA WATU WAKE NDIO MASIKINI wacha nikufahamishe""
WATU wengi huamini kuwa Tanzania ni nchi MASIKINI,
Lakini sio kweli Tanzania sio nchi MASIKINI,
Tanzania ni nchi tajiri tena zaidi ya MAREKANI,
Ila watu wake ndio MASIKINI tena MASIKINI wakutupwa,
Umasikini huo umeanzia vichwani mwao mpaka kwe elimu zao,
Kwani kila mtu nchini humo huamini kuongea kiingereza ndio ujanja,
Na kila msomi husoma ili kuajiriwa na sio kujiajiri,
Sasa leo nakuletea ushahidi kuwa Tanzania sio nchi MASIKINI kama ifuatavyo""

1).Tz ilipata uhuru mwaka 1961hivi sasa ina miaka 63 tangu ipate uhuru ikiwa ni ya kwanza Afrika Mashariki.

2).Tz Kwa miaka 48 imeongozwa na Chama Cha Mapinduzii peke yake ambayo ni zao la TANU na ASP.

3).Tz ni nchi ambayo haijawahi kupata majanga makubwa kama matetemeko ya ardhi, magonjwa ya mlipuko kama ebola, mafuriko na vimbunga au ukame.

4).Tz ni nchi ambayo imekuwa na kitu ambacho nchi nyingi za Afrika zimekikosa. Kitu hicho ni AMANI.
Kwa miaka yote 60 ya uhuru haijawahi kupigana vita vya wenyewe kwa wenyewe.

5).Tz ina ukubwa wa Km 945,000 za mraba yani sawa na uchukuwe Denmark, France, United Kingdom, Netherland, Ireland ujumlishe zote kwa pamoja.

6).Tz ina eneo la bahari lenye ukubwa wa kilometa 1,424 km. Bahari inaleta fursa za usafirishaji, uvuvi, utalii na nyinginezo.

7).Tz ni nchi ambayo imepakana na nchi za (Uganda, Rwanda, Burundi, Zambia, Malawi, D. R. Congo,) ambazo zinategemea bahari yetu kwa usafirishaji wa mizigo na ni fursa nzuri ya kuzipelekea bidhaa za viwanda vyetu.

8). Tz ina maziwa makubwa manne na mengine madogo mengi.
Maziwa matatu makubwa yako kwenye kumi bora za ukubwa duniani na Maziwa makubwa matatu yote yapo Tanzania.
Ziwa Victoria ni la tatu kwa ukubwa duniani (la kwanza Afrika) na ziwa
Tanganyika ni la sita kwa ukubwa (la pili Afrika) na la kwanza kwa kuwa na kina kirefu duniani.
Ziwa Nyasa ni la tisa kwa ukubwa duniani (ni la tatu Afrika).

9).Tz ina mito mikubwa kumi ambayo ni mto Kagera, mto Ruvuma, mto Rufiji, mto Wami, mto Malagarasi, mto Mara, mto Pangani, mto Ruaha, mto Gombe, mto Mweupe wa Nile na ina mito midogo mengi kama mto Kilombero, mto Mbemkuru n.k

10).Tz ndiyo nchi ya kwanza Afrika kuwa na maji mengi yasio na chumvi yaliyokuwa kwenye uso wa dunia (fresh surface water) kutokana na kuwa
na mito na maziwa mengi na kupitiwa na bonde la ufa.

11).Tz ni nchi ya nne kwa uzalishaji dhahabu Afrika baada ya Afrika Kusini, Ghana na Mali na ipo TOP 20 duniani.
Kuna migodi nane inayochimbwa dhahabu na miwili imefungwa.
Migodi inayochimbwa ni Buzwagi gold mine- (Shinyanga), Geita gold mine-(Geita), Golden pride gold mine-Nzega (Tabora), Bulyanhulu gold mine- (Shinyanga). New leuka Gold mine- (Mbeya),
Tulawaka gold mine-(Kagera), North mara gold mine-(Mara). Iliyofungwa ni Korandoto gold mine (Shinyanga), Senkenke gold mine-(Shinyanga).

12).Tz ina madini ya almasi yanayopatikana Mwadui Shinyanga.
Mgodi huo ulianza kuchimbwa tangu mwaku 1940.
Mpaka leo bado unachimbwa, unamilikiwa na kampuni ya Waingereza.

