Ushahidi: Tanzania inaongozwa na Viongozi Wasio na Sifa za kuwa viongozi

Sio kweli . Walio ndani ya uwanja hawana uwezo. Watoke waingie wengine wenye uwezo .
Waza juu ya ATCL, shirika limepewa ndege na kufanya hasara kila uchao.Kola kitu kipo

Bwaw la umeme limekamilika et kiongoz anasema wamezima mashine sababu wanazalisha umeme wa kutosha. why usiuze umeme kwenda Malawi? Na nchi jirani kwa kuweka miundombinu?

Shida viomgozi hawa wanateuliwa kutoka katika vyama na kupewa kama hisani hivyo hawana weredi wa kusimamia mambo hayo.
 
Sahihi kabisa mkuu. Maoni yangu ni kama ulivyoweka bayana mwanzoni mwa andiko lako,
Umaskini tulionao ni umaskini wa ufahamu. Ufahamu wetu umefungwa.
Nimeona pia umeorodhesha katika rasilimali zote za madini wamiliki wote ni wageni. Hakuna hata mzawa mmoja, tena ingekuwa ni nafuu tungekuwa na mwafrika mmoja walau akamiliki mgodi.
Hivi kuna ulazima gani wa kumleta mgeni achimbe dhahabu ? Si uwape equipments wachimbaji wazawa ?
Dhahabu haihitaji rocket science kuichimba, hata mwanakijiji darasa la saba anakuchimbia anakusafishia anakuletea. Hawa watawala hawana wivu kabisa ?

Tunarudi palepale. Haya ni matokeao ya kuongozwa na Average to low IQ .
Ili tuweze kubadilisha huu utajiri ujidhihirishe kwenye maisha yetu , tunahitaji viongozi bora , sio hawa . Tunahitaji elimu bora , sio hii tunayofundishana, tunahitaji teknolojia , kuna hata kiongozi amewahi fikiria kama nchi tunahitaji teknolojia ?
Huku mitaani tunaona watu wanajaribu kufanya vitu vinaonekana, lakini hakuna wa kuwashika mkono. Viongozi hawajui kabisa kuwa kuna ulazima wa kuendeleza watu kwenye skills na ubunifu.

Ni kweli mkuu. Nchi yetu imebarikiwa. Ina kila kitu. Kasoro watu sahihi kuyaleta haya kwenye maisha ya watu.
 
Sahihi kabisa , sasa unamteua mtu akasimamie shirika linalotakiwa kujiendesha kibiashara, unamteua kwa qualification ya kuwa na kadi ya chama ? Hana uelewa, uzoefu hata biashara amewahi fanya ikafanikiwa ?
Unatoboaje ? Kwanini hawajifunzi private sector ?
Kwanini nafasi kama hizi zisitangazwe watu wenye weledi washindane ?
Yaani mtu anazima mitambo ya umeme msimu huu wa mvua na hapo kenya tu kuna soko la kuuza product ya umeme ?
 
Tutajuaje we una uwezo wakati ukiomba huwezi kuupata. Heshimu binadamu wenzako ht kuupata huo uongozi ni kazi
Kwa nchi hii kupata uongozi sio lazima uwe na uwezo. Ndio maana wengi tu hawako interested kuwa viongozi.
Hata wewe ukiwa na kibunda tu unapata uongozi.
 
Huyo Lumumba mbn mpk leo hajawa kiongozi? Ina maana hawezi kushawishi wananchi apate uongozi.
Kwa nafasi yake yeye tayari ni kiongozi . Tunaowasema ni hawa wanaolazimisha kuendelea kutawala yet they can’t deliver. Wako agressive hata kutoa uhai wa watu mradi tu wakae madarakani. Lakini hawana maajabu.
 
Watu wanatengeneza helkopta wanatengeneza magari lakin no support mfano masoud kipanya alitengeneza gari yake badala ya kumpa support wakamkejeli wale wazee kule iringa walitengeneza umeme kusaidia kijiji duuuh walipigwa vita tena na vitisho wakaacha

Yule jamaa pale songwe katengeneza helkopta yake kapigwa mkwara hadi leo hajarusha ameipak pembezon mwa barabara

Hiii ndiyo afrika

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kutoweza na kutotaka ni mambo tofauti. Viongozi wengi wanaweza kufanya wanachotakiwa kufanya lakini hawataki kufanya. Wanaamua kufanya kinachowahakikishia manufaa yao binafsi kwanza. Hilo suala la kukusanya nauli sio kwamba wameshindwa. Utaratibu wa sasa unaruhusu watu kujilipa vizuri. Mkidigitalise watu wanakosa namna ya kupiga. Na hii ipo sehemu nyingi tu.​
 
Watu kua maskini ndio umaskini wenyewe.kwasababu nchi kua na rasilimali ambazo hazileti manufaa kwa wananchi maana yake nisawa na kutokua nazo.maana yake ni kwamba tuna umaskini wa pesa hadi akili.
 

Zamani nilizani Wakurya wote wamenyooka kumbe thubutuuu!

Kupitia Huyu jamaa nimjua kumbe sio wala nini.
 
Aisee hakuna la kusema zaidi ya CCM, ni wezi
 
The problem of Africans, those with ideas have no power and those with power have no ideas.
To solve this problem which ccm has created is to make sure that we have a level playing field in our electoral process ; the slogan ‘ No reforms no elections “ is very relevant in attaining fair outcomes of electing capable representatives.
 
 

Ccm kuendelea kubaki madarakani haitegemei kupigiwa Kura na mtu yoyote yule hapa Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…