masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,870
- 15,068
Ni kweli, El Nino ni hali ya joto na mvuke katika bahari ya Pacific.KWELI mkuu interview yake nimeiona pale wasafi nimecheka hatari eti El nino Ni joto
Kwamba hawakusema kuwa kutakuwa na mvua kubwa? Au wewe ndiye yeye unajitetea? RidiculousAu mimi ndiye sielewi hivi mkimsikiliza vizuri kabisa kwanzia dk 1:23 hivi ni kweli kabisa hajaeleweka?
Issue ni kuwa walisema kutakuwa na mvua kubwa, leo anasema hatujawahi sema hivyo......Ni kweli, El Nino ni hali ya joto na mvuke katika bahari ya Pacific.
Joto hilo na mvuke vikizidi na kupanda hewani, mvuke unageuzwa mvua unapopozwa na hali ya baridi huko juu.
Na baada ya kupulizwa na pepo za baharini kwenda nchi kavu, ndipo unapata mvua zisizo za kawaida.
Tatizo la TMA ni kutoweza kujieleza kikamilifu na kitaalam wakaelweka.
Nimemsikiliza...kweli hawakusema kutakuwa na mvua kubwa? Anakama kuwa hawajawahi kusema!Ungemsikiliza vyema usinfeandika haya yote.
Huyo "Dr" cheti kanunua.Issue ni kuwa walisema kutakuwa na mvua kubwa, leo anasema hatujawahi sema hivyo......
Ni kweli, El Nino ni hali ya joto na mvuke katika bahari ya Pacific.
Joto hilo na mvuke vikizidi na kupanda hewani, mvuke unageuzwa mvua unapopozwa na hali ya baridi huko juu.
Na baada ya kupulizwa na pepo za baharini kwenda nchi kavu, ndipo unapata mvua zisizo za kawaida.
Tatizo la TMA ni kutoweza kujieleza kikamilifu na kitaalam wakaelweka.
Hii sio kuchafuana, walishajichufua tayari mkuu. Vipi huko uliko hukuona harakati za kusafisha mitaro, kuchimba mitaro, hamisha hamisha maeneo ya mabondeni. Je kama walitabiri El nino upande wa joto;Nazani huu ni Uzi wa kuchafuana epuka ndugu mwanajamii forums TMA walizungumzia El nino sio mvua za El nino
hakuna mtaalamu , they categorically pronounced that on our Part There will be heavy and provocative rains and we haVe to get prepared.Usipende Kukurupuka Kutusi Wanataaluma Kabla Ya Kujiridhisha Zaidi Kwa Walioyasema,,Tumia Hiyo Simu Janja Kujizolea Maarifa Zaidi Na Si Kutumia Kutusi Watu....
Shida sio yeye shida ni wanasiasa wetu vilaza hawakuchukua maelekezo yake vizuri kabla walikurupuka kukariri kwamba El Nino ni mvua kubwa kumbe sio hivyo kwa hio kwa upande mmoja yupo sahihi kabisa kwa mujibu wa maelezo yake ila wanasiasa ndio wamechukua maelezo tofauti waka conclude ni mvua kubwa na wakajitengea mipesa kibao ambayo wameitafuna na walichotarajia kimekua sivyo kabisaKWELI mkuu interview yake nimeiona pale wasafi nimecheka hatari eti El nino Ni joto
Wewe nawe ni bure kabisa! Kuna mtu asiyejua kuhusu uwepo wa mvua za kuanzia huo mwezi ulioutaja?TMA hawana vifaa unawalaumuje
Yaani uvunje taasisi ya kutabiri weather na climate change kwa sababu ya maoni ya mtu fulani
Nakusaidie msimu wa mvua unaanza november mpaka may mwakani
Au hujui majira ya mvua Tanzania
Kwa lugha nyingine TMA huwezi walaumu sababu bado msimu wa mvua hujaanza
Tuliza akili kwanza.
Wameshtoa sasa hiyo press. Kwahiyo unaamuaje? Unahama nchi? Unagoma kufanya kazi? Au utaendelea kulalamika mitandaoni?Hii sio kuchafuana, walishajichufua tayari mkuu. Vipi huko uliko hukuona harakati za kusafisha mitaro, kuchimba mitaro, hamisha hamisha maeneo ya mabondeni. Je kama walitabiri El nino upande wa joto;
1. je joto linahusiana vipi na mitaro?
2.Je joto linahusina vipi na makazi ya watu wa mabondeni?
3.Je mamlaka husika ilitoa elimu kwa wananchi namna ya kuvaa kipindi cha joto? au kununua AC majumbani?
Huwezi mchafua mtu ambae tayari alishajichafua mwenyewe. Ni mda mrefu Sasa Toka waanze kuzungumzia Eli nino mbona hawa kutoa press ya kuweka mambo sawa.
Endelea kusubiri, mchanganuo utapataWewe nawe ni bure kabisa! Kuna mtu asiyejua kuhusu uwepo wa mvua za kuanzia huo mwezi ulioutaja?
Hapa watu wanalalamikia propaganda ya hizo mvua za El Nino zilizoambatana na kutengwa kwa bilioni 700+ kukabiliana na hizo mvua! Bado mitaala ya shule za msingi na sekondari imerudishwa nyuma, nk.
Binafsi ninahitaji kuufahamu mchanganuo wa matumizi ya hizo pesa zilizotengwa kupambana na hiyo El Nino hewa.
Hao ndio wasomi wetu.1. TMA
2.
Eti na huyu ni Dr. , PhD holder .......as put by Chief Master of Jalalani , huyu naye katoka k jalalani!
Mmebadiri mihura ya shule kuhofia mvua kubwa, mnazibua mitaro kuhofia mvua kubwa, leo linasema El Nino ni joto , mara ilianza mwezi wa tano ....na mavi mengine kama hayo!