NILIYO ya shuhudia sitamani kuya andika..Sharif majini alikuwa amekaa yeye na wake zake akapigwa risasi na police wenye wivu
Andika tu ndugu yangu usiogopeNILIYO ya shuhudia sitamani kuya andika..
Muda mwingine naandika nakufuta kilicho fanyika ni crime against humanity.
Hili jambo si la kukaliwa kimya kwa watanzania WAPENDA Amani
ππππHuu utawala usipofikishwa ICC kwa uhalifu dhidi ya binadamu tutakuwa hatuna tofauti na wanyama
Unazijua sifa za kujiunga na jeshi la polisi? Hata ukiwa na D mbili form 4 hawakuchukui. Wanataka wenye D moja na F zote. Halafu unategemea wawe na akili ya kujiongeza? Yale hata maroboti yana unafuu. Yakiambiwa mkikuta watu wamekusanyika tandika risasi basi yanabeba amri hivyo hivyo. Hata kama ni familia mmekusanyika mnakula linawanyuka tu risasi. Mtu mwenye D moja si ni sawa tu na mtu mwenye utindio wa ubongo? π³π³π³π³π³Polisi wametumwa sawa na je hawana akili ya kujiongeza?
Ngoja akili itulie of course ninakama hamaniko Fulani limenipata...Andika tu ndugu yangu usiogope
Ndiyo UTU wenyeweHii ni KAZI na MAUAJI
Ngoja akili itulie of course ninakama hamaniko Fulani limenipata...Andika tu ndugu yangu usiogope
SawaUnazijua sifa za kujiunga na jeshi la polisi? Hata ukiwa na D mbili form 4 hawakuchukui. Wanataka wenye D moja. Halafu unategemea wawe na akili ya kujiongeza? π³π³π³π³π³
Pole sana kaka mama Samia kaamua aue ndugu zetu ili wanae akina Abdul watembelee magari mazuriNgoja akili itulie of course ninakama hamaniko Fulani limenipata...
Naiona akili HAIPO SAWA ngoja ngoja nikipata amani ya moyo na nafsi nta andika niliyo shuhudia
Pole sana mkuu. Mwaka huu tumeshuhudia mauaji makubwa ya kutisha zaidi ya yale yaliyotok3a Rwanda. Inauma sana. Mauaji tuliyokuwa tukitazama kwenye runinga huko Gaza, Goma na Dafur, tumeyashuhudia live nchini Tanzania.Ngoja akili itulie of course ninakama hamaniko Fulani limenipata...
Naiona akili HAIPO SAWA ngoja ngoja nikipata amani ya moyo na nafsi nta andika niliyo shuhudia