Ushahidi unaoonesha jinsi Kombora lililorushwa na Hamas lilivyoshindwa kuendelea na safari likatua Hospitalini na kuua mamia

Ushahidi unaoonesha jinsi Kombora lililorushwa na Hamas lilivyoshindwa kuendelea na safari likatua Hospitalini na kuua mamia

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Mji wa Gaza unarekodiwa masaa 24, kwenye mida ya 18:59 live footage ilionyesha Hamas wameanza kurusha Makombora kuelekea Israel lakini moja ya kombora likapata hitilafu (misfire) likadondoka kwa kishindo kwenye Hospitali ya Al-Mamamani na kusababisha mlipuko, Baada ya dakika 11 (19:10) Hamas wakatangaza kwamba Israel ndio imelipua hospitali,

Al Jazeera ambao wapo mstari wa mbela kuwasagia kunguni Israel walikuwa Live muda wa tukio kuonyesha hali ya Gaza lakini walipoona hospitali imelipuka wakahamia studio fasta ili kuficha ukweli.



Video kamili ambayo haijakatwa inaonyesha makombora ya ziada yaliendelea kurushwa.



Sekunde ya 50 ya video kamili inaonyesha jengo linalowaka moto ni hospitali ya "Al-Mamamani Hospital" sifa kuu ya hii hospitali ni bati kubwa la umeme wa Sola

1697584113126.png


Hii ni Telegram ya Hamas, 19:10 waliwasingizia Israel wamelipua hospitali

1697584088365.png


Kwa ufupi ni kwamba, Kombora lililorushwa kwa dhumuni la kuua waisrael lilipata hitilafu angani na kutua upande wa waliolirusha, kukwepa lawama hii ikabidi asingiziwe Israel, na sasa wameumbuka kwamba hawachinji tu waisrael bali wanaua mpaka wenzao wagonjwa wasio na Hatia.
 
Kutoka CNN baada ya uchunguzi, wagwiji wamehitimisha kwamba Makombora ya Hamasa wanayorusha kwenda Israel huwa yana Jam na hayafiki Israel, yanaishia ndani ya mipaka ya Gaza na kusababisha maafa malubwa kwa wapalestina ila Hamas huwa hawakiri, badala yake huhamishia lawama kwa Israel

It certainly could have been a Hamas misfire

This is 100% Hamas. Rockets fired by factions in the Gaza Strip often fall short, with Palestinians killed in a number of past such incidents.
Unajiita Soldier hata hujui air strike ni nini? HAMAS wana Ndege ngapi? Ushawahi ona ndege ya Hamas ikipiga kombora popote pale?
 
Kutoka CNN baada ya uchunguzi, wagwiji wamehitimisha kwamba Makombora ya Hamasa wanayorusha kwenda Israel huwa yana Jam na hayafiki Israel, yanaishia ndani ya mipaka ya Gaza na kusababisha maafa malubwa kwa wapalestina ila Hamas huwa hawakiri, badala yake huhamishia lawama kwa Israel

It certainly could have been a Hamas misfire

This is 100% Hamas. Rockets fired by factions in the Gaza Strip often fall short, with Palestinians killed in a number of past such inciden
 
Kwenye mji wa RAMALLAH PALESTINE kuna maandamano raia wanataka raisi wao aondoke madarakani.
Hawa wapestina nashindwa kujua kitu gani wanahitaji alafu wenyewe waandamanaji wanadai hawatarudi nyuma Hadi raisi aondoke madarakani na kuanzia kesho maandamano yataingia kwenye miji mingine ya Palestine
 
HAMAS wamelipua Makombora yakawarudia wenyewe. Wamemalizana wao kwa wao. Ogopa taifa la Mungu. Israel isisingiziwe
 
Tangu nione clip ya media crew ya CNN wanatengeneza igizo huko karibu na Gaza siichukulii siriasi.

Pia kumbuka wamiliki wa hizo media niJews. Ndio maana hata youtube ukijifanya kiherehere unaiponda israel unafutiwa channel.

Kikubwa tuombe amani
 
Mimi nilifikiria umetuwekea video ya kuonyesha kombora likipiga kumbe ni mazungumzo ambayo yanaweza yakawa ya kweli ama ya uongo
Video hio hapo kama shida ni video



Na IDF wenyewe wamekiri.
 
Back
Top Bottom