Ushahidi wa mashirika yasiyokuwa na tija, ni ya kufutwa, ni huu hapa

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
1. TMA
2.
Eti na huyu ni Dr. , PhD holder .......as put by Chief Master of Jalalani , huyu naye katoka k jalalani!

Mmebadiri mihura ya shule kuhofia mvua kubwa, mnazibua mitaro kuhofia mvua kubwa, leo linasema El Nino ni joto , mara ilianza mwezi wa tano ....na mavi mengine kama hayo!
 
Attachments

  • VID-20261023-WA0008.mp4
    4.7 MB
1. TMA
2.
Eti na huyu ni Dr. , PhD holder .......as put by Chief Master of Jalalani , huyu naye katoka k jalalani!

Mmebadiri mihura ya shule kuhofia mvua kubwa, mnazibua mitaro kuhofia mvua kubwa, leo linasema El Nino ni joto , mara ilianza mwezi wa tano ....na mavi mengine kama hayo!
ok.🐒
 
Au mimi ndiye sielewi hivi mkimsikiliza vizuri kabisa kwanzia dk 1:23 hivi ni kweli kabisa hajaeleweka?
 
1. TMA
2.
Eti na huyu ni Dr. , PhD holder .......as put by Chief Master of Jalalani , huyu naye katoka k jalalani!

Mmebadiri mihura ya shule kuhofia mvua kubwa, mnazibua mitaro kuhofia mvua kubwa, leo linasema El Nino ni joto , mara ilianza mwezi wa tano ....na mavi mengine kama hayo!
TMA hawana vifaa unawalaumuje
Yaani uvunje taasisi ya kutabiri weather na climate change kwa sababu ya maoni ya mtu fulani

Nakusaidie msimu wa mvua unaanza november mpaka may mwakani
Au hujui majira ya mvua Tanzania
Kwa lugha nyingine TMA huwezi walaumu sababu bado msimu wa mvua hujaanza
 
Wajinga ndio wameshika madaraka utegemee nn? na kuna mwingine kaja na uzi kuwatetea na kutuponda watz kua hatuna akili ...ila huyo phd ndo ana akili sana.
 
1. TMA
2.
Eti na huyu ni Dr. , PhD holder .......as put by Chief Master of Jalalani , huyu naye katoka k jalalani!

Mmebadiri mihura ya shule kuhofia mvua kubwa, mnazibua mitaro kuhofia mvua kubwa, leo linasema El Nino ni joto , mara ilianza mwezi wa tano ....na mavi mengine kama hayo!
Haya mashirika ni ya ccm ili kuongeza mambwa wa kubwekabweka mama nyoko mama nyoooo!
 
1. TMA
2.
Eti na huyu ni Dr. , PhD holder .......as put by Chief Master of Jalalani , huyu naye katoka k jalalani!

Mmebadiri mihura ya shule kuhofia mvua kubwa, mnazibua mitaro kuhofia mvua kubwa, leo linasema El Nino ni joto , mara ilianza mwezi wa tano ....na mavi mengine kama hayo!
Ungemsikiliza vyema usinfeandika haya yote.
 
Hii ndo awamu ya sita. Wamechota hela Leo wanasema El nino ni joto.
Sasa mafeni mangapi wamenunua?
 
TMA hawana vifaa unawalaumuje
Yaani uvunje taasisi ya kutabiri weather na climate change kwa sababu ya maoni ya mtu fulani

Nakusaidie msimu wa mvua unaanza november mpaka may mwakani
Au hujui majira ya mvua Tanzania
Kwa lugha nyingine TMA huwezi walaumu sababu bado msimu wa mvua hujaanza
mzee leo umeongea pumba moja maridadi aisee..
 
Ungemsikiliza vyema usinfeandika haya yote.
Hakika. Amepanua uelewa wangu kuhusu El nino. Nimepata definition ya El nino kuwa :
El Niño is a natural climate pattern involving the warming of sea surface temperatures in the central and eastern tropical Pacific Ocean.

Kulingana na AI.
 
Back
Top Bottom