13).Tz ni nchi ya kwanza na ni nchi pekee inayozalisha madini ya tanzanite duniani.
Mkufu wa kuvaa shingoni unatengenezwa na tanzanite na almasi unauzwa hadi shilingi milioni 25 za Kitanzania.

14).Tz ina madini ya chuma yanayopatikana Mchuchuma, Ludewa- Njombe mgodi unamilikiwa na Wachina.
Mgodi huo una hifadhi ya madini ya chuma tani milioni 122 ambayo yanawezwa kuchimbwa kwa zaidi ya miaka 100.

15).Tz ina madini ya makaa ya mawe (Coal) yanayochimbwa Kiwira Mbeya, Mchuchuma na Liganga Njombe. Unamilikiwa na Wachina.
Pia mgodi wa Ngaka kule Mbinga-Ruvuma unamilikiwa na
kampuni ya Tancoal ya Australia.
Hifadhi ya madini ya makaa ya mawe iliyopo ni tani bilioni 2.
Makaa ya mawe ndio chanzo cha pili cha umeme wa bei nafuu duniani baada ya maji.

16).Tz ina hifadhi ya madini ya Uranium kule Dodoma (Bahi) na ni mgodi ambao unamilikiwa na Warusi.
Pia madini haya yanapatikana Namtumbo (Mkuju), Galapo, Minjingu, Mbulu, Simanjiro, Lake Natron, Manyoni, Songea, Tunduru, Madaba and Nachingwea.

17).Tz ni moja ya nchi tatu Afrika zikiwemo Zimbabwe na Madagascar kwa kuwa na madini mengi ya graphite. Madini haya yapo Tanga, Mahenge-Morogoro, Mererani- Manyara.
Madini ya graphite ndiyo yanayotumika
kutengenezea betri za simu, kwenye injini na brake za magari na kwenye karamu za risasi (pencili).

18).Tz ina madini ya nickel yanayopatikana kule Kabanga Kagera, milima ya Uluguru-Morogoro, North Mara, Ngasoma-Mwanza.

19).Tz ni nchi ya tatu duniani kwa kuwa na hifadhi kubwa ya magadi soda duniani baada ya Marekani na Uturuki.
Magadi soda hutumika kutengeneza vioo vya aina zote.
Vioo vya nyumbani hadi magari pia kutengeneza sabuni na dawa mbalimbali za usafi.

20).Tz ina hifadhi na mgodi wa madini ya niobium uliopo Panda hill Mbeya ambao ndio utakuwa mgodi mkubwa wa kwanza Afrika na wa nne duniani.
Mgodi huu unamilikiwa na kampuni ya Australia.
Madini ya niobium ni magumu sana hutumika kutengeneza mabomba pamoja na madini chuma pia hutumika kutengeneza baadhi ya sehemu za injini za ndege na vyombo vinavyoenda nje ya uso wa dunia (mfano Apollo 15 CSM), vioo vya computer na lenzi za camera.

21).Tz ni nchi ya kwanza Afrika na ya pili duniani kwa kuwa na vivutio vingi vya utalii ya kwanza ni Brazil.
Nchi zilizokuwa kwenye tano bora kwa utalii Afrika ni Tanzania, Botswana, Afrika Kusini, Kenya na Zambia.

22).Tz ina mbuga zipatazo 16 na ile mbuga maarufu kuliko zote duniani Serengeti ipo Tanzania,
Mbuga iliyopakana na bahari iitwayo Saadani ipo Tanzania na mlima mrefu kuliko wote Africa Kilimanjaro upo Tanzania.

23). Tz ina ardhi kubwa yenye rutuba na inayofaa kwa kilimo cha mazao mengi tofauti tofauti.
Mashamba makubwa ya mpunga kwa mfano yaliyokuwa chini ya Shirika la NAFCO yalitoa mazao ya kulisha Tanzania na pia nchi nyingine.

24).Tz ina gesi ya asili ya Carbon Dioxide (CO2) inayovunwa kule Kyejo, Rungwe-Mbeya na kampuni ya TOL.
Gesi ya asili ya carbon dioxide inatumika sana kutengenezea vinywaji laini kama soda, bia na pia kutengenezea madawa, makaratasi na kutibia maji (water treatment).

25).Tz ina gesi ya asili inayopatikana katika kisiwa cha Songo songo mkoa wa Lindi.
Gesi hii imekuwa ikichimbwa na kusafirishwa hadi Dar es salaam tangu mwaka 2004.
Inamilikiwa na kampuni ya Songas ya Uingereza.

