WrestlerRSF254
JF-Expert Member
- Jan 30, 2023
- 1,196
- 2,012
Ujinga ni mzigo, huyu Hamas wenu mnasema Israel haiwezi pigana naye, mara alawahi shinda Israel katika vita.Mkuu punguza upumbavu Hamas hana kombora lenye uwezo wa kuuwa watu 500.
Gaza kuna umeme?HAMAS wamelipua Makombora yakawarudia wenyewe. Wamemalizana wao kwa wao. Ogopa taifa la Mungu. Israel isisingiziwe
View attachment 2784884View attachment 2784885View attachment 2784887
Na hapa unaona wenzako wajinga!!..nenda salon ukatengeneze nywele na kuchaUjinga ni mzigo, huyu Hamas wenu mnasema Israel haiwezi pigana naye, mara alawahi shinda Israel katika vita.
Leo ooh Hamas hana kombora la kuua watu 500 yaani ujinga ni mzigo kwakweli🤣🤣🤣🤣🤣
Aisee!Mji wa Gaza unarekodiwa masaa 24, Hii ni Live video footage muda ni 18:59, Muda huu Hamas walikuwa wanarusha Makombora kuelekea Israel lakini moja ya kombora likapata hitilafu na kudondokea Gaza kwenye Hospitali ya hospitali ya Al-Mamamani, Baada ya dakika 11 (19:10) Hamas wakatangaza kwamba Israel ndio imelipua hospitali,
Al Jazeera ambao wapo mstari wa mbela kuwasagia kunguni Israel walikuwa Live muda wa tukio kuonyesha hali ya Gaza lakini walipoona hospitali imelipuka kwa Kombora la Hamas kupata hitilafu wakazima camera wakahamia studio fasta ili kuficha ukweli.
View attachment 2784978
Video kamili ambayo haijakatwa inaonyesha makombora ya ziada yaliendelea kurushwa.
View attachment 2784936
Sekunde ya 50 ya video kamili inaonyesha jengo linalowaka moto ni hospitali ya "Al-Mamamani Hospital" sifa kuu ya hii hospitali ni bati kubwa la umeme wa Sola.
View attachment 2784973
Hii ni Telegram ya Hamas, 19:10 waliwasingizia Israel wamelipua hospitali
View attachment 2784972
Kwa ufupi ni kwamba, Kombora lililorushwa kwa dhumuni la kuua waisrael lilipata hitilafu angani na kutua upande wa waliolirusha, kukwepa lawama hii ikabidi asingiziwe Israel, na sasa wameumbuka kwamba hawachinji tu waisrael bali wanaua mpaka wenzao wagonjwa wasio na Hatia.
Wew huoni hizo ni video mbili tofauti 😁.Hao Al Jazeera ni Pro Hamas, Video nzima mbona hawajaweka tukio la airstrike
Wacha nikusaidie kukuwekea walichoficha ni niki hapa, Kombora zito lilirusha kutoka Gaza likajama na matokeo yake wapalestina wameumia na Kufa
View attachment 2784937
Tuwekee hiyo ndege kama mwenzio alivyowekaWacha ujinga channel zote zimeona ndege za Israel ndio zimepiga
Acha ujinga kujitoa fahamu, ujinga wa jihadist umewekwa wazi wazi live, hasa direction ambayo kombora lilirushwa.Wacha ujinga channel zote zimeona ndege za Israel ndio zimepiga