Ushahidi wa mashirika yasiyokuwa na tija, ni ya kufutwa, ni huu hapa

Mnajisumbua kupiga kelele. Kaeni subirini mvua inyeshe. Kuendelea kuikosoa TMA haisaidii kitu. Wameshasema ni Joto, kama hamtaki sawa
 
Labda huku ambako siku ni 50/50 mchana kwa usiku; huku ambako hata mtaroni watu wanalala na baadaye wakaendelea na mishe bila issue; kwa maeneo ambako weather ni highly unpredictable Meteo ni kati ya taasisi muhimu mno.

Mhusika kuto-perform interview ya siku moja sidhani kama ni hoja ya msingi ya kufuta taasisi nzima! Sometimes, let's be logical.
 

Angalu umeeleza vizuri kuliko hao tiemuei
 
It has been the norm of uongo uongo since its inception
 
The issue is walisem kutakuwa na mvua kubwa. Ndiyo maana wakatenga 700 bn kufanya mandalizi ya kukabiri mvua kubwa zitakazo nyesha. Mitaro imezibuliwa, mabonde ie njia za maji zimepaniliwa, watu wamehamishwa kutoka maribu na mito etc etc. Sasa joto huwa tunazibua mitaro?
 
Bro, kuwa broader minded.
 
ila wabongo wanafiki sana,,sasa wale maaskofu na mashehe mlikua mnahimiza waombe mungu atuepushe na elinino,kumbe mungu mwenyewe hayupo na hata angekuwepo,hawezi kuzuia elinino..😁😂😂,saa hizi chadema wako busy,wanadai Elinino🙆🏽‍♂️😂
 
Inasikitisha sana.
 
wanasiasa sio vilaza kaka. wanacheza na biti. jiulize lile fungu la blion 780 lililotengwa limeenda wap kama kweli ni vilaza. sisi ndio vilaza. tushapigwa
 
mala sisi atukusema kutakuwa na mvua kubwa.. kwakweli inasikitisha sana
Washapiga Chao hapo,bibi Chura lipo linarembua tu wao wafanyeje.
Wanakula hadi na kamba yenyewe maana urefu wa kamba umeisha
 
We chawa kwa nini tusiwalaumu wakati walisema mvua zitaanza mwezi wa 9? muambie mwizi mwenzio atuombe radhi watanzania na sio kujitetea kifala kama anavyofanya
 
Kimsingi huyu jamaa ambae wengi wanamuona hajielewi,ukimsikiliza vizuri ndio ameeleza vizuri tafsiri sahihi ya elnino.
Ukitaka kujifunza lazima kwanza ujuaji uweke pembeni kwa maana,kama wewe unajua,utakua unajifunza ili iweje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…