26).Tz imengundua gesi ya asili yenye zaidi ya mita za ujazo trilioni 55.3 iliyongunduliwa katika maeneo ya bahari ya Hindi na Mtwara.

Pamoja na mali zote hizi lakini Tz ni nchi iliyo kwenye kundi la nchi MASIKINI duniani,
Cha ajabu zaidi hata nchi ambazo zilisaidiwa na TANZANIA,
Katika kupata uhuru zimetupita mbali sana kimaendeleo.

UNA MAONI GANI?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Watu kua maskini ndio umaskini wenyewe.kwasababu nchi kua na rasilimali ambazo hazileti manufaa kwa wananchi maana yake nisawa na kutokua nazo.maana yake ni kwamba tuna umaskini wa pesa hadi akili.
 
Ndugu zangu, Nawasalimu.

Kwanza nianze moja kwa moja kwa kuorodhesha baadhi ya sifa za mtu asiye na hadhi ya kuwa kiongozi.

1. Hulazimisha Kukubalika na kila mtu.

2. Hana maono . Tatizo kubwa sana hili

3. Hujipendekeza kwa Wanadamu. Hana msimamo, hajui anasimamia nini. Msimamo wake utategemea anaempa kula kwa wakati husika.

4. Mvivu kazini.

5. Ana ufaulu hafifu kwenye mitihani ya shule (ni mvivu wa asili, hajitumi kusoma na kujifunza) watu wenye uelewa Mpana na IQ kubwa wote ni wasomaji wakubwa na Wachapa kazi na wanaamini katika kujifunza hata uzeeni kwao. Mtu aliyefanya vizuri darasani ana chances kubwa zaidi kufanya vizuri katika maeneo mengine ya maisha. and vice versa is true.

6. Hana uwezo wa kufanya maamuzi. (Ukienda idara nyingi za serikali unagundua decision making ni changamoto kubwa mno kwa watumishi wa umma) na hii inajidhihirisha hata kwa viongozi wakubwa wa nchi. Hawezi chukua hatua stahiki hata kwenye rushwa, wizi, ufisadi nk.

7. Yupo defensive muda wote . Yuko emotional, Anataka kushindana na kishinda dhidi ya kila mtu . Anapenda ku play victim. Hafai.

8. Kamwe hajifunzi kutokana na Makosa . Hawa wapo wengi sana, na tunaona wanavyojibu wananchi wanaojaribu kuwa kinyume na maoni yao au pengine hata kuwashauri . Hata unashangaa huyu amekuwaje kiongozi. Average IQ. Hafai.

9. Mpumbavu (upumbavu sio tusi) Bali ni hali ya kutokuwa hujui kama hujui. Hata aelekezwe na aletewe ushahidi wa namna gani bado atakaza fuvu na hatakuwa tayari kueleweshwa. Wengine wanakuwa wamepofushwa na chuki. Wengi huwa hawana karama ya kusikiliza, na pia huwa wanajua kila kitu (Mr Know It all). Huyu hafai kuwa kiongozi.

10. Matumizi makubwa zaidi ya hisia Kukiko ya Akili. (Mihemko)
---

Ushahidi

1. Janga la UVIKO 19

Katika hali ya kawaida kabisa, mtu atadhani janga la UVIKO -19 lingetuacha na masomo muhimu kama Taifa . Somo Kuu ni KUPUNGUZA UTEGEMEZI KWA DUNIA.

kama Taifa tunategemea mataifa mengine kwa mambo muhimu na nyeti ya kuendesha uchumi kama vile Uagizaji wa Mafuta, madawa na vifaa tiba , viwatilifu, Fedha za Kigeni NK.

Baada ya UVIKO 19 tulitakiwa tuwe kwenye nafasi ya kutambua kuwa kuna uwezekano wa kutokea gonjwa la mlipuko lingine pengine baya zaidi ya COVID 19, ambapo hakutakuwa na Shipping lines wala air freights zitakazokuwa operational. Pengine kwa hata zaidi ya miaka mitatu mfululizo. Kila nchi ikafunga kabisa mipaka.

Mafuta tutatoa wapi?

Madawa tutatoa wapi?

Nasema hivi sababu kwa sasa kuna kila dalili ya Vita ya Tatu ya dunia. Na wanaoleta hizi chokochoko kwa sehemu kubwa wanajitosheleza kwa kila kitu, kuanzia technology hadi natural resources hata kwa miongo kadhaa mbele.

