KUDOLE CHA MWISHO
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 407
- 892
[emoji23][emoji23][emoji23]Soma sana ujinga utakuua mkuu
Hahahah umekuja kupima upepo mkuu? Huyo ni gwajima tu hata untetee vipiHii ni galery ya kwenye simu yangu inaonyesha video na picha mbalimbali nilizo download kwenye simu yangu, tangia kitambo kutoka group la Whatsapp na hakuna aliyesema ni Gwajima
Hiyo video inayosemwa ni ya Gwajima nilishaiona kitambo na hakuna aliyezania ni ya Gwajima hadi sasa baada ya kuhusiswa
View attachment 1091497
Hii ni galery ya kwenye simu yangu inaonyesha video na picha mbalimbali nilizo download kwenye simu yangu, tangia kitambo kutoka group la Whatsapp na hakuna aliyesema ni Gwajima
Hiyo video inayosemwa ni ya Gwajima nilishaiona kitambo na hakuna aliyezania ni ya Gwajima hadi sasa baada ya kuhusiswa
View attachment 1091497
Kuna wakristo wenzetu bado ni misukule huyo jamaa mtoa mada ni wale malofa wasiojua kitu wala Bible yenyewe hawaijui
Wewe mwenyewe ni msukule usiojitambuaKuna wakristo wenzetu bado ni misukule huyo jamaa mtoa mada ni wale malofa wasiojua kitu wala Bible yenyewe hawaijui
ameshasema yeye hana kiganja cha mabaunsa wakati kiganja ndio kimeisogelea camera.hivi tunahitaji kuwa na PhD ya IT kubaini ukweli na uwongo?
Tambua kukaa kimya wakati mwingine ni kukubaliKuna wakati ni bora mtu kukaa kimya na kesi itaisha haraka tu. Ni sawa na mtu kukasirikia jina la utani, litadumu kuliko kulikubali.
Hii ni simati foni au makusudiIpo vile vile mkuu, cheki hapo inaonekana ni urefu ule uke wa dk 1:37, Mtu mweusi na nweupe, style ile ile, mikono ya mwanamke ipo vile vile..hakuna kilichobadilika
Tambua kukaa kimya wakati mwingine ni kukubali