Mji wa Gaza unarekodiwa masaa 24, kwenye mida ya 18:59 live footage ilionyesha Hamas wameanza kurusha Makombora kuelekea Israel lakini moja ya kombora likapata hitilafu (misfire) likadondoka kwa kishindo kwenye Hospitali ya Al-Mamamani na kusababisha mlipuko, Baada ya dakika 11 (19:10) Hamas wakatangaza kwamba Israel ndio imelipua hospitali,
Al Jazeera ambao wapo mstari wa mbela kuwasagia kunguni Israel walikuwa Live muda wa tukio kuonyesha hali ya Gaza lakini walipoona hospitali imelipuka wakahamia studio fasta ili kuficha ukweli.
Your browser is not able to display this video.
Video kamili ambayo haijakatwa inaonyesha makombora ya ziada yaliendelea kurushwa.
Your browser is not able to display this video.
Sekunde ya 50 ya video kamili inaonyesha jengo linalowaka moto ni hospitali ya "Al-Mamamani Hospital" sifa kuu ya hii hospitali ni bati kubwa la umeme wa Sola
Hii ni Telegram ya Hamas, 19:10 waliwasingizia Israel wamelipua hospitali
Kwa ufupi ni kwamba, Kombora lililorushwa kwa dhumuni la kuua waisrael lilipata hitilafu angani na kutua upande wa waliolirusha, kukwepa lawama hii ikabidi asingiziwe Israel, na sasa wameumbuka kwamba hawachinji tu waisrael bali wanaua mpaka wenzao wagonjwa wasio na Hatia.
Kutoka CNN baada ya uchunguzi, wagwiji wamehitimisha kwamba Makombora ya Hamasa wanayorusha kwenda Israel huwa yana Jam na hayafiki Israel, yanaishia ndani ya mipaka ya Gaza na kusababisha maafa malubwa kwa wapalestina ila Hamas huwa hawakiri, badala yake huhamishia lawama kwa Israel
It certainly could have been a Hamas misfire
This is 100% Hamas. Rockets fired by factions in the Gaza Strip often fall short, with Palestinians killed in a number of past such incidents.
Kutoka CNN baada ya uchunguzi, wagwiji wamehitimisha kwamba Makombora ya Hamasa wanayorusha kwenda Israel huwa yana Jam na hayafiki Israel, yanaishia ndani ya mipaka ya Gaza na kusababisha maafa malubwa kwa wapalestina ila Hamas huwa hawakiri, badala yake huhamishia lawama kwa Israel
It certainly could have been a Hamas misfire
This is 100% Hamas. Rockets fired by factions in the Gaza Strip often fall short, with Palestinians killed in a number of past such inciden
Kwenye mji wa RAMALLAH PALESTINE kuna maandamano raia wanataka raisi wao aondoke madarakani.
Hawa wapestina nashindwa kujua kitu gani wanahitaji alafu wenyewe waandamanaji wanadai hawatarudi nyuma Hadi raisi aondoke madarakani na kuanzia kesho maandamano yataingia kwenye miji mingine ya Palestine