Vipi sisi Tanzania. Tutakuwa wageni wa nani? Kitu pekee tunazalisha ni Mahindi na Ulezi. Ndugu zangu wanajamvi. Nukuu hii nakupa, ikitokea Marekani na urusi wakaingia vitani kwenye Mzozo wa mashariki ya kati, basi mafuta tutanunua 15K kwa lita. Na ni gari za serikali pekee ndio zitajaza. Wake zetu na dada zetu na watoto wetu na wazazi wetu wanakufa mbele yetu na hatutakuwa na cha kufanya.

2. Mafuriko Jangwani
Kila mtanzania na kila mtawala wa nchi hii kwa miongo kadhaa anajua ya kuwa pakinyesha mvua basi Jangwani huleta adha kubwa na kero kubwa kwa wananchi wa Dar es Salaam mbao shughuli zao huhusisha matumizi ya daraja la jangwani kwenda CBD na Kariakoo ambazo ndio sehemu muhimu zaidi kiuchumi kwa Taifa (Kero kubwa sana).

Ni kwanini zaidi ya miongo kadhaa sehemu hii haipatiwi ufumbuzi? Kitu gani kinafanya hapa pasiwe kipaumbele? Kwanini watu waone kununua magari mipya ya wakuu wa wilaya ni kipaumbele na sio hapa ?

3. Kero sugu za Maji kwenye Majiji, Manispaa na Miji
Hivi unaweza kuelewa kwanini Jiji la mwanza kuna kero kubwa ya maji ? Nani anaweza kuelewa hii kitu anisaidie. Au Mbeya au Morogoro.

Yaani Pale mwanza kuna mamlaka ya serikali na watu wanalipana mishahara mizuri, lakini hawana uwezo wa kupump maji toka ziwani hadi kwenye makazi ya watu? Umbali wa KM 1? Hawa watu wanaweza nini basi,
Kwanini wasifukuzwe kazi wote kisha waajiriwe wapya tuone ?

Hii ni Mifano kadhaa tu kudhihirisha tunaongozwa na watu wasiokuwa na sifa za kuwa viongozi. Kwa Lugha rahisi wenye uwezo wa kawaida au mdogo (Average to Low IQ) si kwa maana ya kumkosea heshima mtu, Bali kwa ushahidi wa wazi.

My Take:
Uongozi wa namna hii hautatufikisha popote. Kuongozwa na mtu asiye na maono, Mvivu, asiyeweza chukua hatua stahiki, asiyejiamini, asiyemjua Mungu, kiongozi anayetegemea shirki mwisho wake ni kuingizwa shimoni na hatimae Mauti.

Tusanuane mapema wapendwa, utawala wa namna hii tusiweke mategemeo kabisa. Simply they can’t deliver, hawawezi. It’s out of their scope of thinking. Ni miongo sita sasa , how many chances should we give them?

Usiku mwema.

Zamani nilizani Wakurya wote wamenyooka kumbe thubutuuu!

Kupitia Huyu jamaa nimjua kumbe sio wala nini.
 
Soma hiyo

JE WAJUA?

Kama ulikua hujui kuwa TANZANIA SIO NCHI MASIKINI ILA WATU WAKE NDIO MASIKINI wacha nikufahamishe""
WATU wengi huamini kuwa Tanzania ni nchi MASIKINI,
Lakini sio kweli Tanzania sio nchi MASIKINI,
Tanzania ni nchi tajiri tena zaidi ya MAREKANI,
Ila watu wake ndio MASIKINI tena MASIKINI wakutupwa,
Umasikini huo umeanzia vichwani mwao mpaka kwe elimu zao,
Kwani kila mtu nchini humo huamini kuongea kiingereza ndio ujanja,
Na kila msomi husoma ili kuajiriwa na sio kujiajiri,
Sasa leo nakuletea ushahidi kuwa Tanzania sio nchi MASIKINI kama ifuatavyo""

1).Tz ilipata uhuru mwaka 1961hivi sasa ina miaka 63 tangu ipate uhuru ikiwa ni ya kwanza Afrika Mashariki.

2).Tz Kwa miaka 48 imeongozwa na Chama Cha Mapinduzii peke yake ambayo ni zao la TANU na ASP.

