masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,870
- 15,068
Ni kweli, El Nino ni hali ya joto na mvuke katika bahari ya Pacific.KWELI mkuu interview yake nimeiona pale wasafi nimecheka hatari eti El nino Ni joto
Joto hilo na mvuke vikizidi na kupanda hewani, mvuke unageuzwa mvua unapopozwa na hali ya baridi huko juu.
Na baada ya kupulizwa na pepo za baharini kwenda nchi kavu, ndipo unapata mvua zisizo za kawaida.
Tatizo la TMA ni kutoweza kujieleza kikamilifu na kitaalam wakaelweka.