Ushahidi unaoonesha jinsi Kombora lililorushwa na Hamas lilivyoshindwa kuendelea na safari likatua Hospitalini na kuua mamia

Ushahidi unaoonesha jinsi Kombora lililorushwa na Hamas lilivyoshindwa kuendelea na safari likatua Hospitalini na kuua mamia

Mkuu punguza upumbavu Hamas hana kombora lenye uwezo wa kuuwa watu 500.
Ujinga ni mzigo, huyu Hamas wenu mnasema Israel haiwezi pigana naye, mara alawahi shinda Israel katika vita.

Leo ooh Hamas hana kombora la kuua watu 500 yaani ujinga ni mzigo kwakweli🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ujinga ni mzigo, huyu Hamas wenu mnasema Israel haiwezi pigana naye, mara alawahi shinda Israel katika vita.

Leo ooh Hamas hana kombora la kuua watu 500 yaani ujinga ni mzigo kwakweli🤣🤣🤣🤣🤣
Na hapa unaona wenzako wajinga!!..nenda salon ukatengeneze nywele na kucha
 
Mji wa Gaza unarekodiwa masaa 24, Hii ni Live video footage muda ni 18:59, Muda huu Hamas walikuwa wanarusha Makombora kuelekea Israel lakini moja ya kombora likapata hitilafu na kudondokea Gaza kwenye Hospitali ya hospitali ya Al-Mamamani, Baada ya dakika 11 (19:10) Hamas wakatangaza kwamba Israel ndio imelipua hospitali,

Al Jazeera ambao wapo mstari wa mbela kuwasagia kunguni Israel walikuwa Live muda wa tukio kuonyesha hali ya Gaza lakini walipoona hospitali imelipuka kwa Kombora la Hamas kupata hitilafu wakazima camera wakahamia studio fasta ili kuficha ukweli.

View attachment 2784978

Video kamili ambayo haijakatwa inaonyesha makombora ya ziada yaliendelea kurushwa.

View attachment 2784936

Sekunde ya 50 ya video kamili inaonyesha jengo linalowaka moto ni hospitali ya "Al-Mamamani Hospital" sifa kuu ya hii hospitali ni bati kubwa la umeme wa Sola.

View attachment 2784973

Hii ni Telegram ya Hamas, 19:10 waliwasingizia Israel wamelipua hospitali

View attachment 2784972

Kwa ufupi ni kwamba, Kombora lililorushwa kwa dhumuni la kuua waisrael lilipata hitilafu angani na kutua upande wa waliolirusha, kukwepa lawama hii ikabidi asingiziwe Israel, na sasa wameumbuka kwamba hawachinji tu waisrael bali wanaua mpaka wenzao wagonjwa wasio na Hatia.
Aisee!
 
Hao Al Jazeera ni Pro Hamas, Video nzima mbona hawajaweka tukio la airstrike

Wacha nikusaidie kukuwekea walichoficha ni niki hapa, Kombora zito lilirusha kutoka Gaza likajama na matokeo yake wapalestina wameumia na Kufa


View attachment 2784937
Wew huoni hizo ni video mbili tofauti 😁.

VIDEO YA KWANZA.

ROCKET INAENDA KUTUA SEHEM A HATUJUI NI GAZA AU ISRAELI PANATOKEA MLIPUKO MDOGO

VIDEO YA PILI.
KINATOKEA GIZA GAFRA,TUNAONA MLIPUKO MKUBWA HUKU KAMERA IKIZOOM TUKIO.
 
Back
Top Bottom