3).Tz ni nchi ambayo haijawahi kupata majanga makubwa kama matetemeko ya ardhi, magonjwa ya mlipuko kama ebola, mafuriko na vimbunga au ukame.

4).Tz ni nchi ambayo imekuwa na kitu ambacho nchi nyingi za Afrika zimekikosa. Kitu hicho ni AMANI.
Kwa miaka yote 60 ya uhuru haijawahi kupigana vita vya wenyewe kwa wenyewe.

5).Tz ina ukubwa wa Km 945,000 za mraba yani sawa na uchukuwe Denmark, France, United Kingdom, Netherland, Ireland ujumlishe zote kwa pamoja.

6).Tz ina eneo la bahari lenye ukubwa wa kilometa 1,424 km. Bahari inaleta fursa za usafirishaji, uvuvi, utalii na nyinginezo.

7).Tz ni nchi ambayo imepakana na nchi za (Uganda, Rwanda, Burundi, Zambia, Malawi, D. R. Congo,) ambazo zinategemea bahari yetu kwa usafirishaji wa mizigo na ni fursa nzuri ya kuzipelekea bidhaa za viwanda vyetu.

8). Tz ina maziwa makubwa manne na mengine madogo mengi.
Maziwa matatu makubwa yako kwenye kumi bora za ukubwa duniani na Maziwa makubwa matatu yote yapo Tanzania.
Ziwa Victoria ni la tatu kwa ukubwa duniani (la kwanza Afrika) na ziwa
Tanganyika ni la sita kwa ukubwa (la pili Afrika) na la kwanza kwa kuwa na kina kirefu duniani.
Ziwa Nyasa ni la tisa kwa ukubwa duniani (ni la tatu Afrika).

9).Tz ina mito mikubwa kumi ambayo ni mto Kagera, mto Ruvuma, mto Rufiji, mto Wami, mto Malagarasi, mto Mara, mto Pangani, mto Ruaha, mto Gombe, mto Mweupe wa Nile na ina mito midogo mengi kama mto Kilombero, mto Mbemkuru n.k

10).Tz ndiyo nchi ya kwanza Afrika kuwa na maji mengi yasio na chumvi yaliyokuwa kwenye uso wa dunia (fresh surface water) kutokana na kuwa
na mito na maziwa mengi na kupitiwa na bonde la ufa.

11).Tz ni nchi ya nne kwa uzalishaji dhahabu Afrika baada ya Afrika Kusini, Ghana na Mali na ipo TOP 20 duniani.
Kuna migodi nane inayochimbwa dhahabu na miwili imefungwa.
Migodi inayochimbwa ni Buzwagi gold mine- (Shinyanga), Geita gold mine-(Geita), Golden pride gold mine-Nzega (Tabora), Bulyanhulu gold mine- (Shinyanga). New leuka Gold mine- (Mbeya),
Tulawaka gold mine-(Kagera), North mara gold mine-(Mara). Iliyofungwa ni Korandoto gold mine (Shinyanga), Senkenke gold mine-(Shinyanga).

12).Tz ina madini ya almasi yanayopatikana Mwadui Shinyanga.
Mgodi huo ulianza kuchimbwa tangu mwaku 1940.
Mpaka leo bado unachimbwa, unamilikiwa na kampuni ya Waingereza.

13).Tz ni nchi ya kwanza na ni nchi pekee inayozalisha madini ya tanzanite duniani.
Mkufu wa kuvaa shingoni unatengenezwa na tanzanite na almasi unauzwa hadi shilingi milioni 25 za Kitanzania.

14).Tz ina madini ya chuma yanayopatikana Mchuchuma, Ludewa- Njombe mgodi unamilikiwa na Wachina.
Mgodi huo una hifadhi ya madini ya chuma tani milioni 122 ambayo yanawezwa kuchimbwa kwa zaidi ya miaka 100.

15).Tz ina madini ya makaa ya mawe (Coal) yanayochimbwa Kiwira Mbeya, Mchuchuma na Liganga Njombe. Unamilikiwa na Wachina.
Pia mgodi wa Ngaka kule Mbinga-Ruvuma unamilikiwa na
kampuni ya Tancoal ya Australia.
Hifadhi ya madini ya makaa ya mawe iliyopo ni tani bilioni 2.
Makaa ya mawe ndio chanzo cha pili cha umeme wa bei nafuu duniani baada ya maji.

