Ushahidi wa mashirika yasiyokuwa na tija, ni ya kufutwa, ni huu hapa

Ushahidi wa mashirika yasiyokuwa na tija, ni ya kufutwa, ni huu hapa

Mnajisumbua kupiga kelele. Kaeni subirini mvua inyeshe. Kuendelea kuikosoa TMA haisaidii kitu. Wameshasema ni Joto, kama hamtaki sawa
 
1. TMA
2.
Eti na huyu ni Dr. , PhD holder .......as put by Chief Master of Jalalani , huyu naye katoka k jalalani!

Mmebadiri mihura ya shule kuhofia mvua kubwa, mnazibua mitaro kuhofia mvua kubwa, leo linasema El Nino ni joto , mara ilianza mwezi wa tano ....na mavi mengine kama hayo!
Labda huku ambako siku ni 50/50 mchana kwa usiku; huku ambako hata mtaroni watu wanalala na baadaye wakaendelea na mishe bila issue; kwa maeneo ambako weather ni highly unpredictable Meteo ni kati ya taasisi muhimu mno.

Mhusika kuto-perform interview ya siku moja sidhani kama ni hoja ya msingi ya kufuta taasisi nzima! Sometimes, let's be logical.
 
Ni kweli, El Nino ni hali ya joto na mvuke katika bahari ya Pacific.
Joto hilo na mvuke vikizidi na kupanda hewani, mvuke unageuzwa mvua unapopozwa na hali ya baridi huko juu.
Na baada ya kupulizwa na pepo za baharini kwenda nchi kavu, ndipo unapata mvua zisizo za kawaida.

Tatizo la TMA ni kutoweza kujieleza kikamilifu na kitaalam wakaelweka.

Angalu umeeleza vizuri kuliko hao tiemuei
 
Labda huku ambako siku ni 50/50 mchana kwa usiku; huku ambako hata mtaroni watu wanalala na baadaye wakaendelea na mishe bila issue; kwa maeneo ambako weather ni highly unpredictable Meteo ni kati ya taasisi muhimu mno.

Mhusika kuto-perform interview ya siku moja sidhani kama ni hoja ya msingi ya kufuta taasisi nzima! Sometimes, let's be logical.
It has been the norm of uongo uongo since its inception
 
Ni kweli, El Nino ni hali ya joto na mvuke katika bahari ya Pacific.
Joto hilo na mvuke vikizidi na kupanda hewani, mvuke unageuzwa mvua unapopozwa na hali ya baridi huko juu.
Na baada ya kupulizwa na pepo za baharini kwenda nchi kavu, ndipo unapata mvua zisizo za kawaida.

Tatizo la TMA ni kutoweza kujieleza kikamilifu na kitaalam wakaelweka.
The issue is walisem kutakuwa na mvua kubwa. Ndiyo maana wakatenga 700 bn kufanya mandalizi ya kukabiri mvua kubwa zitakazo nyesha. Mitaro imezibuliwa, mabonde ie njia za maji zimepaniliwa, watu wamehamishwa kutoka maribu na mito etc etc. Sasa joto huwa tunazibua mitaro?
 
Bro, kuwa broader minded.
 
ila wabongo wanafiki sana,,sasa wale maaskofu na mashehe mlikua mnahimiza waombe mungu atuepushe na elinino,kumbe mungu mwenyewe hayupo na hata angekuwepo,hawezi kuzuia elinino..😁😂😂,saa hizi chadema wako busy,wanadai Elinino🙆🏽‍♂️😂
 
1. TMA
2.
Eti na huyu ni Dr. , PhD holder .......as put by Chief Master of Jalalani , huyu naye katoka k jalalani!

Mmebadiri mihura ya shule kuhofia mvua kubwa, mnazibua mitaro kuhofia mvua kubwa, leo linasema El Nino ni joto , mara ilianza mwezi wa tano ....na mavi mengine kama hayo!
Inasikitisha sana.
 
Shida sio yeye shida ni wanasiasa wetu vilaza hawakuchukua maelekezo yake vizuri kabla walikurupuka kukariri kwamba El Nino ni mvua kubwa kumbe sio hivyo kwa hio kwa upande mmoja yupo sahihi kabisa kwa mujibu wa maelezo yake ila wanasiasa ndio wamechukua maelezo tofauti waka conclude ni mvua kubwa na wakajitengea mipesa kibao ambayo wameitafuna na walichotarajia kimekua sivyo kabisa
wanasiasa sio vilaza kaka. wanacheza na biti. jiulize lile fungu la blion 780 lililotengwa limeenda wap kama kweli ni vilaza. sisi ndio vilaza. tushapigwa
 
TMA hawana vifaa unawalaumuje
Yaani uvunje taasisi ya kutabiri weather na climate change kwa sababu ya maoni ya mtu fulani

Nakusaidie msimu wa mvua unaanza november mpaka may mwakani
Au hujui majira ya mvua Tanzania
Kwa lugha nyingine TMA huwezi walaumu sababu bado msimu wa mvua hujaanza
We chawa kwa nini tusiwalaumu wakati walisema mvua zitaanza mwezi wa 9? muambie mwizi mwenzio atuombe radhi watanzania na sio kujitetea kifala kama anavyofanya
 
Kimsingi huyu jamaa ambae wengi wanamuona hajielewi,ukimsikiliza vizuri ndio ameeleza vizuri tafsiri sahihi ya elnino.
Ukitaka kujifunza lazima kwanza ujuaji uweke pembeni kwa maana,kama wewe unajua,utakua unajifunza ili iweje?
 
Back
Top Bottom