16).Tz ina hifadhi ya madini ya Uranium kule Dodoma (Bahi) na ni mgodi ambao unamilikiwa na Warusi.
Pia madini haya yanapatikana Namtumbo (Mkuju), Galapo, Minjingu, Mbulu, Simanjiro, Lake Natron, Manyoni, Songea, Tunduru, Madaba and Nachingwea.

17).Tz ni moja ya nchi tatu Afrika zikiwemo Zimbabwe na Madagascar kwa kuwa na madini mengi ya graphite. Madini haya yapo Tanga, Mahenge-Morogoro, Mererani- Manyara.
Madini ya graphite ndiyo yanayotumika
kutengenezea betri za simu, kwenye injini na brake za magari na kwenye karamu za risasi (pencili).

18).Tz ina madini ya nickel yanayopatikana kule Kabanga Kagera, milima ya Uluguru-Morogoro, North Mara, Ngasoma-Mwanza.

19).Tz ni nchi ya tatu duniani kwa kuwa na hifadhi kubwa ya magadi soda duniani baada ya Marekani na Uturuki.
Magadi soda hutumika kutengeneza vioo vya aina zote.
Vioo vya nyumbani hadi magari pia kutengeneza sabuni na dawa mbalimbali za usafi.

20).Tz ina hifadhi na mgodi wa madini ya niobium uliopo Panda hill Mbeya ambao ndio utakuwa mgodi mkubwa wa kwanza Afrika na wa nne duniani.
Mgodi huu unamilikiwa na kampuni ya Australia.
Madini ya niobium ni magumu sana hutumika kutengeneza mabomba pamoja na madini chuma pia hutumika kutengeneza baadhi ya sehemu za injini za ndege na vyombo vinavyoenda nje ya uso wa dunia (mfano Apollo 15 CSM), vioo vya computer na lenzi za camera.

21).Tz ni nchi ya kwanza Afrika na ya pili duniani kwa kuwa na vivutio vingi vya utalii ya kwanza ni Brazil.
Nchi zilizokuwa kwenye tano bora kwa utalii Afrika ni Tanzania, Botswana, Afrika Kusini, Kenya na Zambia.

22).Tz ina mbuga zipatazo 16 na ile mbuga maarufu kuliko zote duniani Serengeti ipo Tanzania,
Mbuga iliyopakana na bahari iitwayo Saadani ipo Tanzania na mlima mrefu kuliko wote Africa Kilimanjaro upo Tanzania.

23). Tz ina ardhi kubwa yenye rutuba na inayofaa kwa kilimo cha mazao mengi tofauti tofauti.
Mashamba makubwa ya mpunga kwa mfano yaliyokuwa chini ya Shirika la NAFCO yalitoa mazao ya kulisha Tanzania na pia nchi nyingine.

24).Tz ina gesi ya asili ya Carbon Dioxide (CO2) inayovunwa kule Kyejo, Rungwe-Mbeya na kampuni ya TOL.
Gesi ya asili ya carbon dioxide inatumika sana kutengenezea vinywaji laini kama soda, bia na pia kutengenezea madawa, makaratasi na kutibia maji (water treatment).

25).Tz ina gesi ya asili inayopatikana katika kisiwa cha Songo songo mkoa wa Lindi.
Gesi hii imekuwa ikichimbwa na kusafirishwa hadi Dar es salaam tangu mwaka 2004.
Inamilikiwa na kampuni ya Songas ya Uingereza.

26).Tz imengundua gesi ya asili yenye zaidi ya mita za ujazo trilioni 55.3 iliyongunduliwa katika maeneo ya bahari ya Hindi na Mtwara.

Pamoja na mali zote hizi lakini Tz ni nchi iliyo kwenye kundi la nchi MASIKINI duniani,
Cha ajabu zaidi hata nchi ambazo zilisaidiwa na TANZANIA,
Katika kupata uhuru zimetupita mbali sana kimaendeleo.

UNA MAONI GANI?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Aisee hakuna la kusema zaidi ya CCM, ni wezi
 
The problem of Africans, those with ideas have no power and those with power have no ideas.
To solve this problem which ccm has created is to make sure that we have a level playing field in our electoral process ; the slogan ‘ No reforms no elections “ is very relevant in attaining fair outcomes of electing capable representatives.
 
Ccm kuendelea kubaki madarakani haitegemei kupigiwa Kura na mtu yoyote yule hapa Tanzania.
 
Back
Top Bottom